REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
"Honey twende na mimi nikaone,nipige na picha pia,kule bukoba watajuaje niko kwa Obama?"
Kauli yako inaonyesha ni ya wivu wa kike zaidi,kuliko kuonyesha uGT wako'
"Honey twende na mimi nikaone,nipige na picha pia,kule bukoba watajuaje niko kwa Obama?"
Salma hawezi kutia mguu si kwa sababu hatakiwi,ila ni kwa sababu ya tatizo la lugha ya watu,Josephine
ni msomi mwenye uwezo mzuri,lugha ya kiingereza inapanda na anajiamini.Tujifunze kwa wazungu wanavyothamini wake zao na tuache vijiba vya roho na chuki binafsi
Unajuwa wewe ni mjinga sana
tena sana akili haifikii hata ubongo wa kuku.
Hivi mimi nimchukie au nimwonee wivu Josephine kwa lipi hasa? Hivi una
ufahamu wowote mimi nimetumia resource zangu ngapi kuhakikisha Chadema
inashika dola?
Kwa akili yako ya kijinga wale Wachina wakienda kule Marekani huwa
wamwaga ung'eng'e tu? Kingereza wanaongea mpaka machokoraa wewe ndio
umeona sifa ya kumpachika Josephine! !
Ptuuuuuuuuuuu.
Dr Slaa ana potezea hao
viongozi wa hilo jimbo muda wao tu; hivi kiongozi wa chama kwenda
kujikomba komba kwa Wamarekani ina faida gani kwa CHADEMA?
grow up.!
Acheni kujadili ujinga, kwa yeyote anayefahamu haya mambo atatambua kuwa hakuna ubaya wowote ule kwa josephine kuwa kwenye hii ziara, ila ni utoto tu unawasumbua.!
Jadilini mambo ya msingi mfano: ziara hii ina tija yeyote kwa chama??
Huo ujinga ujinga mwingine waachieni vijana wa mwigulu watukanane mpaka wachoke!
Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!
Huyo ndio slaa na chadema yake bwana. Kaomba appoitment kapewa namuona paole anaonyesha makaratasi ya vilio vyake vya njaa.
Inavyonekana ilikuwa ziara binafsi ndiyo maana unamuona Dr.Slaa yupo na Girlfriend wake.Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!
Inavyonekana ilikuwa ziara binafsi ndiyo maana unamuona Dr.Slaa yupo na Girlfriend wake.
Siasa haziendi hivi kaka, kosoa lakini usitoke kwenye mantiki, JK kila kukicha yeye ni safari za Marekani tu na anatumia kodi zetu.
Na hii ni hatari sana kwa mtu anayetazamiwa siku moja kuwa kiongozi mkuu. Hata Mkapa madhambi yake mengi chimbuko lilikuwa Anna. Huyu mama asipodhibitiwa atakuja kuwa janga kwa CDM na taifa.Hili wala halina mjadala hata JK na udhaifu wake wote pale kwenye official talks Salma hatii mguu.
Dr Slaa ni dhaifu kwa Josephine na wala halihitaji degree kulitambuwa, nitaendelea kumfanyia vetting binafsi Dr Slaa mpaka pale nitakapojiridhisha ameweza kumdhibiti huyu Mwanamke.
Wale wenye mahaba ya kupitiliza endeleeni tu kunifuata pm lakini kwenye sitayumba na msimamo wangu ni mkali sana na hauwezi kubadilishwa na yeyote zaidi ya Dr Slaa na Josephine.
Teh teh teh! Haki ya mungu JF kuna vituko huyu naye anajitapa anaisaidia Chadema, sijui Sabodo atasemaje.Unajuwa wewe ni mjinga sana tena sana akili haifikii hata ubongo wa kuku.
Hivi mimi nimchukie au nimwonee wivu Josephine kwa lipi hasa? Hivi una ufahamu wowote mimi nimetumia resource zangu ngapi kuhakikisha Chadema inashika dola?
Kwa akili yako ya kijinga wale Wachina wakienda kule Marekani huwa wamwaga ung'eng'e tu? Kingereza wanaongea mpaka machokoraa wewe ndio umeona sifa ya kumpachika Josephine! !
Ptuuuuuuuuuuu.
[/CENTER]
Mijitu mingine kwa kuzuwa, mpaka inachafuwa. Hicho chakula kiko wapi hapo? au hayo makaratasi ndio chakula?
Na hii ni hatari sana kwa mtu anayetazamiwa siku moja kuwa kiongozi mkuu. Hata Mkapa madhambi yake mengi chimbuko lilikuwa Anna. Huyu mama asipodhibitiwa atakuja kuwa janga kwa CDM na taifa.
Wewe huwezi kuyafungia
mawazo yangu kwenye cells kumbe nyinyi ndio mliomharibu huyu Josephine
kwa kumpachika u first lady hewa matokeo yake amevimba kichwa na kuwa
kiburi na kuanza kutukana watu wenye heshima zao hapa.
Ni lazima Dr Slaa amdhibiti huyu Mwanamke sasa, kama hawezi akae pembeni
Chadema ni taasisi kubwa watu wapo wa kuvaa viatu vyake.
Inavyonekana ilikuwa ziara binafsi ndiyo maana unamuona Dr.Slaa yupo na Girlfriend wake.
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?
Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.
Alipewa dakika ngapi na Gavana?SAMAHANI FAIZA KWANI MLIMANI CITY MMEPANGA KUILIPUA LINI?alshababu mkubwa weye