Hapa hatumtendei haki RAMA (Ighondu)....ni kama tumlaumu C.Ronaldo au Drogba kwanini amefunga goli wakati ile ndio kazi yake!? Au kwanini de gea anadaka, bkoz ndio kazi yake! Hatumtendei haki hata kidogo!
- Alivyorudi kutoka Libya ni nani amekiona cheti chake zaidi ya aliyemtuma? Mnajuaje kama ana "A+" ya kung'oa meno? na "B" ya kutoa watu kucha? na "C" ya kuuwa?!
Wakumlaumu ni aliyemtuma akafanye vile kwa Uli (pengine), sisi sote kupitia kodi zetu ndie tuliempeleka libya akasomee hayo yeye na wengine! Kazi yake ni kama ya mbwa ni kung'ata tu, ishu ni aliyesakizia mbwa kwenda kung'ata!
Yeye tumwacheni jamani...!