Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Wote wawili hawafai. Urais wa nchi ni zaidi ya kuwa mahiri kuikosoa serikali na ni zaidi ya kuwalaghai watanzania maskini wa fikra kuwa unawependa na utawasaidia ukiwa mkuu wa nchi wakati tayari unanuka ufisidi wa kutisha na tayari watu wanalipia gharama kubwa huduma za msingi kama umeme na usafirishaji kutokana na mkono wako katika mikataba ya kina Karl Peters.

Tuache kushabikia majina ya watu kutokana na umaarufu wao. Tuangalie nchi hii ilipofikia inahitaji kiongozi mkuu mwenye mtazamo gani juu ya mahitaji ya msingi ya mwananchi wa kawaida. Lowassa na Slaa sioni kiongozi hapo!
 

Werema tukuamini vipi kuwa mtazamo wako ni sahihi wakati tumethibitisha kwa majibu na hoja zako bungeni kuwa una mgogoro mkubwa sana wa mtazamo.
 

Sawa mkuu
Tupe mbadala wao basi
 
uzuri wake ni kwamba mimi sio bendera fuata upepo kama wewe ndugu yangu,labda nikuulize,hivi hayo sijui kura inakusadia nini wewe binafsi na Taifa lako?

Mpaka umri huu hujui faida ya kura!!!
 
DR. Slaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…