Dr.slaa live east africa tv leo saa moja jioni

Je kwenini Dr Slaa anajitambulisha wa VIjana?

Slaa ana mkakati gani na vijana?

Je tamko lake litapata nguvu kutoka kwa vijana??

Kaka Vijana ni taifa la Leo, hivyo harakati zote za kikombozi na maendeleo ya nchi kiuchumi, kijamii na mengine lazima yaanze na vijana, hivyo Dr. Slaa ni sahihi kutulenga sie vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa hili lililo dumaa kiuchumi
 
Its so good 2 hear Dr. Akizungumzia mambo ya jamii apart from siasa. He is really multi talented. Ana ushawishi wa kusikilizwa...Huyu mtu ni wa pekee kwa kweli. He's calm, collected utafikiri si yule aliyepitia misukosuko wiki chache zilizopita. Big up Doc. Life goes on.
 
Je kwenini Dr Slaa anajitambulisha wa VIjana?

Slaa ana mkakati gani na vijana?

Je tamko lake litapata nguvu kutoka kwa vijana??

Unajua sometimes kutokana na msukumo ambao vijana wameonesha ni rahisi kudhani kuwa Dr. Slaa amejengewa mazingira ya kuwavuta kupitia kipindi hiki. Mi nafikiria tofauti. Nitaeleza.

Maswali aliyoulizwa hayajaonesha wazi connection ya mjadala wake na vijana. Kaulizwa tu masuala ya familia na malezi, hata mazungumzo yake hayakujikita sana kuhusu ari na msukumo wa vijana. Hata hivyo ametumia nafasi aliyopata kusifia vijana "kujiheshimu" na "kuomba msamaha" pale wanapopotoka. Anaweza akawa ametumia nafasi hii kisiasa. Hii ni kawaida kabisa. Ila sidhani kama kuna juhudi za makusudi kumpa shavu.

Unajua watangazaji wanapoita watu studio mara nyingi huwa wanakuwa wamekutana nao katika mizunguko. Si ajabu alishakuta na Dr. Slaa wakazungumza mambo ya vijana hivyo mtangazaji (Chriss Mauki, mume wa Miriam) akavutiwa akaona bora amwite wajadili studio. Namfahamu Mauki, niliwahi kufanya naye kazi sehemu fulani, ni mtu social na mchangamfu. Ni inspirational speaker wa mambo ya vijana na familia.

Hivyo nashauri JK wa Ukweli uwe na macho mengi zaidi. Ukimwona Dr. Slaa fahamu si mwanasiasa tu au mtu anayemtikisa unayempigia debe tu, bali pia kama msomi, muumini wa dini, Mtanzania, Mwenyekiti CCBRT, mzalendo, Mwanasaikolojia, mwandishi, baba wa watoto etc. Usiishie kuona tu kuwa ni mpinzani na mkristo hatari. Ukifanya hivyo utakuwa unaendekeza ujinga. By the way kama una maswali kuhusu saikolojia au yote aliyoyazungumza nakukaribisha.
 
Unaliambia sikio la kufa...........
 
Thank you Superman Mungu wangu akubariki. Big up rais wangu kwa somo murua kwa vijana. Tuanhitaji marais of this type.
 
4 Sure this gentleman posess a high convincing power. Nimeahirisha hadi kwenda kuoga.! I just feel listenin 2 him ! Huyu mtu ni tishio, ana ufahamu na ushawishi wa hali ya juu. TV zote mtaani zimetune EATV.
 
Katika jamii yeyote vijana ndio majority wa jamii hiyo. Ukifanya normal distribution utaona wazee almost 25%, watoto almost 25% bali kwa vijana inakaribia 50%. Vijana ndio wenye maamuzi na kama kweli wakiamua hakuna wa kuwazuia. Ndio maana watawala wengi wanawaongepea vijana kwa kuwapa ahadi za uongo kuwa wao ni TAIFA LA KESHO!! Kwa nn Chadema wameshinda mijini ni kwa sababu ya vijana!! Vijana wako tayari kutake RISK, they have nothing to lose!!
 
Back
Top Bottom