Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

Status
Not open for further replies.
Saeed Kubenea na Mwana Halisi wamepigwa marufuku kwa kusema hilo' Nchi hii inakwisha !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ametoa waraka na nimeuona EATV Mtangazaji akisoma some highlights sijajua kwa nini JF haijaupa huo waraka ambao unaitwa TAARIFA KWA WATANZANIA NA WAPENDA HAKI. Plse Moderator tafuta huo waraka scan utapatie na kama ana soft copy ubandike tuusome.
 
Acheni ujinga,kumtaja Ighondu yeye mwenyewe kwa taarifa iliyosainiwa na mwasheria wake siyo jambo dogo!Kuna watu mna vichwa panzi humu.

U a very right mkuu. JF watu wanapenda kulalamika tu ili wenzao waropoke na madhara yakiwakuta ndo utasikia JF eti "KAMANDA TUKO PAMOJA NA HONGERA KWA USHUJAA" Ila kiukweli maumivu yanamkuta muhusika. It was right for Dr. Ulimboka to have legal back up on every step he is making.
 
kimya chako hakijatutendea haki wapenda AMANI...nilikuombea kwa MUNGU upone haraka Ili uwataje waliokudhuru je, Dr ulimboka unajua kimya chako kimefanya gazeti nilipendalo MWANAHILISI lifungiwe...!

kimya kingi kina mshindo mkuu...unafahamu msemo huu? kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi hakukusababishwa na ukimya wa ulimboka...hata na hivyo kufungiwa ndio kumeonyesha waziwazi jinsi taarifa zile zilivyo za kweli na zimethibitishwa tena na tena na ulimboka. gazeti lilipofungiwa unalosema unalipenda...ulifanya nini? jiulize? ulichukua hatua gani? rosa park alikuwa ni mwanamke mnyonge tu mweusi akagoma kunyanyuka kwenye siti yake ...matokeo yake...mabadiliko makubwa yalitokea marekani ....
 
kimya chako hakijatutendea haki wapenda AMANI...nilikuombea kwa MUNGU upone haraka Ili uwataje waliokudhuru je, Dr ulimboka unajua kimya chako kimefanya gazeti nilipendalo MWANAHILISI lifungiwe...!
Hata lisingeripoti habari ile lingefungiwa tu, maana lilikuwa linachukuliwa tyming, ila wakati utasema.
 
Issue hapa nadhani,si TAARIFA kutolewa na Dr.Ulimboka issue ni UWAJIBIKAJI:
-Clip ya Youtube haikuwepo?
-Magazeti hatukusoma?
-Watu hawakusimamishwa kazi mashirika ya simu kwa kutoa taarifa?..Hatukusikia?
-"Tume huru"haikuundwa kwa Dr. Ulimboka's saga?...ilitupa majibu ingawa walikuwa wakilipwa kwa uchunguzi?

Tulitegemea kwa mateso aliyoyapata, taarifa aliyoitoa, kwa maandishi na video..Dr.Ulimboka atasema TOFAUTI na Hicho???!

-Ukweli ni kwamba watanzania tunatumia NGUVU, AKILI, PESA nyingi kuutafuta Ukweli, halafu tukiujua TUNAISHIA HAPO!Kuufanyia kazi "tunadhani" si jukumu letu!

Okay, tunasema amechelewa, amechelewa KITU gani?
 
Tanzania ni nchi ya magenius wameshasoma mchezo kitambo wakaona hakuna kitu hvy hata akitoka akaongea watu wataona porojo sababu amesubiri hamu imeisha ndio anataka kuwalisha wakati wameshazoea na njaa yenyewe
 
