FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Faiza mke wangu nakutafuta...ulilala wapi jana
Toa upuuzi wako hapa, nililala kwa mumeo.
Faiza mke wangu nakutafuta...ulilala wapi jana
Maazimio ya bunge yepi ambayo hayajatekelezwa? la kutaifisha? hilo sahauni, hakuna mwendazimu ataeiingiza nchi kwenye hilo tatizo, hamkumbuki yaliyotukuta Nyerere alipotaifisha? au hamkuwepo? hata kanda mbili tukawa hatuna tunavaa makatambuga.
Huko Kikwete kishasema NO. Ujamaa wa kutaifishana na kujiingiza kwenye matatizo tuliachana nao zamani.
Remember life is not static....kutoka kwa nyerere now kikwete....nimekumis lakini mke wangu
kwani mnao kamua povu kwa kutete speech ya rais na iptl, ni kwamaslahi ya nani?
Ya Tanzania.
Kuna lipi baya alilofanya Kikwete?
Kwani wewe ni muislamu?? huko uarabuni au afaghanistan ulishaona mwanamke akijitutumua mbele za wanaume? Mwanamke wa Kiislamu unatakiwa uwe na adabu mbele za wanaume wewe pumbavu
Toa upuuzi wako hapa, nililala kwa mumeo.
Nchi gani hiyo????
Wacha porojo, tuko Tanzania hapa hatuko Afghanistan wala Peru.
Babu Slaa hata tukiweka mgombea wetu awe jiwe basi tutashinda. Nani ampe kura babu asiye na maadili?
haah,haah jini mahabaToa upuuzi wako hapa, nililala kwa mumeo.
tatizo la mitanzania ni kuweka siasa hata pale pasipostahiki siasa, suala la pesa kubebwa kwenye lumbesa sio la zitto but ni lililothibitishwa na vyombo vya dola kupitia Pccb! Tuache kufanya siasa katika mambo yasiyohitaji siasa!we mbugila umeona watu wanauza mkaa unaambiwa pesa na akina zitto na wewe unaruka nayo kama juha tumia akili yako vema siyo kuruka tu.
kama ni uzinifu sio slaa tu, tezi dume ni mzinzi hakuna mfano. Kila wilaya nyumba ndogo, tunapotezea kwa sababu hayo ni mambo binafsi.Mbona hajazungumza kuhusu maaskofu walionufaika na fedha hizo? Mbona hajazungumza kuhusu benki ya Mkombozi iliyofanikisha utolewaji wa fedha hizo? By the way Dr Slaa dhambi ya uzinifu inamuandama. Hana uhalali wa kuhoji makosa ya mwingine. Kwa uzinifu anaofanya mahala pake ni Jehannam tu
Ukiwa mwajiriwa wa lumumba siyo lazima uwe mpumbavusuala la overchaging lilitolewa hukumu na ISCID long time na charge ikapungua.
madai ya pili hayakupata kwenda mahakamani,na hayana nguvu kisheria@salal sleep
lini waislamu walikutuma hayo? Jizungumzie wewe kama wewe! Kuhusu uadilifu jk katuonyesha wazi hana, bila ushabiki rais wetu katudhalilisha sana kwenye ile hotuba yake na wazee wa ccm!Utamchaguwa wewe, sisi hatumchaguwi. Hilo ni wazi. 90% ya wapiga kura Waislam hawatathubutu kumchaguwa, hilo kumbuka.
Hatuwezi kuchaguwa mtu asiye na maadili hata kidogo, awe padri asiwe padri. Unamuona nyoka kaingia kwenye tundu halafu unapeleka mkono? mawee!
jibu hoja na sio personal attack .Hivi kama slaa alianza uzinzi tangu akiwa kanisani atakuwa na fikra za kujenga hoja kweli ,nadhani mungu kamlaani kabisa ni mchafu kuanzia miguuni mpaka kichwani.
Umeona eeeh! Nashangaa kuona Padre Mzinifu anakuja na bla blaaa nyingi pasi na ushahidi wowote
kwa nini jk hajamchukulia hatua? Halafu hayo majungu na fitna hayatusaidii kama taifa. Uzinzi wa tezi dume mbona unajulikana wazi? Mbona watu hawasemi?Hapo ndipo Dr Slaa alipochemka. Kusema tu haitoshi bali alipaswa kuweka hadharani ushahidi huo wa email. Mtu akizoea kukwiba wake za watu hata uwezo wa kufikiri unapotea
haa haa mkuu umewapa za uso.wengi wenu humu mnao itetea ccm hamna elimu yakutosha pamoja na ajira ya uhakika...mmekalia kwa keyboard 24/7!
hongereni kwa kuitetea jf afu wanufaika tukiwa wengine....
Why you are behaving like a silly Margot out from a Toilet?.Hana ishu. Anaichambua imekuwa mchele?
Wacha porojo, tuko Tanzania hapa hatuko Afghanistan wala Peru.
Babu Slaa hata tukiweka mgombea wetu awe jiwe basi tutashinda. Nani ampe kura babu asiye na maadili?
kwani kwa sasa hapo ikulu pakoje?Halafu tunachaguaje mtu aliyekuwa mzinzi mpaka akiwa kanisani hapo ikulu patakuwaje.