Dr. Slaa ni mbabaishaji na hafai kuwa kiongozi ?

Wanamapinduzi, hoja kama hizi hakuna haja ya kuhangaika nazo. Ni taaHira tu au fisadi au asiyejua mbele na nyuma anamchagua JK na CCM.

Leo bei zinapaa na mtajua Dr. Slaa alikuwa anasema nini. Mafuta ya kula ndani ya wiki 2 yamepanda toka elf 2 hadi 3 kwa lita. Na bado mtajuta. Haya ni maafa. Dr anachosema ni kwamba matokeo ya NEC hayana uhusiano na kura zilizopigwa.

Amefanya vyema kutohalalisha huu uhuni na mzaha wa JK na watu wake.

Hoja yenye nguvu. Makame na Kiravu wanajua jinsi ambavyo miaka yote wamekuwa wakishiriki kuiba kura na kuvuruga uchaguzi.

Inakuwaje kila kasoro ambayo washindani utoa iwe ni kasoro ndogo ambayo isingeweza kubadilisha matokeo? Wakati kasoro hizo zinaingilia ndani ya utendaji mzima wa Tume na kuonyesha jinsi gani ilivyokuwa ni chombo cha kupika kura kwa manufaa ya CCM. Halafu bila aibu, soni, wala haya anasema eti kuwaambia watu walinde kura ni kuchochea ghasia na kuleta mashaka yasiyo na msingi.

Kwa taarifa yako Kiravu kila mchaguaji ana haki ya kupiga kura na kuilinda kwani hana wakala wa kura yake. Kama huelewi hilo basi ni uthibitisho tosha wa uwezo wako mdogo wa kufikiri na jinsi dhamira yako ilivyokufa.

Jiuzuluni Makame na Kiravu nyie ni aibu kwa nchi yetu.
 
1) Hakuna ushahidi wa kura kuibiwa (ndio maana nasema huu ni ubabaishaji na uzushi). Tatizo ni kwamba watanzania tunapenda sana majungu, uzushi, umbeya baseless. Just because he was met by big crowds in campagn meeting haimaanishi kuwa zile ni kura - Unajuaje watu walikuja kusikiliza anachosema alafu wameamua vinginevyo
2) Nani kasema ukisoma sana ndio unakuwa kiongozi mzuri - Going to school is necessary but not a sufficient condition/qualification kuwa kiongozi bora. Hata mimi nataka CCM waondoke lakini Dr. Slaa is using a wrong strategy - He is being overzealous about kuwa Raisi. Nimekuwa disappointed sana na huyu jamaa ana mambo ya kuiga. That is why I am taking this position.

Kweli kweli kweli kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Kura zote zimehesabiwa palepale jimboni na mbele ya wakala wake. Kuna wakala aliye dhihirisha kuwa kura zake zimeibiwa

Apo ndo ulipoteleza mkuu kwa upande wangu na unapaswa uache ushabiki wa chama kuwa objective bse Slaa kasema ataongea kesho na ataenda mahakamani sasa unadhani ni ushaidi gani ataupeleka kama sio wa kutoka kwa mawakala.
Kura za NEC na Majimboni hazitally na mawakala nod mashaidi.

Muache unazi jamani jaribu kuwa objective na je kama kura zimehesabiwa jimboni kwa nini zitangazwe na NEC tena zingine zikiwa zimebadilishwaaaaaaaaaaaa

Duu kweli wajinga wali wao, kaka Tume ikiisha tangaza matokeo ya Urais hakuna mahakama yoyote yenye uwezo wa kuchunguza, sasa ataenda mahakama ipi kupinga hayo matokeo ya urais?. Anaweza fanya hivyo kwa ubunge tu sio Urais. Rejea katiba mkuuu.
 
Napenda sana Mtu asiye na UNAFIKI.

Kama wewe umeniibia Shati langu na ninajua kuwa umeniibia na wewe unajua kama umeniibia, sina haja ya kujigonga gonga kwako na kushikana na kukumbatiana wakati Moyoni najua umeniibia kitu changu. Huo ni Unafiki.

Kama nimechukia kwa kuwa umeniibia nitafanya kila njia ujue kuwa kweli nimechukia.

Tuone kama Hilo Shati langu uliloniibia utakaa nali kwa Amani kwa miaka mitano!

Nakuambia kila saa utakuwa unageuka nyuma kwa wasiwasi kwamba ninapanga mkakati fulani dhidi yako na hutakuwa na amani kamwe.

