Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
Zamani ilikuwa hata ukijenga shule au miradi inayo saidia jamii moja kwa moja haina kodi
Sio zamani hata sasa hivi, kuna utaratibu wa kuomba na unapewa msamaha wa kodi.
Zamani ilikuwa hata ukijenga shule au miradi inayo saidia jamii moja kwa moja haina kodi
Wewe unaongelea vitanda na vyombo vya mahabara, kuna vifaa nya vya ujenzi wa hospitali unaitaji vifaa vingine kama saruji, mabati, magari, nk.
Jina lako linadhihirisha kuwa umetoka pabaya kweli. Polse wana kwa kutetea majanga
Mkuu, ni kweli kuwa vifaa vya hospitalini vimesamehewa kodi lakini si sementi ya kujengea hospitali, mabati, nondo na vinginevyo ambavyo dr slaa ameagiza kutoka japan nayanaletwa kwenye makontena eti kwa kigezo tu kuwa ni mali ya kanisa
Tatizo la slaa ndiyo hilo na kingine yeye hujiona yupo sahihi mda wote na kuwaona wengine kama taka,
lakini kizuri zaidi ni kwamba watu sasa wanamjua vema hata uongo wake upo bayana sas.
Dr.W.Slaa, tatizo lake kubwa ni ubinafsi na ni mtu anayependa kujipigania mwenyewe.
Bahati nzuri amepata wafuasi ambao hawajitambui hata siku moja hawawezi kuhoji chochote.
Yeyote atakayejaribu kuhoji mkono wa chuma unamshukia.
Wewe ndo unatakiwa kujibu na sio kujibu tu unatakiwa pia uoanishe picha ulizoweka na madai yako....acha propaganda za kitoto na pengine naona tumekupa attention kubwa kwa jambo la kitoto.....stori unadai alitembelewa na wajapan 20 nyumbani kwake tz afu picha unaweka ya japan kweli bangi ni mbaya sana kijana.....umeshaambiwa pia CCBRT iko exempted ana haja gani kupitisha vifaa kanisani kukwepa kodi....CCM mnao wakwepa kodi wengi tu ni vema ungeanza na DR Kigwangala aliyefungua duka la hardware kwa bidhaa zilizokuwa exenpted.......watch out kijana....naona umeamua kufa na CCMMimi na Dr.Slaa nani anatakiwa kujibu maswali.
Hakuna alichojibu Dr.Slaa zaidi ya mipasho.
Kamanda takuwekea ushahidi wa picha.
Wewe unaongelea vitanda na vyombo vya mahabara, kuna vifaa nya vya ujenzi wa hospitali unaitaji vifaa vingine kama saruji, mabati, magari, nk.
ukweli ubakie kumbe makanisa yanatumiwa na wakwepa kodi
Kamanda, Dr.Slaa hajawahi kuoa acha kuongea uongo.
hatimaye Ritz ameumbuka baada ya Dr.Slaa kutoa maelezo makini.
Unga mbaya sana naona baada ya kuuza sana mmeamua kutumia wenyewe......kwa hiyo umeshaanza kuita watu mbwa sio.....!!!????Utaratibu wangu huwa namjibu mtu kutokana anajadiana na mie. bahati nzuri mie naongea na mwenye Mbwa.
Huyu babu ni laghai lakini utaona wale wajinga wachache wanaoishi mjini kwa ufadhili wa vijiposho watakavyokuja humu kumtetea mbadhirifu huyu; bahati nzuri tu ikulu ataisoma Tanzania Daima
Mpe dada ako amuoe basi
Wapi ameumbuka?!,akili ndogo sana hizi haziwezi kuongoza akili kubwa.
Kwani we umeshamnyang'anya yule dada yako?!