Kamanda mandago shululu kwanza habari za Misungwi/kwimba? Baada ya salaam rudi upige kura yako vyema kwa kuandika jina tu la mgombea na si vinginevyo. Utaharibu kura kamanda.
CCM wakimuweka Lowassa, wajue wamekwisha. Maana watu wanaipenda CDM kwa sababu ya kutetea ufisadi ndani ya CCM,ikitokea ufisadi ukatetewa kwa vitendo, itakuwa hatari kwa CCM.