Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Kwa taarifa yako ni 64% ukiondoa mapingamizi mnabakiwa na ngapi? Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
Plus kuiba kura...yani magamba Qushney

Hiyo hesabu ulipigiwa na Pasco nini?
 
Last edited by a moderator:
Faiza foxy uzuri ni kwamba ukweli unaujuwa ila kwasababu wewe ni msaka tonge lazima kila kitu upinge kwa maslahi yako binafsi..hiyo ni mbaya sana.

Naam, ukweli nnaujuwa na ndiyo uliopo kwenye takwimu za Kitaifa na CCM imeshinda kwa 80%.

Nakushangaa wewe unaejidanganya.
 
Naam, ukweli nnaujuwa na ndiyo uliopo kwenye takwimu za Kitaifa na CCM imeshinda kwa 80%.

Nakushangaa wewe unaejidanganya.

FAIZA FOXY before kilaza Nape mropokaji na domo lake lisilo na break alisema ni 85%....sasa hivi unasema ni 80%...then takwimu za uhakika zina sema 64% tena kwa kubebwa na mapingamizi, tume ya uchaguzi, wakuu wa mikoa/wilaya, policcm, viongozi wa serikali na watumishi plus kuiba kura.
Magamba mmezoea kuiba tuuu
 
FAIZA FOXY before kilaza Nape mropokaji na domo lake lisilo na break alisema ni 85%....sasa hivi unasema ni 80%...then takwimu za uhakika zina sema 64% tena kwa kubebwa na mapingamizi, tume ya uchaguzi, wakuu wa mikoa/wilaya, policcm, viongozi wa serikali na watumishi plus kuiba kura.
Magamba mmezoea kuiba tuuu


Hizo takwimu za uhakika ni za ndotoni mwako.

Weka ushahidi, wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
 
hapa nadhani huyu salaly sleep kala kona,sijui kwanini huyu kijana hajiamini,unapoanzisha kitu you must see it through,kukimbia maana yake ni kukwepa majukumu,a man must be ready to take responsibility for what he does,a man running from his responsibility not a realy man

Hayo si mawazo yangu wala ya ITV hivyo si wajibu wangu kujibu kila kinachosemwa hapa.Isitoshe alichoongea Dr.Slaa si kipya bali ameweka msisitizo tu na huo no ukweli ila wengine ni wabishi tu pasipo kuwa na vielelezo sasa kwanini wanipotezee muda watu kama hao?

Mtu anajua kabisa 1+1=2, lakini mtu huyo yeye anang'an'gana ni 3;mtu kama huyo unabishana nae ili iweje?

Dr.Slaa kaongea ukweli mchungu hivyo lazima povu liwatoke.

Humu JF kuna "waha" kazi yao ni ubishi tu.
 
Hivi unajua namna ya usalama wa taifa hili unavyofanya kazi zake? Kama kwa hakika wangetimiza wajibu wao? Tusingefika hapa tulipo...

usalama wa taifa wanamvumilia huyu mzee wa viporo kwa kuwa ni usalama mwenzao vinginevyo wangemuondoa muda tu. hii ndiyo faida ya raisi kutokea idara ya usalama wa usalama jk ashukuru hilo vinginevyo leo tungekuwa tunazungumza mengine. Na mwakani usalama wa taifa hawatakubali raisi atoke nje ya taasisi hiyo vinginevyo patachimbika bila jembe na utaona wanamsimamisha mtu wao au hansy kitine au mkinga au dr. kitila mkumbo
 
Acha ujinga wako wapi Rais kazungumza uongo,hivi tukizungumzia uongo unaweza kumuondoa mzee slaa kwa uongo uliopitiliza make uongo wake hadi kanisani.
kwa mara ya kwanza, katika historia ya tanganyika, jk kalidanganya taifa waziwazi bila aibu kwa lengo la kutetea mafisadi.
 
TANGAZO.
kwa wale mnaolala sasa kesho tukutane hapa kwenye huu uzi muhimu sana.
wengine tujumuike pamoja katika mkesha hapa katika uzi huu japo salaly amekimbia najua atarudi tu kwahiyo tulizeni bolu(mh hivi ni bolu ama ball),i mean mtulize mshono cause libereke liko on full time.
katibu wa uzi
mkuu unamaanisha ule mshono wa tezi dume ama..
 
