Dr. Slaa turns 70: Bado ni "think tank" wa CHADEMA?

Dr. Slaa turns 70: Bado ni "think tank" wa CHADEMA?

Mtu yeyote hapaswi kubaguliwa. huu mtindo wa kubagua watu kwa kigezo cha umri hauna tija kwa taifa letu.
 
Wewe ndio uelewi hata kinacho zungumzwa hapa. Bila shaka ID yako ina hakisi uelewa wako.

Unashindwa kuweka point ya kueleweka unaanza kupoint fingers. Kama issue ni umri ............... then twambie, mathink thank wa CCM ni akina nani kama siyo hao niliowataja?? Mkiwa poa mnajidai na akina Mwiglu. Mambo yakichacha mnaowakimbilia ndiyo hao niliowataja ................ Mwinyi, Mkapa, Malecela, Gingunge, .......................!!! Hakuna kitu kipya CCM zaidi ya cheap politics kama unazozianzisha kila siku hapa JF!! Fanya kazi yako uliyotumwa humu badala ya kutukana watu kwa ID zao!!
 
Kwa sasa hivi ndo akili za Dr. Slaa zinachaji kwa hekima kuliko vijana wengi! Tunataka aongoze mapambano hadi ikulu na akae huko kwa angalau muhula mmoja kama Mandela! We vipi? Mbona hata JK kamteua Kingunge bunge la Katiba? Ana umri gani? Katiba ya Kisoviet zamani za ukomunist ilikuwa inasema kuwa Raisi wa Jamhuri ya Kisoviet asiwe na umri chini ya miaka 70. Mara walipobadilisha tu na kumuweka kijana wa miaka 50, Mikhail Gorbachev, Jamhuri ikasambaratika. Kwa Chadema tunamhitaji Slaa sasa kuliko wakati uliopita. Kwanza ndiye aliyepakiasha chadema hadi hapa ambapo hakiwapi baadhi ya watu usingizi.
 
Kikweli sijui jinsia ya Hammy-d, ila anaonyesha kabisa kuwa ni mwanamke tena angependa aolewe na Dr. Slaa na nafasi ya Josephine angetamani awe yeye! Kila kukicha yy ni kumzushia Dr. SLaa tu! Na kama Hammy D, ni wajinsia ya kiume.....nina wasiwasi unaweza uwe sio riz.ki!
 
Kalekatoto alisaidiwa ni kjamaa kalikuwa kana mega kwa josefini
 
Binti Hamida
Kwa post yako hii, unakiri kuwa Dr Slaa bado ana nguvu. Asante kwa hilo. Mengine ni ugoro unaofaa kuvutwa hapo lumumba.
 
WanaJF,

Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.

Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa Dr Slaa.

Hivyo maamuzi ya CHADEMA kumtumia Dr Slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na Dr Slaa kutokana na umri wake.

Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni Dr Slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?

Ningependekeza Dr Slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na Tundu Lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.

na bado! Safari hii atawabadilishia doz iwe iwe kutwa mara 20 badala ya 1 mara 3. Kiukweli dr. Slaa amependekeza iwe ivyo ili kuwapunguzia maumivu,ila usiofu uwenda doz ikaongezeka kutokana na maendeleo yenu kama ayatolizisha kuwa mazuri.
 
Happy birthday Dr

Hamy D pamoja na wachumia tumbo wenzako,kama baba zenu walipata dimentia kwa kufika 70 msifikiri kila mtu anapoteza kufikiri ktk umri huo,yule tegemeo lenu mwakilishi wa waganga wa jadi mliyempeleka bunge la katiba ana 45?vipi yule mzee wa kugawa pesa kanisani mnaempigia debe bila kujali afya yake nae ana 25?
 
WanaJF,

Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.

Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa Dr Slaa.

Hivyo maamuzi ya CHADEMA kumtumia Dr Slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na Dr Slaa kutokana na umri wake.

Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni Dr Slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?

Ningependekeza Dr Slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na Tundu Lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Tangu utoke likizo ya uzazi ndo umekuwa hovyo kabisa..! me nilidhani kabla ilikuwa ni tatizo linalotokana na mwili kuwa katika wakati mgumu kumbe ile ilikuwa afadhali...Jitahidi upate chakula cha mtoto pale Lumumba na hizo night shifts zako...! stupid..!
 
Back
Top Bottom