Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

Tatizo lako ndugu unajiona una uwezo mkubwa sana kuliko mtu yeyote hapa Tanzania na hata ukitazama post yako inaonyesha kuwa ni mjivuni. Suala la Urais ni jambo la msingi sana,usipotoshe umma,
 

Dr. Slaa
 
Tatizo lako ndugu unajiona una uwezo mkubwa sana kuliko mtu yeyote hapa Tanzania na hata ukitazama post yako inaonyesha kuwa ni mjivuni. Suala la Urais ni jambo la msingi sana,usipotoshe umma,
Khaa!! Anapotosha umma wapi bana?? Anajaribu kukufungulia madirisha ili uone mwanga zaidi :loco:
 
kichekesho TWAWEZA. Mbona hawakufika ZNZ? au ile kura yao ilkuwa ni mgombea wa TANGANYIKA?
 
Lowassa atashinda kupitia kura za watanzania wengi sana.
Ambao hawakuahidiwa uwaziri,ukuu wa mkoa,ukuu wa wilaya,ukurugenzi ,ubaliozi n.k.
Nimezunguka mikoa mbalimbali ukweli ni kua Lowassa anakubaliwa na wananchi wa hali ya chini kabisa ambao hawajawahi kuhongwa au kula hela ya Lowassa.
 
Dr W. P. Slaa

Rais safi kwa ajili ya Tanzania yenye neema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…