Mh onyesha busara ktk hili ndo maana nasema huwezi kuishi bila siasa,Lowassa anaweza kabisa kusimama akutoa hoja na majibu pamoja na maswali kwa Dr Slaa. Hawa ni kati ya watu ninaowakubali sana, Tz isingekuwa inapelekeshwa na kiinchi kama Rwanda mbele ya Slaa au Lowassa.
Hakika umenigusa moyo wangu, Kwa wale tunaoipenda Tanzania hakika hawa ndo maraisi wetu watarajiwa. Mimi kama ningekuwa CDM hakika Slaa anatosha na kama ningekuwa CCM hakuna kama Lowasa lakini kwa ulegelege wa upinzani wana JF raisi ajaye ni Lowasa, CCM haibebeki bila Lowasa, Lowasa ndiye rada ya CCM kwa sasa. Sikio la kufa halisikii dawa hujuma yoyote kwa Lowasa njia nyeupe kwa Slaa. Kitu kingine ni hiki watu wa kaskazini ndo maana nawaita Wakikuyu kwa ushirikiano na wanavyojithamini {hapa hata mniite mkabila} tangu enzi na enzi inajulikana hivyo. Wakati hawa watu wakipita kwenye kura za maoni ni sherehe Kaskazini huku kanda ya ziwa {usukumani} ndoho tabhu. Na kama uchaguzi huru ukiwepo baina ya hawa watu,serikali ya mseto haikwepeki. Mnisamehe
Maadui wa Lowassa ni hao wanaouota urais huku sifa zao kama za babu yangu {kusimulia hadithi tu}
Kaka si kwamba yuko serious na urais ila ANAUWEZA KWA KILA KIGEZO.ila kasi ya jamaa (lowassa) sio ya kupuuzwa, jamaa yupo serious na urais.
Achana nae ndg yangu mengi yenye itikadi hiyo yanaishi kwa kugawa 0713.Huu ndio udini, huko misikitini mnajidanganya. kenge wewe, jadili hoja sio kuattack dini za watu.
Yupi bora aliyeamua kutoa au aliyezificha Uswisi? Mimi hata mning'oe jinsia yangu Lowassa alijiuzuru kulinda CCM tu lakini walegwa wapo wamepakata nanihii zao tu kwenye majengo ya umma,ndio maana kawa mkimya asije kufanya nchi isitawalike.Tatizo lake ni kuamini kwamba akiwateka viongozi wa dini basi amemaliza kila kitu!
Ulitaka aibukie nyuma yako? Umbea tu pointi huna si bora ujiunge Mashauzi Class!sasa kaibukia misikitini, chezea Lowassa wewe?
Kaka/dada unaona mbali sana au u mdogo wangu nanihii?Wadau Nani hasa anafaa kuwa Rais wetu kwa maslahi ya taifa letu kati ya Dr.Slaa na Lowassa...kimisimamo na maamuzi naona kama wana fanana vile labda kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja na makabila yao yana uhusiano flani hivi,ila nina uhakika kwenye karama ya uongozi na vision za kimaendeleo wana utofauti mkubwa sanaa.we unaonaje?
mkristo vs mkristo hahahahaa. "kama kuna wagombea wengi na katika hao kuna waislamu wawili basi ukiona muislamu mmoja anaelekea kushinda mchague huyo huyo"
Kwanza tuweke udini na ukabila pembeni. Umri ni huko chini (ujana) juu ni uwezo wako wa kufikiri. Hatujui ni nani atakayepitishwa na chama. lakini kwa mawazo yangu hasa baada ya kufuatilia safari ya Slaa ughaibuni huyu mzee uwezo wake wa kuiongoza hii nchi anao. hata kama wabunge wa chama chake hawatakuwa wengi kama rais atawasafisha mafisadi wote ktk anga la TZ a.k.a Moringe Sokoine.