Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Mleta uzi ni jukumu lako ku summarize hizi kura mara kwa mara ili tuwe tuna picha nzuri
 
Dr. Slaa hapo pingamizi hakuna. Lowassa anafaa kupambanishwa kwenye mambo ya UFISADI TU.
 
Wote wa Kaskazini..! Ritz, Faiza fox hawataki watu wa ukanda huo. Weka mmoja wa kutokea Zanzibar ili na wapate kupiga kura.


Huo ni utaratibu wenu nyie ccm, mpaka sasa ccm hakuna zaidi ya lowasa ndio maana yeye ndie amepambanishwa na dr. wa ukweli
 

Ni watanzania wangapi wanaotumia jf!!!!

Je idadi ya watumiaji wa jf inatosha kufanya hitimisho la nani mshindi wa urais????

Division v at work.
 
Umeona eeeeeh!!!!!!!!!!!! Dr. Slaa ni chaguo la Mungu alitakiwa kuwa Rais toka 2010 sema tu mafisadi walifisadi ila 2015 wajaribu ujinga wao cha moto watakipata @ Sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Duu! nasikitika sijampigia kura Dr wa Ukweh sababu natumia mchina leo!
 
Umeona eeeeeh!!!!!!!!!!!! Dr. Slaa ni chaguo la Mungu alitakiwa kuwa Rais toka 2010 sema tu mafisadi walifisadi ila 2015 wajaribu ujinga wao cha moto watakipata @ Sweetlady

Tepeli ampe nani urais mwizi wa wake za watu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…