Nimeipenda hii ya Dk Slaa ya kutojigonga gonga kwa mtu.

Kama mbwai, mmbwai tu. Dr Slaa Uzi huo huo. Hakuna kushikana Mikono na Vibaka wa Kijani eti kwa kisingizio cha kudumisha Amani yetu. IPI??????????????

Huu ni mfano mfu kabisa, sikujua kama na wewe una low level ya kufikiria kiasi hicho. Hv unaweza kushabihisha kuibiwa shati na wizi wa kura anao dai slaaa? ni vitu tofauti kabisa.
 
Humtendei haki Dr. Slaa. umekuja kupiga propaganda tu. Kura rais hazikuhesabiwa jimboni. kama hujui kilichokuwa kinafanyika uwaulize wahusika. Kama yaliyokuwa yanatukia ulikuwa unayasikia kwenye vyombo basi tunakupa pole

Alijuwaje kwamba Hai na Geita matokeo yalichakachuliwa?
 
Huyu ana ubaya tu na Slaa,lakini usimwongelee kama hujamsikiliza ukamwelewa msimamo wake baada ya uchaguzi,anachotaka ni haki.Na pia wanajamii jamaa kama hawa wanatakiwa kuelimishwa kwa kupewa hoja ambazo ni sahihi.Ila wale wenye chuki na uzushi tuachane nao.Mie mfano siipendi ccm,si kutoka damuni bali kwa yale wanayotutendea,na pia siwezi kuwaanzishia uzushi naongea yale ninayoyaona.
 
1) Hakuna ushahidi wa kura kuibiwa (ndio maana nasema huu ni ubabaishaji na uzushi). Tatizo ni kwamba watanzania tunapenda sana majungu, uzushi, umbeya baseless. Just because he was met by big crowds in campagn meeting haimaanishi kuwa zile ni kura - Unajuaje watu walikuja kusikiliza anachosema alafu wameamua vinginevyo
2) Nani kasema ukisoma sana ndio unakuwa kiongozi mzuri - Going to school is necessary but not a sufficient condition/qualification kuwa kiongozi bora. Hata mimi nataka CCM waondoke lakini Dr. Slaa is using a wrong strategy - He is being overzealous about kuwa Raisi. Nimekuwa disappointed sana na huyu jamaa ana mambo ya kuiga. That is why I am taking this position.

Kaka sema basi upewe ushahidi.. sio kuongea kutokea uwani wakati unaongea na mkwe... Nani kakwambia kuwa Slaa ni mropokaji kama sio CCM kisa alitaja mafisadi tena kwa njia ya wazi(CCM INTERPRETS kuropoka).. Kura za pale jimboni ziliharibiwa sana na hao vibaraka wa CCM.. Dr.Slaa hang´ang´anii madaraka lakini sisi tuliomchagua ndio tunataka awe raisi na si JK.. Kama wanataka haki kwa nini waliweka sheria kuwa matokeo ya uraisi hayapingwi mahakamani???!!! whats so special?? Sasa Slaa inabidi ashitaki kwa mahakama wananchi ambao ndio tulimpa ruksa ya kutinga mahakamani... Mbona hiyo sheria ingeruhusu tungeongea mengine hapa tuwe waungwana jamani kama tunaitakia mema nchi hiii...
 
Ninaadika kwa masikitiko kwasababu mwanzoni nilikuwa nadhani Dr. Slaa ni kiongozi imara, nimegundua kuwa kumbe ni mbabaishaji na anajiharibia kazi yote aliyo ifanya katika kampeni yake. Nilikuwa sikubaliani na sera zake lakini niliona kuwa anakitiia changamoto CCM.

Lakini kwa haya anayo yafanya na kuongea sasa baada ya matokeo inanibidi nibadili muono nilio kuwa nao kwake. Dr. Slaa ana mawazo mufilisi na uchu wa uongozi ndio maana ana lalama kuonewa. Waswahili walisema kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani. Katika uwanja wa siasa, au mahali popote huwezi kutoa malalamiko ya uzushi uzushi tu.

Kura zote zimehesabiwa palepale jimboni na mbele ya wakala wake. Kuna wakala aliye dhihirisha kuwa kura zake zimeibiwa ?

