Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,514
Whatever the case mkuu Kimbunga ujumbe unaweza kupelekwa na au kupokelewa na mtu yeyote,Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!
but all in all Chadema inaonyesha imedhamilia kuwasaidia watanzania kwa viongozi wake kwenda nje kutafuta fulsa hata kabla ya kuingia madarakani.
Last edited by a moderator: