Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,059
Wenzako wameelewa! Kilaza wewe ndio hujui CDM ni nini!hatuna kilichosajiliwa kinaitwa CDM hapa tanzania
Wenzako wameelewa! Kilaza wewe ndio hujui CDM ni nini!hatuna kilichosajiliwa kinaitwa CDM hapa tanzania
Avatar yako iko sawa na akili zako.

Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!

Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
kumbe?Avatar yako iko sawa na akili zako.

Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!

Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Hebu nipe reference ya maandamano ya CDM yaliyowahi kufanyika dar! Labda mimi mgeni jijin hapaKwani Dar kuna uchaguzi wapi? List of shame ilifukuliwa wapi vile; Mwembeyanga na si Dar! MaJimbo ya Kawe na Ubungo yako Arusha siku hizi, lakini cha kushangaza Arusha na Manyara, CDM wana majimbo mawili tu!
Thubutu walete Dar? Labda kama wataleta hayo maandamano basi yataanzia Kimara Temboni yataishia Kimara Bonyokwa! Huko ndio wanakaa WachaggaHahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Watake radhi vijana wa dar plz..Dsm watoto wa kiswahili wengi, hawana ufaham, wanasubiria bmkubwa awape mia5 ya vocha, walio bahatika kuwa na wazazi wachapa kazi wanasubiria mshua aweke funguo za gar mezan, waibe gari.. Vijana wa dar, wachache sana ndo wamejaliwa kuwa na akili. Wengi vilaza..

Hebu nipe reference ya maandamano ya CDM yaliyowahi kufanyika dar! Labda mimi mgeni jijin hapa

Thubutu walete Dar? Labda kama wataleta hayo maandamano basi yataanzia Kimara Temboni yataishia Kimara Bonyokwa! Huko ndio wanakaa Wachagga
Picha mkuu.

Watake radhi vijana wa dar plz..
Ha! Ha! Ha! yaani kusema CDM mbona hawafanyi maandamano Dar ndio udini?Udini udini udini hauwafikisha popote nyie mnaohongwa na Nape kusema,endeleeni na huo upuuzi wenu huku Cdm inazidi kuchanja mbuga kila kukicha na uzuri CDM inafanya maandamano mengi vijijini sababu ndiko kwenye wapiga kura wengi wa nchi hii na ndio wanaoumizwa kimaisha na mfumo dhalimu wa Magamba

Dsm watoto wa kiswahili wengi, hawana ufaham, wanasubiria bmkubwa awape mia5 ya vocha, walio bahatika kuwa na wazazi wachapa kazi wanasubiria mshua aweke funguo za gar mezan, waibe gari.. Vijana wa dar, wachache sana ndo wamejaliwa kuwa na akili. Wengi vilaza..

Ha! Ha! Ha! yaani kusema CDM mbona hawafanyi maandamano Dar ndio udini?