Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M-bongotz, Oct 17, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,734
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa ripoti iliyoandaliwa na Dr. Ulimboka na kusomwa na wakili wake,ametamka bayana kuwa mtu aliyekuwa akiwasiliana nae muda mfupi kabla ya kutekwa ni Bw. Ramadhani Igondu yule yule aliyetajwa kwenye gazeti la Mwanahalisi
   
 2. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Part II imeanza...
   
 3. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Baada ya kimya kirefu leo dr ulimboka ametoa taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na wanasheria wake shayo pamoja na nyaroro kicheere.ameshangazwa na serikali kutomkamata mtu huyo na amesema yupo tayari kutoa ushirikiano kwa tume huru japo mpaka sasa haijaundwa.
  Source clouds news ya 18:00pm
  my take: kumbe MWANAHALISI walikua very right
   
 4. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hana jipya huyo Dr. Ameishafungwa mdomo!
  It is just a boredom story at present!
   
 5. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  itakuwa wamemrusha hela za ahadi,na leo nimeona watoto wanaandamana kudai chao serikal haina ela baba mwanaasha kasafri na ufunguo wa store ya mahela
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  amechelewa sana, angeongea mapema heshima yake ingekuwa juu kinoma
   
 7. p

  pilau JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ... Eti nini?
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  ungetuwekea taarifa kamili mambo yakutulete habari kama udaku haifai
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Yale yaleeee
   
 10. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,929
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Ndo report hyo
   
 11. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,740
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ni kweli hata mimi nimemskia iyo radio clouds, tatizo ameenda kwenye wrong media, angeitisha vyombo vya habari then awape release, ni bahati mbaya kuwa pia amechelewa, na huenda isije ikawa strategy kuwa baada ya kuchommwa makanisa hata akiongea hamna tatizo
   
 12. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,176
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  huyo ramadhani ighondu ni nani?
   
 13. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  heshima ina kawaida ya kupanda na kushuka
   
 14. Spike Lee

  Spike Lee JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii kesi si ipo mahakamani.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Dr ulimboka umechelewa.
   
 16. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 9,881
  Likes Received: 3,298
  Trophy Points: 280
  weka taarifa kamili kama ni pdf au clip tujionee wenyewe!!
   
 17. d

  detawa hoki Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  taarifa za mwangosi zilitoka mapema, taarifa za mwanzo za ulimboka alizozitoa ulizishughulikia vipi? taarifa za mwanahalisi hazikukanushwa popote...ulifanya nini? jiulize na utafakari
   
 18. k

  kasahunga Senior Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hongera dr kw kuwa wazi
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  nyc comment
   
 20. d

  detawa hoki Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  angewahi...ungefanya nini?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...