Dr.slaa live east africa tv leo saa moja jioni

Anatoa mfano wa kafulila na wengine katika bunge ili. Kwamba vijana wakijiamini wanaweza.
 
Anasema yeye amekuwa Bungeni na amewalea vijana. Anatoa mfano wa Zitto ambaye mwenyewe amekuwa akisema yeye ni mwalimu wake . . . simu tena toka Kyela
 
Wanauliza kama vitabu vyake bado vipo? anajibu atawasiliana na printers. Duh! Kila kitu cha Dr. Slaa kitauzika sasa . . .


Simu tena . . . .
 
Simu toka DSM: Pongezi na shukrani za kuingiza wabunge wengi bungeni. Je ana maoni gani viana watafanya vizuri?
 
Kuna swali limeulizwa kuhusu ukorofi wa spika je vijana wataweza kumkabili.
Slaa anasema wale vijana wameandaliwa na moto wake utaonekana.
 
Anatoa mfano wa Zitto na Halima Mdee jinsi walivyoingia vijana na jinsi walivyomudu kazi zao.

Anasema kwa wabunge wa CHADEMA wameshapewa mafunzo ya jinsi ya kutumia kanuni . . .

Big up sana kwa hili
 
Anaulizwa Josephine ni nini siri ya malezi mazuri.

Mama kakata nywele, kapiga Helleni za kiafrika na African Dress. Yuko vizuri tu . . .
 
Anasema mtoto akisomea kijijini kisha chuo akaenda kusoma mbali na kupata kazi huko. Je huyu aliyekulia vijijini na kwenda kuanza kazi town mazingira yanamuadhiri vipi kiutendaji?
 
huyu josephine ni mzuriiiiii!kweli anafaa kuwa first lady kivuli.................slaa endelea kuchuna usiende shaurini...huyu mama kabila gani jameni?
 
Sorry wakuu, I missed some points . . . nilikuwa namfungulia shemeji yenu geti . . . katoka kusuka nywele
 
Duh! lakini hii topic haina upako sana kwa Dr. Slaa . . . .

Wengine tulikuwa tunategemea nondo kali za masuala ya kitaifa . . . inakuwaje watu wangu wa EATV?

Kipindi kimeisha.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom