TAU 1
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 597
- 410
kwani hata akiwa na 90yrs nyie inawahusu nini?TIZAMA VIDEO CLIP YA KILIO CHA BODABODA TAARIFA YA HABARI : KURASA EATV 14/0MARCH/2014: Kurasa, 14 Mar 2014 - YouTube
kwani hata akiwa na 90yrs nyie inawahusu nini?TIZAMA VIDEO CLIP YA KILIO CHA BODABODA TAARIFA YA HABARI : KURASA EATV 14/0MARCH/2014: Kurasa, 14 Mar 2014 - YouTube
Warioba sio mwanasiasa, ni mstaafu. Hapa tuna ongelea wanasiasa wakongwe wenye nia ya madaraka. Please focus.
askofu wa kanisa katoliki anastaafu akifika 75. Dr slaa katokea huko hivyo tumvumilie tu hasa kwa kuwa padre hana umri wa kustaafu.
Natamani siku moja dr slaa awe mkweli katika nafsi yake aseme aliachaje upadre.
Kilichonifurahisha kumbe at 69 yrs Dr Slaa amepata mtoto! Wonderful! sijui wengine km tutaweza, na mavyakula ya siku hizi!WanaJF,
Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.
Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa Dr Slaa.
Hivyo maamuzi ya CHADEMA kumtumia Dr Slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na Dr Slaa kutokana na umri wake.
Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni Dr Slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?
Ningependekeza Dr Slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na Tundu Lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Kilichonifurahisha kumbe at 69 yrs Dr Slaa amepata mtoto! Wonderful! sijui wengine km tutaweza, na mavyakula ya siku hizi!
mzinzi....
Heeee....mika 70 bado anatembea na KIMADA........siamini....hafai kuwa raisi akaongoze WAZINZI WENZAKE......
Its about time Dr Slaa ajiuzulu awe tuu mshauri wa Chama...70 na bado anangangania...dang!....Uroho wa madaraka alafu mnasema CHADEMA MNATAKA CHANGE!!!....You say whaaat?...BS
Dr. Slaa mchaga!!! Huu ni ujinga unaokaribia upumbavu.ni kweli umri umeenda lakin yeye ni mchaga hatuna namna. Tundu lisu si mchaga