Kumekuwa na poll nyng na ambazo znawataka watu kutoa maoni yao kuhusu wamtakaye au anayeweza kuwa raisi wa nchi kama uchaguz ungefanyika muda wowote.......wanaoelekea kupata kura nyng mpaka sasa ni Mh Edward Lowasa Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Monduli kutoka Chama tawala CCM pamoja na Willbroad Slaa wa Chadema.....
Sasa nawaomba kama unamkubali mmojawapo kati ya hao wawili: Wilbroad Slaa ama Mh. Edward Lowassa......utuambie sababu moja kubwa zaidi ambayo ingekushawishi kumpa kura.....kama unaweza kutupa zaidi pia inaruhusiwa