Dr. Slaa turns 70: Bado ni "think tank" wa CHADEMA?

Dr. Slaa turns 70: Bado ni "think tank" wa CHADEMA?

Kwenye siasa anakwenda kupigana ngumi au ni busara na hekima katika maamuzi ndizo huhitajika? Mbona kingunge ni wazee kuliko hata dr slaa lakini bado ni great thinker wa jembe na nyundo? Mbona warioba na dr salimu ni vikongwe kuliko slaa lakini bado wanaushawishi jembe na nyundo?
 
Mbona JF siku hizi imejaa waongo? Dr. Slaa hajatimia miaka 70. At most he is 66
 
ImageUploadedByJamiiForums1396015123.503307.jpg

Kaamua kuusimamia ukweli sasa kaanza kugeuka kuwa adui
 
Mbona JF siku hizi imejaa waongo? Dr. Slaa hajatimia miaka 70. At most he is 66
Mkuu Jasusi, hata hiyo 66 ni mashaka. Muda sasa umefika kwa mods kufanya kazi yao...umbea uweze kukomeshwaa tukianzia na huyo muongo waahedi HAMY-D. Halafu watu wanajadili!

cc: Paw, PainKiller, Fang, Cookie: Tafadhalini komesheni hii tabia ya kishenzi.
 
Last edited by a moderator:
Miaka 66, tayari mnaomba faulo?? Poleni sana, atawashika mpaka mnyauke kwa presha.
 
WanaJF,

Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.

Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa Dr Slaa.

Hivyo maamuzi ya CHADEMA kumtumia Dr Slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na Dr Slaa kutokana na umri wake.

Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni Dr Slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?

Ningependekeza Dr Slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na Tundu Lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Hacha majungu,uzee wa mtu unaupimaje?
 
wanajf,

kwa sasa dr slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.

Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa dr slaa.

Hivyo maamuzi ya chadema kumtumia dr slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na dr slaa kutokana na umri wake.

Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni dr slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?

Ningependekeza dr slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na tundu lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.

duu nchi ikipata watu kama ww nijanga,mbona unamuona dr slaa peke yake kwa umri,humsemi pros.lipumba?
 
Mbona JF siku hizi imejaa waongo? Dr. Slaa hajatimia miaka 70. At most he is 66

Hivi ni kwanini watu wanaoleta uongobwa dhahiri kwenye jukwaa hawawajibidhwi? Mleta mada aandike kama Dr. Slaa alizaliwa lini na kama yeye ndiye alikuwa mkunga wa mama yake.
 
wanajf,

kwa sasa dr slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.

Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa dr slaa.

Hivyo maamuzi ya chadema kumtumia dr slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na dr slaa kutokana na umri wake.

Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni dr slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?

Ningependekeza dr slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na tundu lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.

r.g.mugabe ana miaka mingapi? Y.k.museven ana miaka mingapi? Rais wa zambia ameingia madarakani akiwa na umri gani?
Hamy d ifike wakati ukue kiakili na kimwili punguza ushabiki na umbea na kuandika vitu ambavyo hujavifanyia utafiti.sasa toa mifano kuntu 5 ya maraisi walioingia madarakani na umri wa 70years na kusababisha vita katika nchi zao na pia thibitisha kwa hoja kuwa sababu kuu ni umri." no research no right to speak".
 
Mugabe miaka 90 ,mbona mambo safi zaid ya kijana kabira kwake vita mwendo mdundo.so Dr.slaa bado ni kikwazo kwa Ccm na wanaojihta AcT.
 
Miaka 66, tayari mnaomba faulo?? Poleni sana, atawashika mpaka mnyauke kwa presha.
NIlimuuliza hakujibu......km warioba anazidi umri wa Dr.SLaa na Yupo Smart kuliko maCCM yote combined..mitoto kwa umri wa miaka..ila mizee ktk akili.NI vipi bila aibu aanze mshambulia dr.Slaa...Mugambe mwenyewe kazidi mijibwa mingi Africa.Kukomaa kwake ni kutaka ulinzi tuu ..asipelekwe ICC kihuni.
 
hmy-d, kuwa msitaarab wakati mwingine,huyo unayemuita mzee wengine wanamuita bebi.
Naskia ana mchumba,padri na si mda atafunga ndoa ya pili.
 
Wana Ukumbi,

Mtendaji mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, kwa sasa ana kadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 70 (kwa mujibu wa wazee wenzake wa Karatu). Hivyo kutokana na umri huo mkubwa, kunamfanya Dr Slaa kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha na kumfanya aonekane mzigo kwenye chama!

Kutokana na lawama na manung'uniko mengi ya wanachama wa CHADEMA juu ya mwenendo wa chama chao. Dr Slaa amefanyiwa tathmini na kugundulika kuwa kwa sasa hawezi tena kuendana na kasi ya CHADEMA hivyo ameombwa kujiuzuru na kupisha wengine wenye uwezo.

Baada ya taarifa hizi kutolewa, chanzo changu cha habari kilifanya jitihada za kumtafuta Dr Slaa na kuzungumza nae juu ya kutakiwa kujiuzuru; Dr Slaa alikiri kweli umri umeenda, lakini alisema hilo halina mahusiano na utendaji kazi wake!

My take,

Hivi kweli umri wa mtu hauna mahusiano na utendaji kazi!??? Kweli Dr Slaa amezeeka sasa!
 
Kwani tatizo liko wapi as long as mdomo hauzeeki?.
Tutakua tunambeba hata kwenye machela kwenda kuhutubia.
 
...wewe na nape nahisi ndo wauaji wa vikongwe kule shinyanga na mwanza...
 
Wana Ukumbi,

Mtendaji mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, kwa sasa ana kadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 70 (kwa mujibu wa wazee wenzake wa Karatu). Hivyo kutokana na umri huo mkubwa, kunamfanya Dr Slaa kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha na kumfanya aonekane mzigo kwenye chama!

Kutokana na lawama na manung'uniko mengi ya wanachama wa CHADEMA juu ya mwenendo wa chama chao. Dr Slaa amefanyiwa tathmini na kugundulika kuwa kwa sasa hawezi tena kuendana na kasi ya CHADEMA hivyo ameombwa kujiuzuru na kupisha wengine wenye uwezo.

Baada ya taarifa hizi kutolewa, chanzo changu cha habari kilifanya jitihada za kumtafuta Dr Slaa na kuzungumza nae juu ya kutakiwa kujiuzuru; Dr Slaa alikiri kweli umri umeenda, lakini alisema hilo halina mahusiano na utendaji kazi wake!

My take,

Hivi kweli umri wa mtu hauna mahusiano na utendaji kazi!??? Kweli Dr Slaa amezeeka sasa!

Nianze na usemi Kabla hujafa hujaumbika!!! Mimi na Dr. Slaa Mimi mtoto Wangu wa Mwisho Mkubwa kuliko mtoto wake wa Mwisho, alafu unataka aondoke pale akale wapi? Asomeshewe watoto na nani? Wakati Hoja ya Mh. Machali hoja yake ya wazee wote kulipwa pension kushindwa!
 
Back
Top Bottom