Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Ametoka kwenye mantiki gani alichosema CHAMVIGA, ni ukweli mtupu.

Mkuu Ritz jamaa yetu Matola anaipenda chadema tatizo mfumo uliopo chadema ni wa kibinafsi na unamkataa. Ona sasa slaa anakula bata ulaya huku akizuga kutembelea mitambo ya veta.
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio maana tunaoitakia mema nchi hii tunalikemea kwa nguvu zote na kwa sauti kali kabisa, Dr Slaa akishindwa kumdhibiti huyu mwanamke aliyepungukiwa adabu basi na yeye akae pembeni atupishe hatuitaji mdhaha kwenye hili.

Teh teh teh. Mkuu unahatarisha ndoto zako za ubunge ujue?. Wewe ungekuwa royal tu kama mkuu Mwita Maranya anaemtetea mke wa raisi wenu mtarajiwa wa kaskazini mama Josephine mshumbusi.
 
Last edited by a moderator:
Unajuwa wewe ni mjinga sana tena sana akili haifikii hata ubongo wa kuku.

Hivi mimi nimchukie au nimwonee wivu Josephine kwa lipi hasa? Hivi una ufahamu wowote mimi nimetumia resource zangu ngapi kuhakikisha Chadema inashika dola?

Kwa akili yako ya kijinga wale Wachina wakienda kule Marekani huwa wamwaga ung'eng'e tu? Kingereza wanaongea mpaka machokoraa wewe ndio umeona sifa ya kumpachika Josephine! !

Ptuuuuuuuuuuu.
There was no point bragging about "resources"!! There was no point of using your uncontrolled emotions!
There was no point of taking things "personal"! If you have enough "grey matter"!!!
 
Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!


Hiyo ni ziara ya kula kuku tuu, yani padre slaa na mkewe josephine ndio msafara wa chadema
na ziara ya siku zote hizoo.
Alafu mama josephine akija atatueleza mchanganuo wa hiyo ziara....
mimi natafuta chama jamaniiii huuuu ni upuuuzii
yani 2015 nimpe kura huyuu sijuiii
 
Sera ya mambo ya nje ya CHADEMA bila shaka inayo mengi mazuri
 
Faiza, unaweza kusema mengi lakini ukweli ambao huwezi kuukwepa ni kuwa kuna tofauti kubwa kati ya safari aliyoifanya Mwigulu na Dr. Slaa. Hii safari ya Dr. ukiitazama kiundani ilijielekeza zaidi katika elimu, tekinolojia na uchumi lakini safari ya Mwigulu ilikaa kiupambe wa kisiasa. Hapo kuna tofauti kubwa sana katika vision.

Japo Dr. Slaa siyo kiongozi wa kiserikali lakini mtazamo wa safari yake umekaa kitaifa na kiuongozi zaidi kuliko safari ya Mwigulu. Lakini pia ukiangalia safari za Rais wetu, Nazo ni tofauti sana kimtazamo na hizi za Dr. Slaa. Safari za Kikwete zimekaa zaidi kisherehe, kuufurahia Urais, na ndiyo maana kulikuwa na taarifa hapa kuwa Prof. Muhongo alikwishawahi kutamka kuwa haelewi inakuwaje mtu mwenye upeo kama wa JK ameweza kuwa Rais wa nchi kwa sababu yeye anamwona ni mtu asiyejua mambo mengi sana.

JK, kuna mambo ya kujifunza kutoka kwa Dr. Slaa, anapoenda nje ya nchi afanye nini kuliko kuzurura na kugeuka kuwa ombaomba asiyekuwa na malengo yoyote ya kubadilika toka kuwa unayesaidiwa na kila nchi na kuwa nchi inayoweza kuisadia Dunia. Leo Tanzania inaonekana kama ni burden kwa mataifa mengi anayoyazungukia Kikwete kwenda kuomba kila mara.

Kwa hiyo makaratasi hayo ndio chakula? hapo hata Gavana kakwepa baada ya kuwapa dakika tatu za kusalimiana ofisini kwake.

Hivi uongo unawasaidia nini?
 
Jk anakwenda kwa ajili ya watanzania sasa slaa analipi jipya kama sio kufilisi chama chake na kutumia kodi zetu vibaya?

Kule Jamaica alikokwenda kuning'inia kwenye bembea kama MTOTO WA SHULE YA CHEKECHEA alikuwakilisha wewe hakuniwakilisha mimi!!?
 
Josephine na Slaa kama kumbikumbi kutwa pamoja, kama nafasi hii angepewa mtu mwingine kama Lissu au Mnyika ingejenga chadema. Kuna kitu hapa Slaa lazima aweke wazi, ni gas ndio anayouza huko USA?
 
Hapa unataka MWIGULU APATE PRESHA yeye na WASIRA na NAPE..
Huyu????

waziri%20stephen%20wassira.JPG
 
Kule Jamaica alikokwenda kuning'inia kwenye bembea kama MTOTO WA SHULE YA CHEKECHEA alikuwakilisha wewe hakuniwakilisha mimi!!?

Na wale walimu wakijamaica alioomba wakija toa watoto au ndugu zako shuleni za serikali.
 
Faiza Fox: Hii ni ndogo sana kwako ku-comment negatively. Hata kama huwapendi CDM kiasi hicho hebu jaribu na uungwana kidogo. Appreciate mahali panapostahili na kisha toa constructive criticisms. Mimi nadhani unaweza kufanya vizuri zaidi ya comments hizo

Sasa wewe unaewapenda sana umeona kuna chakula cha mchana hapo? Kwanini wasijidanganye nafsi zao na watake kudanganya jamii nzima? Lazima tuwasusuike.
 
Hii inanikumbisha Lema alipowaletea vijana wa Bavicha picha ya ambulances na helikopta kulaghai kuwa atavileta nchini.

Vijana wa Bavicha amkeni, picha sio kitu. Ulizeni Slaa kaongea nini? Mwenzenu yuko kwenye kuandaa maisha yake ya kustaafu, nyinyi mnachelea picha. Sasa hizo picha zinawanufaisha nini?

Kama kuna mtu kati yenu anataka appointment na Governor wa State yoyote Marekani aseme tu. Tunamsaidia kupata hiyo appointment.
 
Faiza, unaweza kusema mengi lakini ukweli ambao huwezi kuukwepa ni kuwa kuna tofauti kubwa kati ya safari aliyoifanya Mwigulu na Dr. Slaa. Hii safari ya Dr. ukiitazama kiundani ilijielekeza zaidi katika elimu, tekinolojia na uchumi lakini safari ya Mwigulu ilikaa kiupambe wa kisiasa. Hapo kuna tofauti kubwa sana katika vision.

Japo Dr. Slaa siyo kiongozi wa kiserikali lakini mtazamo wa safari yake umekaa kitaifa na kiuongozi zaidi kuliko safari ya Mwigulu.

Kumbe Slaa yuko kwenye kushindana na Mwigulu! Basi Slaa kumbe kashachujuka to the maximum, kutoka kushindana na Kikwete mpaka kushindana na Mwigulu ni ishara tosha ya direction anayoelekea Slaa...
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?
Unaona mpaka wanakata kiu alafu unasema alipewa dakika ngapi? Una hangover ya madafu?
 
Back
Top Bottom