- Thread starter
- #41
Unaweza kuwa na miaka 35 lakini ubongo wako ukawa ukafikiria kama kikongwe cha miaka 90.
Ila haiwezekani kikongwe wa miaka 70 kuwa na ubongo wenye kufikiria kama wa mtu mwenye miaka 35. Naona tupo pamoja.
Unaweza kuwa na miaka 35 lakini ubongo wako ukawa ukafikiria kama kikongwe cha miaka 90.
RIGHT umemsahau mtu muhimu sana ndani ya chama. Hivi mzee Kingunge hajagonga karne kweli?
Wilbrod Peter Slaa
Wilbrod Peter Slaa (born on October 29 1948 ) was a member of parliament of the state of Karatu in parliament national inTanzania . [SUP][1][/SUP] After the contest for the presidency in 2010 is not an MP again, but he continues to be the secretary general of the party Chadema .
Jakaya Kikwete
Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is the 4th and current President of the United Republic of Tanzania. Prior to his election in 2005, he was the Minister of Foreign Affairs for ten years under his predecessor. He has also served as theChairperson of the African Union in 2008/09 and the Chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security in 2012/13.
Edward Lowassa
Edward Ngoyai Lowassa (born August 26, 1953) is a Tanzanian politician who wasPrime Minister of Tanzania from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete.
Samuel Sitta
Samuel John Sitta (born 18 December 1942) is a Tanzanian CCM politician andMember of Parliament for Urambo East. He is the current Minister of East African Cooperation.[SUP][1]
[/SUP][SUP]
Source: [/SUP][SUP]The Free Encyclopedia.[/SUP][SUP]
NB: HAMY-D, [/SUP][SUP]Leta habari nyingine hii imechacha, haiuziki. Naona Dr.anakusumbua sana.[/SUP]
MKUUU SOMA HAPA PENDEKEZO JEMA LA HAMY-D
Ningependekeza Dr Slaa apelekwe kwenye baraza la wazee la chama na nafasi yake ichukuliwe na Tundu Lissu ili kukipa uimara chama ili kiweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu ujao.
pata picha kwa umri huo hajaoa bado ana mchumba, sijui ni mfano gani kwa wajuku zake anaotaka kuwaongoza
Warioba sio mwanasiasa, ni mstaafu. Hapa tuna ongelea wanasiasa wakongwe wenye nia ya madaraka. Please focus.
hata wewe unaamini kila bandiko pasipo kutumia ubongo wako kidogo?
mkuu hebu weka wazi uongo kwenye hili bandiko.
Nakumbuka sitta alisema hivi.
chadema hina safu nyembamba ya viongozi
WanaJF,
Kwa sasa Dr Slaa ametimiza miaka 70 rasmi lakini bado ameng'ang'ania nafasi kubwa ya kimaamuzi kwenye chama. Jambo ambalo ni hatari kubwa.
Kwa tafiti fupi iliyowahi kufanywa ilionyesha kuwa viongozi wengi waliowahi kuingiza nchi zao kwenye vita ni wale wenye umri mkubwa kama huo wa Dr Slaa.
Hivyo maamuzi ya CHADEMA kumtumia Dr Slaa mpaka sasa yanaweza kuhatarisha amani hasa kwenye kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na maamuzi ambayo yanaweza kufanywa na Dr Slaa kutokana na umri wake.
Aidha, itakumbukwa miaka ya hivi karibuni Dr Slaa alikuwa akitoa kauli na ajabu ajabu na zenye viashiria vya kutaka kuleta uvunjifu wa amani. Sasa pata picha hali itakuwaje kwenye uchaguzi?

na bado atawapeleka puta sana... endeleeni na upuuuz wenu weww matela mapumbeIla haiwezekani kikongwe wa miaka 70 kuwa na ubongo wenye kufikiria kama wa mtu mwenye miaka 35. Naona tupo pamoja.