- Thread starter
- #21
Kwani katiba inakataza mtu mwenye umri kuanzia miaka 70 asiwe kiongozi wa hii nchi?
Katiba ya nchi haiwezi kusema kila kitu mkuu. Kuna mambo mengine tunajiamulia tu wenyewe kwa kufuata hekima na busara.
Kwenye uzi mkuu nimeonyesha baadhi ya madhara yatokanayo na maamuzi ya watu wenye umri mkubwa hasa wanapokuwa na madaraka ya juu. Hilo ni fundisho kwetu na kwake Dr Slaa kuwa ni wakati sasa wakupisha wengine.