Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Jaman mm kama slaa hatagombea na achana na siasa maana amekuwa ni chachu ya maendeleo kwa taifa.
 
Huyu mzee mwenzangu hata akikataa bado tunamhitaji. Wafuasi wa CCM kauli hii imefanya wapumue na hapo wanomba Mungu .Hakuna mgombea wa upinzani aliekwisha pata kura kiasi alichopata Dr. Hata kama ni kweli UKAWA ina hazina tele ya viongozi. CCM 2015 muanze kukusanya kilicho chenu na hirizi zenu msije mkazisahau ofisini.
 
Hata hivyo siyo yeye anayeamua kugombea,bali ni watu
wanampendekeza,huyu Dk ana akili za kuzaliwa,wengine
hawaoni hizi akili kubwa,wamebaki kwenye akili ndogo.
Tanzania hatutaendelea kama tutaendelea na siasa za aina
hii nyepesi nyepesi watu wanachukua mali sisi tunabaki
kuwatetea.hii ajabu kabisa ya Dunia.

Sisi wa tz tumezoea kuibiwa na umasikini ni sehemu ya maisha yetu angalia ziwa nyasa lina mali hata hatukujua na hatutaki viongozi wakutoa hapa tulipo
 
Title inapotosha ukweli....hajasema hataki kugombea bali anaheshimu mchakato wa kumpata mgombea kama ni yeye au mwingine katika UKAWA
 
Mimi hii issue niliambiwa kipindi tu, na nikatoa hapa watu hawakuniamini.
Hata mwaka 2010 hakutaka kugomgea, lakini Mbowe alimshawishi sana maana aliona hawezi kushinda uchaguzi, na ili aonekane anagombea mala nyingi na anashindwa Mbowe akamwambia Slaa agombee ili Mbowe Aje apambane na mgombea mpya wa ccm, Slaa hakukubali kirahisi maana alijua hatakuwa mbunge tena ktk miaka hii 5, ndiyo Mbowe akamuahidi kumlipa malipo yote kama mbunge mpaka mafao ya ubunge baada ya bunge kuvunjwa, ndiyo kisa cha Slaa kulipwa mpaka leo na chama kama mbunge mpaka sitting allowance, a mafao atapata, mgombea urais chadema au ukawa 2015 ni Mbowe.
 
anajua sakata la zitto limesha mnyonga bado ukatibu wake alopitisha muda kwa miaka sasa

Namsikitikia Zitto papara zake. Hapo angeichukua nchi kiulaini! Itabidi awalaani akina Mwigulu kumpotezea nafasi kwa dola za TISS ambazo nazo zimemfanya watanzania wamdharau. Kabaki na mashabiki magamba tu.
 
Kiongozi wa watu huwa na maono ya mbali,

Dr Slaa ni mfano wa kuigwa Tanzania, nitapigania kwa uwezo wangu wote kuhakikisha taifa lipate kiongozi kama yeye!


Nyumba ya kuishi unayo ? Uhakika wa kumnunulia mkeo Sidiria upo ? Watoto unao na wanakwenda shule huko Kigamboni ? Hayo ndio mambo ya msingi kabla ya kuipigania nchi
 
Huyu mzee akikaa pembeni ndio mtakuja kutambua kisawasawa thamani yake.......wengine tunaojua potential yake ktk siasa za nchi hii daima tunamheshimu kwa muda wake kusimamia ukweli bila woga kwa kujali wanyonge.....

Huyo mzee ni mnafiki tu . Hivi unadhani radhi ya mke mchezo ? Potential kwa Ben saa 8 aliyemfuata usiku wa manane kumwambia kuwa ile sumu ya kumuwekea Zitto haijafanikiwa kule kwake Tegeta
 
Huyo mzee ni mnafiki tu . Hivi unadhani radhi ya mke mchezo ? Potential kwa Ben saa 8 aliyemfuata usiku wa manane kumwambia kuwa ile sumu ya kumuwekea Zitto haijafanikiwa kule kwake Tegeta

This is simply nonsense...just from the average mind person The Fixer...Ukiwa CCM lazima uwe na akili ya maiti
 
Last edited by a moderator:
hizi taarifa hazina ukweli wowote ni uzushi wa gazeti la udaku mtanzania wametumwa na ccm kuandika udaku
 
Huyo mzee ni mnafiki tu . Hivi unadhani radhi ya mke mchezo ? Potential kwa Ben saa 8 aliyemfuata usiku wa manane kumwambia kuwa ile sumu ya kumuwekea Zitto haijafanikiwa kule kwake Tegeta

Alafu we pimbi usinikoti kuandika utumbo wako hapa......:suspicious:
 
Slaa is a unique person, mtu mmoja mzalendo sana, anafanana na sokoine wote mnaopost uzandiki ni kwasababu mnatumiwa kisiasa tu tena wala hamna chochote mnachonufaika
 
Deni la taifa mach 2014 ni zaidi ya Trilioni 30. Haya kazi kwenu
 
Ni wanasiasa wachache sana wanaoweza kutamka hadharani kutogombea.waliotangaza tayari nia hakuna hata mmoja mwenye sifa.
 
Back
Top Bottom