FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Bibie, ondoa kichwa ulichochimbia ardhini. Escrow ni kwamba hizo hela zilikuwa na ubishi. TANESCO ni kampuni ya umma na badala ya kuilipa IPTL moja kwa moja hizo hela ziliwekwa escrow mpaka ugomvi uliokuwepo baina ya IPTL na Tanesco kuhusu capacity charge utakapotanzuliwa mahakamani. Kwa hiyo in essence ni pesa za umma. Kiwete kasema uwongo kwa sababu yeye na familia yake wamefaidika kwa kuwa wabia 50% wa kampuni ya Singa Singa.
Watanzania wameamka.
Pesa za umma zinakaa escrow? na ile hukumu ya Utamwa hujaiona? kama hujaiona sema nikuwekee, nnayo. Kikwete aseme uongo utamsaidia nini?
Wacheni kuwa misukule.