Kwa fikira zake inadhihirisha kuwa Dr. Slaa ni mtu hatari sana na anaonyesha haja wiva kimawazo na anaeta siasa na kuigaiga (toka nchi zajirani) na kuropoka kama vile Lyatonga Mrema alivyo jipotezea umaarufu wake nchini (sikuhizi Lyatonga ni kama "The Comedy " Nobody takes him serious. Dr. Slaa anajiharibia hata sisi wengine tulio mpigia kura tunasikitika. Ninajuta kumpa kura yangu na itabidi hawa wagombea wanao jichomoza chomoza kuwa angalia sana.

Hivi Dr. Slaa alikuwa amechanjia kwamba mwaka huu lazima awe raisi wa jamuhuri ya Tanzania ? Hata kama kura alizopigiwa hazitoshi ? Ni kiumbe gani huyu, alafu eti alikuwa awe raisi ? Sasa hebu imagine mtu kama huyu alivyo na uchu awe raisi... it will be worse than what we complain of what CCM is doing

Mungu ashukuriwe na sala za kuiombea nchi yetu ziendelee kila siku. Tumeepukana na janga la watu kama Dr. Slaa.

Hii inadhihirisha kuwa upinzani unayo kazi kubwa ya kufanya ili kuaminika na wananchi. Jimbo la Mbulu kwenyewe anakotoka Slaa hakupata kura zote, wamegawana na JK. Inaonyesha hata watu jimboni kwake wasivyo muamini.

Mungu ibariki Tanzania

1. Ili 'argument' isimame vizuri lazima ikidhi walau vigezo viwili muhimu: a) Claim (kama ulivyofanya) b) Data (uthibitisho unaoonesha kuwa 'claim' yako ni sahihi). Kama hakuna hivi vigezo muhimu, unakuwa hujatoa hoja ila unakuwa umesema maneno tu kama ulivyofanya. Sasa tunaomba uthibitishe kuwa Dr Slaa hawezi kuwa kiongozi.

2. Baadhi ya watanzania kama wewe hawana 'crtitical mind' kwa kudhani kuwa mtu akiwa chama tawala anakuwa na chembechembe za kusema ukweli daima na wale wasiokubaliana naye ni waongo. Mara zote Dr Slaa amekuwa akidai kama anachosema si kweli akamatwe na kupelekwa mahakamani. Lakini badala ya kumkamata, vigogo wa CCM na serikali wamekuwa wakisema tu ni mwongo bila kumchulia hatua. Sasa kwa hapa mwongo ni nani? Mwenye vielelezo (ushahidi) na anayetaka apelekwe mahakamani avioneshe, au wale wanaosema tu ni mwongo bila kumchukulia hatua?

3. Dr Slaa alipokuwa akiibua ufisadi kuhusu mikataba ya madini, Richmond, EPA nk aliitwa mwongo pia. Mbona serikali ilipochunguza ilikuta ni kweli kulikuwa na ufisadi na mbona waliokuwa wansema Dr Slaa ni mwongo walikaa kimya na hawakupinga serikali au kuilamu kuwa imefanya vibaya kwa kuwashtaki baadhi ya wahusika wa ufisadi?

4. Watanzania tunatakiwa elimu yetu itusaidie kulikomboa taifa letu na siyo kulidumaza kwa kushabikia vyama vya kisiasa wakati tunaliangamiza taifa. Watu wameshuhudia kura zao zikiibiwa halafu mtu anasimama na kupinga kura hazikuibiwa. Je, huu ndiyo Utanzania wa kutetea maovu yaendelee kutendeka?
 
Huyu jamaa clown mtoa hoja sio smart kabisa....wewe unadhani Slaa hajafanya homework yake?kwa taarifa yako Slaa is smarter than JK's group put together..ni wazi kabisa jeikei kiuwezo ni mweupe kabisa,haingii kwa Slaa na iko waazi kabisa hata my 12year old sister can see wazi wazi...at least tumepata jamaa mwenye dira anatuamsha na tutafika.
 
Ninaadika kwa masikitiko kwasababu mwanzoni nilikuwa nadhani Dr. Slaa ni kiongozi imara, nimegundua kuwa kumbe ni mbabaishaji na anajiharibia kazi yote aliyo ifanya katika kampeni yake. Nilikuwa sikubaliani na sera zake lakini niliona kuwa anakitiia changamoto CCM.

Lakini kwa haya anayo yafanya na kuongea sasa baada ya matokeo inanibidi nibadili muono nilio kuwa nao kwake. Dr. Slaa ana mawazo mufilisi na uchu wa uongozi ndio maana ana lalama kuonewa. Waswahili walisema kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani. Katika uwanja wa siasa, au mahali popote huwezi kutoa malalamiko ya uzushi uzushi tu.

Kura zote zimehesabiwa palepale jimboni na mbele ya wakala wake. Kuna wakala aliye dhihirisha kuwa kura zake zimeibiwa ?

Kwa fikira zake inadhihirisha kuwa Dr. Slaa ni mtu hatari sana na anaonyesha haja wiva kimawazo na anaeta siasa na kuigaiga (toka nchi zajirani) na kuropoka kama vile Lyatonga Mrema alivyo jipotezea umaarufu wake nchini (sikuhizi Lyatonga ni kama "The Comedy " Nobody takes him serious. Dr. Slaa anajiharibia hata sisi wengine tulio mpigia kura tunasikitika. Ninajuta kumpa kura yangu na itabidi hawa wagombea wanao jichomoza chomoza kuwa angalia sana.

Hivi Dr. Slaa alikuwa amechanjia kwamba mwaka huu lazima awe raisi wa jamuhuri ya Tanzania ? Hata kama kura alizopigiwa hazitoshi ? Ni kiumbe gani huyu, alafu eti alikuwa awe raisi ? Sasa hebu imagine mtu kama huyu alivyo na uchu awe raisi... it will be worse than what we complain of what CCM is doing

Mungu ashukuriwe na sala za kuiombea nchi yetu ziendelee kila siku. Tumeepukana na janga la watu kama Dr. Slaa.

Hii inadhihirisha kuwa upinzani unayo kazi kubwa ya kufanya ili kuaminika na wananchi. Jimbo la Mbulu kwenyewe anakotoka Slaa hakupata kura zote, wamegawana na JK. Inaonyesha hata watu jimboni kwake wasivyo muamini.

Mungu ibariki Tanzania
Sory Slaa hatoki jimbo la mbulu anatokea Karatu... Lakini huko mbulu Akoonay wa CHADEMA kabeba kwa gap hatari na slaa pia so umedanganya UMMA naomba ukate kauli??? Tafadhali usituabishe waislamu Kaka... Sisi tumechagua CHADEMA kwa kuwa ni taasisi na Slaa ni kiongozi tuu. Mwenyekiti Freeman Mbowe mkristo lakini makamu wake Muislamu Mhe. Mohammed Arfi, Naibu katibu mkuu bara na visiwani wote waislamu... Tafwaaaadhali usiniletee gazeti la Al-Nuur na Al-Huda hao ni vibaraka wa CCM wala si waislamu kama walivyo Bakwata... si hatuwataki twataka shura ya maimamu sio wao.. Pumba mwaka mzima........
 
No matter what SLAA, Keep on moving, jeshi lililoko nyuma yako ni kubwa kuliko jeshi la waliokutangalia
 
Ninaadika kwa masikitiko kwasababu mwanzoni nilikuwa nadhani Dr. Slaa ni kiongozi imara, nimegundua kuwa kumbe ni mbabaishaji na anajiharibia kazi yote aliyo ifanya katika kampeni yake. Nilikuwa sikubaliani na sera zake lakini niliona kuwa anakitiia changamoto CCM.

Lakini kwa haya anayo yafanya na kuongea sasa baada ya matokeo inanibidi nibadili muono nilio kuwa nao kwake. Dr. Slaa ana mawazo mufilisi na uchu wa uongozi ndio maana ana lalama kuonewa. Waswahili walisema kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani. Katika uwanja wa siasa, au mahali popote huwezi kutoa malalamiko ya uzushi uzushi tu.

Kura zote zimehesabiwa palepale jimboni na mbele ya wakala wake. Kuna wakala aliye dhihirisha kuwa kura zake zimeibiwa ?

Kwa fikira zake inadhihirisha kuwa Dr. Slaa ni mtu hatari sana na anaonyesha haja wiva kimawazo na anaeta siasa na kuigaiga (toka nchi zajirani) na kuropoka kama vile Lyatonga Mrema alivyo jipotezea umaarufu wake nchini (sikuhizi Lyatonga ni kama "The Comedy " Nobody takes him serious. Dr. Slaa anajiharibia hata sisi wengine tulio mpigia kura tunasikitika. Ninajuta kumpa kura yangu na itabidi hawa wagombea wanao jichomoza chomoza kuwa angalia sana.

