Dr.slaa live east africa tv leo saa moja jioni

josiah2008

Member
May 22, 2010
51
23
Dr.Slaa atakuwa live kwenye kipindi cha 5CONNECT kinachorusha na East Africa Tv leo jioni kuanzia
saa moja usiku hadi saa mbili.USIKOSE !!.

SOURCE: EATV
 
Ameongea nini. Nina hamu ya kusikia anasemaje kuhusu uchakachuaji.

Slaa ana nguvu ya watu, Kikwete ana nguvu ya dola.
 
Yeeeeeeeeeeeeeeeeessssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Dr. Slaa - Rais wa wananchi wa Tanzania

Kikwete - Rais wa Tanzania
 
Ameongea nini. Nina hamu ya kusikia anasemaje kuhusu uchakachuaji.

Slaa ana nguvu ya watu, Kikwete ana nguvu ya dola.

Kichuguu una hang over nini ? maana unaambiwa ataongea leo jioni wewe unauliza ameongea nini? wahi supu kwanza ndo uje jamvini
 
17th November 2010

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) secretary general Dr Willbrod Slaa will today have an exclusive interview with EATV on its 5 Connect programme.
The main topic to be discussed during the programme is whether the capacity of young people could be measured on the basis of the way they are brought up or the environment in which they grow.
The programme will be aired live at 7pm and the main objective is to highlight and analyse the pillars that determine the resourcefullness and effectiveness of young people in the country.
Having written a book entitled: "Utimilifu wa Msichana and Utimilifu wa Mvulana", Dr Slaa will shed light on the way he sees young people in the country.
SOURCE: THE GUARDIAN
 
Wadau mnaokamata hii Tv station msikose kumwangalia Dr.Slaa leo saa moja jioni(EA time).
Pia fulsa itatolewa kwa watazamaji kupiga simu na kumuuliza maswali mbali mbali.

Sorry kama kuna thred kama hii tayari imeshaanzishwa, mod you can combine together.
 
Ameongea nini. Nina hamu ya kusikia anasemaje kuhusu uchakachuaji.

Slaa ana nguvu ya watu, Kikwete ana nguvu ya dola

good.dola yote ni watu lakini siyo watu wote ni dola
 
Sasa tuko live na Dr. Slaa EATTV

Maada ni:

"Je uwezo wa Utendaji wa Kijana unapimwa kwa Malezi au Mazingira?

Ambatana nami . . .
 
Back
Top Bottom