FAIZA FOXY mbona wewe mkorofi sana? Magamba wanakulipa buku ngapi mpaka unakosa utu na aibu?

Mkuu achana nae, mambo yote aliyosimamia ameangukia pua. Kumbuka hoja zake:- hakuna mtu atakaeachia ngazi kwa ajili ya ESCROW , mara fedha za escrow si za Umma lakini tunaona watu wanaendelea tu kupungua serikalini kwa sababu ya ESCROW. Kushindana na mtu anaejiona msomi kuliko wote duniani ni kupoteza. Hajui kuwa too much of everything is harmful. Kwa kuwa elimu yake imezidi kiasi, sasa imekuwa ujinga , mhurumieni mwenzenu huyo mdini.
 
FAIZA FOXY mbona wewe mkorofi sana? Magamba wanakulipa buku ngapi mpaka unakosa utu na aibu?

Mkuu achana nae, mambo yote aliyosimamia ameangukia pua. Kumbuka hoja zake:- hakuna mtu atakaeachia ngazi kwa ajili ya ESCROW , mara fedha za escrow si za Umma lakini tunaona watu wanaendelea tu kupungua serikalini kwa sababu ya ESCROW. Kushindana na mtu anaejiona msomi kuliko wote duniani ni kupoteza muda. Hajui kuwa too much of everything is harmful !!! Kwa kuwa elimu yake imezidi kiasi, sasa imekuwa ujinga , mhurumieni mwenzenu huyo mdini.
 
msikilize dr.slaa live itv akiongelea sakata la escrow na hotuba ya kiwete.

Dr.slaa, anamlaumu raisi kikwete kwa kukosa uzalendo kwa jinsi anavyoshughulikia sakata hili la escrow na kumlaumu kwa kuvunja katiba.

Dr.slaa amlaumu kikwete kwa double standard.yaani kumuondoa tibaijuka kazini na kumuweka kiporo muhongo.pia, amehoji utaratibu wa kumuweka mwanasiasa kiporo.

Dr.slaa anasema kikwete anapuuza bunge na kwamba hivi sasa ni serikali inayolisimamia bunge na si bunge linaisimamia serikali.

Dr.slaa anasema seth anastahili kuwa amekamatwa kwa kugushi nyaraka na pia kutolipa kodi na kwamba raisi anafumbia macho.

Dr.slaa anasema singasinga huyu ana uhusiano na ikulu kwa muda mrefu na ndio maana hachukuliwi hatua.

Pia,dr.slaa ameishaangaa polisi kupewa msaada wa fedha na singa singa.

Dr.slaa pia anashangaa raisi kuwasiliana kwa email na mtuhumiwa mmoja na huku mtuhumiwa huyo akimwita raisi "dear".

Dr.slaa anungana na maaskofu kutaka uwajibikaji wa watuhumiwa wa sakata hili na pia ameungana na wanaosema raisi anapaswa kujiuzulu(deus kibamba ni mmoja wa watu waliotoa kauli kuwa, kwa sakata hili,hata raisi anapaswa kuondoka madarakani-tanzania daima la leo).

Dr.slaa amemalizia kwa kusema hawana chuki binafsi na muhongo wa raisi.
..thank u mr president
 
haa haa, kumbe ana mpango wa kukupata? Duh..

Hawezi hata kujaribu, kama anaweza aje JF Palace, jukwaa la Kiingereza kitupu, tunachapa kule kimombo tu, vijana wa shule za santa Mlupo inafaa mpitie kule mpate mazoezi, umkumbushe na huyo anaejiita sandy candy aje, maana huwa anahororoja hapa bila mpango, aje kule nimpe za uso kwa hiyo hiyo lugha nisiyoielewa na nimpe darsa kuhusu hilo jina analojiita (inasikitisha kijana kujiita sandy candy) pengine hajuwi hata maana yake.

Link hii hapa: Jamii Forums Palace
 
Back
Top Bottom