Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Nyie mnadhani nchi ni kucheka cheka tuuu! Kwa vile hata hewa mnayovuta Ikulu inachujwa ili muwe wazima na kutekeleza majukumu bila waa! walahi mkitoka lazima muwajibike!

Teh teh teh Mkuu inakuuma mpaka unatia huruma maskini, unaonaje tukupe silaha basi ujitoe muhanga?
 
Walimuahidi Mengi kuwa prof Muhongo watamfukuIsha kazi sasa wamechanganyikiwa.
Nakubaliana na wewe Mkuu. Kelele zote zilikuwa zinamlenga Prof Muhongo. Sasa wamechanganyikiwa kwa vile wamekula cha mtu
 
Hizo ni porojo za hapa na pale, Jakaya Mrisho Kikwete kafunga kazi, sasa nyinyi hangaikeni mtafute jingine, hili kwisha.

Mmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
kazi gani kafunga? Nakuhakikishia ndo kwanza ameifungua, kama rais bila ushabiki amewaangusha watanzania, tulikuwa na matumaini makubwa na mh. Rais, lakini ametuangusha.
 
Hivi slaa anadhani naye kunasiku anaweza kuwa kiongozi wa taifa hili,anachekesha kweli huyu mzee.
 
Dissertation zake kuanzia masters hadi Phd aliandikiwa? Ya nini kusema uongo? Unasema uongo kwa manufaa ya nani?

Tukirudi kwenye hotuba ya JK haijajibu kiu ya watanzania kuhusu maamuzi yao kupitia bunge. Kama prof hakubaliani na bunge afuate katiba alivunje bunge ili tufanye uchaguzi vinginevyo ajiuzulu.

Kweli mdau, kama Rais hakubaliani na ushauri ama maazimio ya Bunge Katiba iko wazi. Atekeleze ama avunje Bunge!
Na ajiulize kipi chenye manufaa kwa Taifa kuvunja Bunge ikiwa ni pamoja na gharama za kuandaa uchaguzi mwingine au kutekeleza maazimio ya Bunge? Kipi chenye gharama rahisi?

Kwa nini tulembe? Kwa nini Rais ulembe?

Bunge ndiyo sauti ya Wananchi, kwa mantiki hiyo kama wamekushauri hivyo wewe Raisi kwa nini usitekeleze maamuzi ya Wananchi? Gharama zitokanazo na utekelezaji wa maazimio hayo ya Wananchi si watabeba wananchi wenyewe?
 
ngaluma,ooh ngaluma WTF?,weka ushahidi we babu ngaluma kachukua kiasi hiki,document hizi hapa,short and clear
 
Nyie mnadhani nchi ni kucheka cheka tuuu! Kwa vile hata hewa mnayovuta Ikulu inachujwa ili muwe wazima na kutekeleza majukumu bila waa! walahi mkitoka lazima muwajibike!
Njaa mbaya sana. Xmas hamjapeww pilau hapo Kinondoni?
 
ngaluma,ooh ngaluma WTF?,weka ushahidi we babu ngaluma kachukua kiasi hiki,document hizi hapa,short and clear
Umeona eeeh! Nashangaa kuona Padre Mzinifu anakuja na bla blaaa nyingi pasi na ushahidi wowote
 
Babu anajidai Eti kageuka Sumaku (magnet)ya kunasa mawasiliano. Kila mtu anajua kuwa unaweza kuanzisha Email mbili tofauti kwa kutumia majina unayotaka then ukarusha email ukaenda kutangaza umenasa mawasiliano.mfano fmbowe@yahoo.com na nyingine drslaa@Gmail.com then ukarusha any sms kutoka one account kwenda nyingine ukajitokeza kujifanya Sumaku ya kudaka mawasiliano.
Haya mambo ni makubwa mno kwa uwezo wa ubongo na elimu yako so you better keep quiet
 
Utamchaguwa wewe, sisi hatumchaguwi. Hilo ni wazi. 90% ya wapiga kura Waislam hawatathubutu kumchaguwa, hilo kumbuka.

Hatuwezi kuchaguwa mtu asiye na maadili hata kidogo, awe padri asiwe padri. Unamuona nyoka kaingia kwenye tundu halafu unapeleka mkono? mawee!
Juliana shonza leo umekuwa mwisalamu..du siasa hizi mbn zinawavua nguo watu..
 
dr. slaa ni hazina ya watanzania wote na ndiye kiongozi mzalendo wa ukweli mwenye kuisimamia sheria vizuri,siyo mpiga dili kama hao wauza rasilimali zetu..ndio pekee mwenye kuitoa nchi hii hapa ilipo hadi uchumi wa kujitegemea maana tuna kila aina ya rasilimali tatizo tumekosa viongozi wazalendo wenye uchungu na watanzania!! so dr slaa is the right person at the right time for our development..tuweke kando siasa za maji taka kama hizi za LB7...tuwe wamoja kumuunga mkono mzalendo huyu...!!!
Ni hayo tu ....!!
Naona unamnadi sana Babu mwenye Mchumba hadi leo hii. Is it that hajui Uzinifu ni DHAMBI kubwa? najiskia kinyaa kuongozwa na Mzinifu, wewe je?
 
Kweli mdau, kama Rais hakubaliani na ushauri ama maazimio ya Bunge Katiba iko wazi. Atekeleze ama avunje Bunge!
Na ajiulize kipi chenye manufaa kwa Taifa kuvunja Bunge ikiwa ni pamoja na gharama za kuandaa uchaguzi mwingine au kutekeleza maazimio ya Bunge? Kipi chenye gharama rahisi?

Kwa nini tulembe? Kwa nini Rais ulembe?

Bunge ndiyo sauti ya Wananchi, kwa mantiki hiyo kama wamekushauri hivyo wewe Raisi kwa nini usitekeleze maamuzi ya Wananchi? Gharama zitokanazo na utekeleza
HUWEZI KUMSHINIKIZA RAIS afanye utakavyo wewe
 
Mimi Mtanganyika, tena kweli kweli, nimezaliwa kabla ya hii nchi Nyerere hajaibambikia kuipachika Tanzania, jina alilotoa Muhindi wa Tanga.

Muulize Tundu Lissu.

Karibu kwetu Chumbageni. Tanga
maembe ya tanga.jpg
 
Back
Top Bottom