Akili finyu huongelea watu, ukubwa wa ufahamu hupimwa kwa hoja. Kama una neno jibu hoja za Dr. Kama akili zako ni nyembamba kwamba anachokisema Dr. Slaa kwako ni maandishi ya kichina, unakaa kimya ili ufunike utupu wa kichwa chako.
Hapa tunataka hoja. Ujibu hoja za Dr Slaa moja baada ya nyingine. Hujui, nyamaza.
Hapa tunataka hoja. Ujibu hoja za Dr Slaa moja baada ya nyingine. Hujui, nyamaza.
Hana isue. Huyo ni mzee wa matukio. If no matukio hakuna mwanasiasa.