Unashindwa kuweka point ya kueleweka unaanza kupoint fingers. Kama issue ni umri ............... then twambie, mathink thank wa CCM ni akina nani kama siyo hao niliowataja?? Mkiwa poa mnajidai na akina Mwiglu. Mambo yakichacha mnaowakimbilia ndiyo hao niliowataja ................ Mwinyi, Mkapa, Malecela, Gingunge, .......................!!! Hakuna kitu kipya CCM zaidi ya cheap politics kama unazozianzisha kila siku hapa JF!! Fanya kazi yako uliyotumwa humu badala ya kutukana watu kwa ID zao!!
WanaJF,
Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa..
WanaJF,
Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.
Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa Dr Slaa.
Hivyo maamuzi ya CHADEMA kumtumia Dr Slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na Dr Slaa kutokana na umri wake.
Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni Dr Slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?
Ningependekeza Dr Slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na Tundu Lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Remote ni bint yangu mkuuTeh teh teh, kumbe una binti mkubwa hivi.
Kwa sasa hivi ndo akili za Dr. Slaa zinachaji kwa hekima kuliko vijana wengi! Tunataka aongoze mapambano hadi ikulu na akae huko kwa angalau muhula mmoja kama Mandela! We vipi? Mbona hata JK kamteua Kingunge bunge la Katiba? Ana umri gani? Katiba ya Kisoviet zamani za ukomunist ilikuwa inasema kuwa Raisi wa Jamhuri ya Kisoviet asiwe na umri chini ya miaka 70. Mara walipobadilisha tu na kumuweka kijana wa miaka 50, Mikhail Gorbachev, Jamhuri ikasambaratika. Kwa Chadema tunamhitaji Slaa sasa kuliko wakati uliopita. Kwanza ndiye aliyepakiasha chadema hadi hapa ambapo hakiwapi baadhi ya watu usingizi.
Madereva Bajaj na bodaboda wakiwa nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni jijini Dar wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia katikati ya jiji.
Polisi wakiwa eneo la tukio kudumisha ulinzi.
Mmoja wa madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari nje ya ofisi za Chadema.WanaJF,
Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.
Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa Dr Slaa.
Hivyo maamuzi ya CHADEMA kumtumia Dr Slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na Dr Slaa kutokana na umri wake.
Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni Dr Slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?
Ningependekeza Dr Slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na Tundu Lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.
ivi think tank au tuseme ID ya mtu inahusiana na umri?tuseme mwalimu kipindi ana umri wa 70 hakuwa tena mtu wa kusikilizwa?Mugabe ana umri gani?
Dr Slaa ni kijeba wa siasa
Warioba sio mwanasiasa, ni mstaafu. Hapa tuna ongelea wanasiasa wakongwe wenye nia ya madaraka. Please focus.
MADEREVA BODABODA, BAJAJ WAANDAMANA KUFIKISHA KILIO CHAO OFISI KUU YA CHADEMA JIJI LA DAR
WAENDESHA bodaboda na Bajaj jijini Dar leo wameandamana mpaka ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zilizopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Nia ya maandamano hayo ni kupinga tamko linalowataka kutopeleka abiria maeneo yote ya katikati ya jiji la Dar.Madereva Bajaj na bodaboda wakiwa nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni jijini Dar wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia katikati ya jiji.
Polisi wakiwa eneo la tukio kudumisha ulinzi.
Mmoja wa madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari nje ya ofisi za Chadema.
Mmoja wa madereva hao, akiongea na wanahabari alisema kwamba wameamua kuandamana mpaka ofisi za Chadema kwa kuwa wanaamini ndio watapata msaada wa tatizo lao.
(HABARI NA DJ SEK BLOG)
warioba sio mwanasiasa, ni mstaafu. Hapa tuna ongelea wanasiasa wakongwe wenye nia ya madaraka. Please focus.
Usitake kutulazimisha sisi WanaChaema kuwa na chuki na Dr. Slaa kama uliyo nayo wewe. Yule ni jembe! Kosa la CCM ni kuwatupa Wazee na Kuwaenzi vijana wasio na Vision wala kufahamu mission ya Chama chao. Badala ya kueleza vision yenu mmebaki kuitukana Chadema na kumchukia kibinafsi Dr. Slaa. Sisi Chadema twampenda na kumwamini Dr. Slaa na huna sababu ya kukubaliana nasi kwani wewe ni gamba sugu.Acha kutapatapa wewe...Kingunge pale bungeni ameenda kuwakilisha wazee, kwani kuna ubaya wazee kupata mwakilishi wao!?
hakika wewe wasema,maon yako yaheshimiwe!