Shahidi namba moja wa kusaidia Jamhuri, kuhusu kutekwa, kusukumizwa kwenye gari, kupigwa, kufungwa mikono na Miguu, kunyofolewa kucha na kutolewa meno na hatimaye kutupwa katika Misitu ya Mabwepande, Dr. Ulimboka Stephen Mwenyewe amesema kuwa aliyemtesa yeye ni Ramadhani Abeid Mohamed Ighondo. Hakumtaja Mkenya Joshua Mlundi. Aliyeteswa anamjua aliyemtesa. Polisi walikuwa wanatuhadaa katika tukio hili kama walivyotuhadaa katika Tukio la Mwangosi...... tutaendelea kweli kuona mafuta ya walipa kodi yanampeleka Joshua Mlundi Mahakamani wakati Ulimboka hajamtaja katika taarifa yake aliyofunguka leo? Aibu kwa serikali yetu kuwa ya kijinga kiasi hiki.
 
natumainia japo huu uthibitisho kutoka kwa ulimboka utaamsha ari mpya kwa madaltari kugoma nchi nzima hadi ighondu anyongwe.
 
Inawezekana lakini...

kwa hiyo wewe ni mtu wa matukio. sio analytical? yaani wewe ni kama za mdundiko....ukipita mdundiko, hata kama ulikuwa unapika unaacha na kufuata mdundiko... kama ni kweli taarifa ya ulimboka itasitisha suala la uchomaji makanisa...wewe unapenda yaendelewe kuchomwa? jiulize serikali gani hiyo inaweza kujianika yenyewe? hata marekani wanajianika wenyewe baada ya kupita miongo kadhaa.....na matukio kama ya babu wa loliondo ni sababu ya ushabiki wa watz usiokuwa na maantiki mpaka tukapeleka ndugu na jamaa bila kutafakari...ushabiki ni mbaya....hata kama taarifa zinakuja kumi...el ninho, barlow, askofu ampiga ngumi mkwewe,au waziri fulani ashikwa ugoni au ampiga ngumi mke wake kama ni watu wa kuchukua hatua utajua hatua gani za kuchukua...na lipi lenye priority hata kama ni baada ya miaka 5....tatizo letu ni ushabiki tu usio na mantiki yoyote.
 
KOVA kama anajua sheria za kiuchunguzi, Hilo jamaa lazima litoe maelezo na kama kuna walakini lipandishwe kizimbani. Yule muigizaji wa movie ya kwanza, hana hatia, Kova lazima aje kwenye vyombo vya habari atutangazie kwa style ile ile
 
Yani..sasa hivi hot news ni Waislam na uchomaji wa makanisa...alichelewa sana maskini ys Mungu...Tumeshasahau siku nyingi, hii nchi ni ya matukio ya kimsimu so usipochangamkia tukio lako litasahaulika hivi hivi.
kwa hiyo wewe ni mtu wa matukio. sio analytical? yaani wewe ni kama za mdundiko....ukipita mdundiko, hata kama ulikuwa unapika unaacha na kufuata mdundiko... kama ni kweli taarifa ya ulimboka itasitisha suala la uchomaji makanisa...wewe unapenda yaendelewe kuchomwa? jiulize serikali gani hiyo inaweza kujianika yenyewe? hata marekani wanajianika wenyewe baada ya kupita miongo kadhaa.....na matukio kama ya babu wa loliondo ni sababu ya ushabiki wa watz usiokuwa na maantiki mpaka tukapeleka ndugu na jamaa bila kutafakari...ushabiki ni mbaya....hata kama taarifa zinakuja kumi...el ninho, barlow, askofu ampiga ngumi mkwewe,au waziri fulani ashikwa ugoni au ampiga ngumi mke wake kama ni watu wa kuchukua hatua utajua hatua gani za kuchukua...na lipi lenye priority hata kama ni baada ya miaka 5....tatizo letu ni ushabiki tu usio na mantiki yoyote
 
Kwli hili ni Muvie sasa naanza pata picha ila bado stelingi hajajulikana, mh huyu jamaa hajatulizwa kweli ili amalize kinachoendelea hivi sasa? i mean ili tusaau muvie la kamanda na hii nyingine ya Masheikh?
 
Status
Not open for further replies.
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom