assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
nimeipenda hiiUkweli ni kwamba dk.slaa hawezi kuwa rais wa 5 wa tanzania. Huu ukweli mchungu ambao wanachadema inabidi tuubebe tu.

hembu kaulize NEC ya CCM km ni kweli?
DK SLAA ameonyesha udhaifu mkubwa sana na kwa taasisi kama ya urais hatoshi kwa nn
1. kitendo cha yeye kukataa kukubali kushindwa katika uchaguzi ni sababu tosha kuonyesha kwa jinsi gani alivo, fikiri ashinde uraisi kisha ashindwe uchaguzi kwa hoja zilezile alizokataa kukubali kushindwa atatumia hizo hizo kung'ang'ania madaraka mfano mzuri ni bagbo na mwai kibaki walikua kila wakishindwa na vyama vilivoko madarakani kwamba waliibiwa kura lakini walipoingia madarakani ikawa tena wao hawataki kukubali kushindwa kwani tayari walishaanza hiyana tangu mwanzo
2.kwenda kinyume na sera ya mambo ya nje ya nchi ni dalili tosha ya uzalendo mdogo aliokuwa nao kiongozi, nchini marekani DEMOCRAT NA REPUBLICAN linapokuja suala la mambo ya nje wanaungana dhidi ya adui, cha kushangaza baada ya KAGAME kumtukana mh rais na raisi kurespond kuwa sisi tungependa rwanda iongee na waasi ili kumaliza mgogoro dk slaa ALISIKIKKA akimkosoa mh raisi na kuuita huo mgogoro kama mgogoro binafsi, kiufupi ilionesha kuwadk slaa aliipendelea ile kauli ya kagame, je tunaweza kumpa uraisi mtu ambae uzalendo wake kwa nchi ni mdogo
3 katika kongamano la amani lilitokea pale chuo kikuu dk slaa aliitukana taasisi nyeti ya serikali yani jeshi kuliita ni jeshi ambalo linatesa na kubaka raia kiufupi kulitukana jeshi ni kosa bali jeshi linapokea amri kutoka serikali ya ccm hivo kama taasisi ya jeshi si ya kulaumiwa bali ccm. ni juzi tu akiwa kigoma aliokolewa na jeshi hilohilo je dk slaa hafahamu kwamba jeshi letu linajiheshimu kupita yale misri,thailand,congo,nk
note
dk slaa hatoshi kuongoza nchi hii kwani tatizo sio jeshi au polisi bali ni mfumo uliopo hivo huwezi kuvunja jeshi zima ukabaki salama kama rais ila mabadiliko hutokea taratibu na kwa muda mrefu
hv babu sio mtendaji mkuu na mropokaji mkuu wa chamaWe kilaza kweli.
Hakuna sehemu ambayo Kiongozi wa Chadema, Alipingana na Sera ya Mambo ya Nje, lakini unajifanya msahaulifu, Nani kakuambia maneno ya Dr Slaa ni Sera ya Chadema? Kaa uchambue na uujue ukweli ndipo uje hapa. poor analyses.
DK SLAA ameonyesha udhaifu mkubwa sana na kwa taasisi kama ya urais hatoshi kwa nn
1. kitendo cha yeye kukataa kukubali kushindwa katika uchaguzi ni sababu tosha kuonyesha kwa jinsi gani alivo, fikiri ashinde uraisi kisha ashindwe uchaguzi kwa hoja zilezile alizokataa kukubali kushindwa atatumia hizo hizo kung'ang'ania madaraka mfano mzuri ni bagbo na mwai kibaki walikua kila wakishindwa na vyama vilivoko madarakani kwamba waliibiwa kura lakini walipoingia madarakani ikawa tena wao hawataki kukubali kushindwa kwani tayari walishaanza hiyana tangu mwanzo
2.kwenda kinyume na sera ya mambo ya nje ya nchi ni dalili tosha ya uzalendo mdogo aliokuwa nao kiongozi, nchini marekani DEMOCRAT NA REPUBLICAN linapokuja suala la mambo ya nje wanaungana dhidi ya adui, cha kushangaza baada ya KAGAME kumtukana mh rais na raisi kurespond kuwa sisi tungependa rwanda iongee na waasi ili kumaliza mgogoro dk slaa ALISIKIKKA akimkosoa mh raisi na kuuita huo mgogoro kama mgogoro binafsi, kiufupi ilionesha kuwadk slaa aliipendelea ile kauli ya kagame, je tunaweza kumpa uraisi mtu ambae uzalendo wake kwa nchi ni mdogo
3 katika kongamano la amani lilitokea pale chuo kikuu dk slaa aliitukana taasisi nyeti ya serikali yani jeshi kuliita ni jeshi ambalo linatesa na kubaka raia kiufupi kulitukana jeshi ni kosa bali jeshi linapokea amri kutoka serikali ya ccm hivo kama taasisi ya jeshi si ya kulaumiwa bali ccm. ni juzi tu akiwa kigoma aliokolewa na jeshi hilohilo je dk slaa hafahamu kwamba jeshi letu linajiheshimu kupita yale misri,thailand,congo,nk
note
dk slaa hatoshi kuongoza nchi hii kwani tatizo sio jeshi au polisi bali ni mfumo uliopo hivo huwezi kuvunja jeshi zima ukabaki salama kama rais ila mabadiliko hutokea taratibu na kwa muda mrefu
mkuu ww ni mnafiki wewe umefanyann siungesoma uondoke kichaa si lazima aokote makopoThread kama hii si ya kuchangia kabisa, ni pumba tu.
kisha utashushia na gongo na cement utauziwa buku tano na katoliki litapewa shavu si unajua ni padri muasiLabda hafai kuwa Rais kwa sababu hizi:- 1. Aliwalipua mafisadi wa EPA 2. Alishinda Uchaguzi Mkuu wakamchakachua na yeye akaamua kukaa kimya maana nchi ingeingia kwenye machafuko 3. Wauza Sembe watapungua 4. Tembo wataongezeka sana 5. Gharama za maisha kwa Watanzania zitapungua 6. Mikataba ya kishenzi ya uchimbaji madini yatawekwa hadharani 7. Elimu itaboreshwa 8. Wafanyakazi wataanza kulipwa mishahara 9. Safari za nje zitapungua 10. Ataunda baraza dogo sana la mawaziri 11. Kutakuwa na uadilifu na Uwajibikaji katika kila sekta...