Hivi Dr. Slaa alikuwa amechanjia kwamba mwaka huu lazima awe raisi wa jamuhuri ya Tanzania ? Hata kama kura alizopigiwa hazitoshi ? Ni kiumbe gani huyu, alafu eti alikuwa awe raisi ? Sasa hebu imagine mtu kama huyu alivyo na uchu awe raisi... it will be worse than what we complain of what CCM is doing

Mungu ashukuriwe na sala za kuiombea nchi yetu ziendelee kila siku. Tumeepukana na janga la watu kama Dr. Slaa.

Hii inadhihirisha kuwa upinzani unayo kazi kubwa ya kufanya ili kuaminika na wananchi. Jimbo la Mbulu kwenyewe anakotoka Slaa hakupata kura zote, wamegawana na JK. Inaonyesha hata watu jimboni kwake wasivyo muamini.

Mungu ibariki Tanzania

Pepo
 
Veni Vidi Vici

Simply laughed off.

You actually lost.

The rest are just conforting words.

For sure you didn't vote for Slaa. Wewe ni mzushi tu.

CCM lazima kiondoke madarakani. Ni suala la muda tu. Kama mumefikia hatua ya kukataliwa usukumani, basi mujue imekula kwenu. Wasukuma huwa hatubadili msimamo tukijua kuwa kuna mtu analeta 'tuja'
 
Mwenye uchu wa madaraka nani? Huoni serikali iliyopo madarakani ikimlazimisha mkurugenzi wa s/mjini kutangaza matokeo ndivyo sivyo kwa sababu tu ya ajira yake. Sasa wamemsababisha kuwa mkimbizi, na hata hao wabunge waliolazimisha kuwa wawakilishi wa watu kwa nguvu nyumba zao sasa zinalindwa na dola. Sijui watatumia gharama kiasi gani kuwalinda kwa miaka mitano. Kwa mtizamo wa hoja nyepesi tu bila hata kuingia ndani na kumwaga data za kuthibitisha wizi wa kura ccm ndio kinganganizi cha madaraka na wako tayari kuzimwaga damu za raia wake kama itakuwa kufanya hivyo kunawahalalishia kubaki madarakani. MIMI NASEMA HIVI!! KWAMBA NASUBIRI DATA ATAKAZOZIMWAGA DR SLAA NA HIZO KWA UAMINIFU WOTE NITAZICHUKUA KAMA KIOO CHA MTIZAMO WANGU WA KUYAKABILI MAMBO KATIKA KIPINDI CHA UTAWALA BATILI WA JK. LABDA CCM IOMBE MUNGU SLAA UOPOOZE MSIMAMO WAKE. LAKINI AKIJA NA MSIMAMO MKALI DHIDI YA SERIKALI BASI IJULIKANE WAZI KUWA MSIMAMO HUO HUO HAUTAPOOZWA, KWANI NDIO UTAKAOTUMIKA KUJENGA HOJA ZA KUISHAMBULIA SERIKALI KWA KIPINDI KIJACHO. IJULIKANE WAZI NA KILA MPENDA AMANI, KWAMBA HAKUNA AMANI NJE YA MUNGU(MUNGU NDIE HAKI). HIVYO UNAPOJARIBU KUIPORA HAKI USITARAJIE MALIPO YA AMANI. Kuna ujumbe ulio ndani ya vitabu vitakatifu unasema 'Watakapokuwa wanasema amani, amani, ndipo uharibifu utawatokea ghafla' Eeh ni kweli kwamba kamwe amani sii bila imani!!
 
Umeongea Pumba mwanzo mwisho, unafaidika kwa ufisadi una haki kuongea hayo ili kulinda kitumbua chako. Ulimpigiaje kura wakati ulikuwa hukubalia na sera zake. Mwenye uchu wa madaraka ni yupi anayeiba abaki au anayeomba kura zilizo halali zihesabiwe na kupewa mtu halali. Njoo urudi tena huenda ukapata walau vilaza wachache
 
Huyu ni kibiriti ngoma wa CCM. Ni wa kupuuzwa na kukwepwa kama bangi za moto. Unazijua hizi. ni zile wanazotumia watu kama kina Ma......a, na wengine wa ssm wanapokuwa majukwaani
 
Back
Top Bottom