mwakaila
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 1,053
- 157
Naomba tuheshimiane. Hili jukwaa la siasa na muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu. Msilete utani wa kijinga hapa.
Hapa wanapita wengi sana wa Tanzania na duniani na wanaliona, jaribuni kidogo kufikiri na si muwe wakufikirishwa wakati wote.
Ameuliza tuuu