Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
- Thread starter
-
- #21
Sr. Magdalena,
Umewatusi Watanzania wenye akili na mapenzi mema kwa nchi yao kwa kupambanisha Muadilifu na Fisadi. Unapotaka kupambanisha jaribu kutafuta walau wenye caliber sawa. Mpambano wako ni kati ya R&B na dogori
Hatuwezi kuwa na rais asiyelipa kodi, kati ya hawa kuna mmoja analipwa posho ya 7m ambayo haikatwi kodi.
Lowassa President, Slaa Prime Minister
Mbona anayekutawala sasahivi halipi kodi hasa miradi yake yote hailipi kodi mfano mahotel yake.Hatuwezi kuwa na rais asiyelipa kodi, kati ya hawa kuna mmoja analipwa posho ya 7m ambayo haikatwi kodi.
atatoka el madrasat
tatizo la slaah anapenda sifa za kijinga sana
mie kwangu wote ni sawa tu. Tunachotaka ni mabadiliko ya ukweli na kiongozi anayethubutu.
Kwenye CCM hamna kama Lowassa
Huko kwenye CDM nachelea kusema kama wakimweka Mzee Dr Slaa basi wajue urais wamekosa. Nina sababu. anayetaka jibu ani PM.
ninawakubali wote.
Maadamu zamu hii ni ya Walutheri Lowasa itabidi tu achukue nchi!!
Ni pigo kubwa kwa wana Chadema!