Dr.Slaa yupo fiti,hoji Lowasa ambaye hata kuandika hawezi
Lowasa kazaliwa mwaka gani?
Kwani ameishapitishwa na UKAWA?Inaonekana wewe mleta mada kilaza kweli au ndondocha! Unauliza slaa ataweza mikikimikiki ya kampeni? Hvi 2010 ulikuwa hujazaliwa au Ulikuwa hufuatilii siasa na sasa umekuwa ndio unakurupuka tu na kithread ambacho hakina kichwa wala makalio! Kama 2010 aliweza kwa mini asiweze sasa? Kama Mugabe ameweza yeye ashindwe kwa nini? Kama marehemu raid satta wa Zambia aliweza kwa mini Dr. Slaa ashindwe? Jipange upya we kichwa Maji!
Nimetoka kusoma wasifu wa Bw.Slaa unaomuonyesha kwamba kazaliwa mwaka 1948 ina maana anakaribia 70, duh! Ataweza kweli mikikimikiki ya mbio za uraisi huyu? Kwa maana Tanzania kubwa in km² kama milioni moja hivi!
Dr.Slaa yupo fiti,hoji Lowasa ambaye hata kuandika hawezi
WanaJF,
Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.
Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa Dr Slaa.
Hivyo maamuzi ya CHADEMA kumtumia Dr Slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na Dr Slaa kutokana na umri wake.
Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni Dr Slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?
Ningependekeza Dr Slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na Tundu Lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.
We unapendaga kuropoka tu, hata muda mwingine huwa hujui unaongea nini ilimradi uifurahishe Ufipa street! haya kachukue viroba.