Dr Slaa, Lema wafunika Monduli

Dr Slaa, Lema wafunika Monduli

Kwani Dar kuna uchaguzi wapi? List of shame ilifukuliwa wapi vile; Mwembeyanga na si Dar! MaJimbo ya Kawe na Ubungo yako Arusha siku hizi, lakini cha kushangaza Arusha na Manyara, CDM wana majimbo mawili tu!
CHADEMA kwa Arusha wana majimbo mawili, Karatu na Arusha Mjini; kwa Manyara wana jimbo moja, Mbulu. Hivyo wana majimbo matatu Arusha na Manyara

Dar wasomi wengi na wanajitambua!

Huwezi kukuta kijana wa dar anafanya upuuzi wanaofanya vijana wa cdm wa mikoani.

Vijana wa dar wanafahamu njia muafaka za kudai haki zao!

Si ndio maana mmewateka hiyo yote ni kwa sababu hawajitambui,safari hii tunatoka huku kuja huko kuwahamasisha waondokane na ukoloni mambo leo.

Dar wasomi wengi na wanajitambua!
Huwezi kukuta kijana wa dar anafanya upuuzi wanaofanya vijana wa cdm wa mikoani.
Vijana wa dar wanafahamu njia muafaka za kudai haki zao!

Wasomi wa dar wanakaa jimbo la Ubungo na Kawe. Maeneo yaliyobaki yanahitaji nguvu ya ziada kuwaelimisha ili wajitambue. Wengi wao ni wanywa ghahwa na wapenda umbea.

Chadema mwendo mdundo hakuna kulala mpaka kieleweka,kwa Dar wasomi wapo Ubungo,Kawe,huku kwingine Temeke,ilala ni vilaza wa kutupa, kazi yao ni kunywa kahawa na kucheza bao wameishia darasa la saba.

Na we Rejao lazima uje CDM haitafika 2015 bila wewe kujiunga CDM,andika kabisa kwenye kumbukumbu zako CCM sio baba yako wala mama yako,utawakingiaje matajiri na watoto wao kifua wakati we mwenyewe unaumia?au unataka kutudanya kwamba huu mfumuko wa bei we haukuhusu?

kilaza la JF halijui English , nenda shule ya watu wazima wewe , huelewi kitu

bahasha wako Estomiah malla amepigwa chini jumla , lete porojo kj ritz
Wakuu, eti huyu ndio kiongozi wa Saccos mpimeni tu kwa maneno yake! si atakuwa anawaongoza wahuni wenzake.
Acha utumwa wa kiakili English ni lugha tu kama Kichagga kijana, wewe ulivyokuwa pumba ukimuona mtu anaongea English unajua ni msomi kaenda shule. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!. Sasa siku ukifika England, Scotland au Wales, si utasema nchi nzima ni wasomi mpaka watoto wadogo ukiwasikia wanaongea English.
Ulivyokuwa mtumwa wa lugha za watu mpaka kichagga ukitaki tena

Ritz, Wachagga wamekukosea nini? Mbona ni watu wazuri tu kama Watanzania wengine.

hakuna kilaza kule kama wewe , .., upuuzi na chuki mwiko kule. kabila lako la chuki, wivu, dhiki na ujinga litakutesa mpaka uamue kwenda elimu ya watu wazima

teh teh teh

Kumbe haya ndio huwa unayaongea kwenye Saccos yako mara mkutanapo pale Hongera Bar?
Nashangaa ni meeting gan inakaa mpaka usiku wa manane! Kumbe mnapanga mbinu za kutumbua hela za wana JF wasichojua nini kinaendelea?

kweli Dr.slaa wewe ni mpambanaji kwa sasa unastahili degree nyingine ya saba

CHADEMA kwa Arusha wana majimbo mawili, Karatu na Arusha Mjini; kwa Manyara wana jimbo moja, Mbulu. Hivyo wana majimbo matatu Arusha na Manyara

Ole sambu (east Arumeru).
G. Lema (Arusha town).
I. Natse (Mbulu).
M. Akonaay (Karatu).
Others to come soon including after seize of west Arumeru mp who is in serious condition with ugonjwa wa brain yake.

Hivi nachingwea ipo tanzania??? Huko pia vilaza wapo wa kumwaga, ila watapata akili siku chadema itakapoikomboa nchi kutoka mikononi mwa mafisadi... Na siku hiyo haipo mbali..

Acha kashfa wewe! Even Nachngwea mabadiliko yapo au unadhan hyo degree yako ndo inakufanya kujua kila linalotokea Tz?

Ole sambu (east Arumeru).
G. Lema (Arusha town).
I. Natse (Mbulu).
M. Akonaay (Karatu).
Others to come soon including after seize of west Arumeru mp who is in serious condition with ugonjwa wa brain yake.

Akoonay(mbulu) na Natse(karatu) hapo umechanganya..

Kumbe haya ndio huwa unayaongea kwenye Saccos yako mara mkutanapo pale Hongera Bar?
Nashangaa ni meeting gan inakaa mpaka usiku wa manane! Kumbe mnapanga mbinu za kutumbua hela za wana JF wasichojua nini kinaendelea?

kuna kitu kinakuuma sana, .... complete ignorance. ... sorry you are not of my caliber

kuna kitu kinakuuma sana, .... complete ignorance. ... sorry you are not of my caliber
Owk..nitadeal na hiyo Saccos
Waiting for u to put things in order!

Kichwa cha habari kinanikatisha tamaa. Kila wanakoenda viongozi wetu wa CHADEMA wanafunika? Wana tofauti gani na wasanii wa kawaida akina Juma Nature, 20%, Prof Jay, AY, LadyJD?

Kichwa cha habari kinanikatisha tamaa. Kila wanakoenda viongozi wetu wa CHADEMA wanafunika? Wana tofauti gani na wasanii wa kawaida akina Juma Nature, 20%, Prof Jay, AY, LadyJD?
U ar a Great thinker
Thanx for this comment

I was there mtoa mada katia chumvi kwa kusema maelfu!,it was superb

Duuh sijui 2mwamini nani!asbh lema alikuwa mahakaman dhidi ya madiwan waliofukuzwa,tukaambiawa anahamishia majeshi Igunga now yupo Monduli?
ngoja nipite naanza kukata tamaa

Lema alikuja mwishoni kwa sababu alikuwa kwa kesi ya madiwani na ndio mtu wa mwisho kuhutubia,leo anaenda Igunga

Ritz, Wachagga wamekukosea nini? Mbona ni watu wazuri tu kama Watanzania wengine.
Stig,
Mbona mimi nipo poa tu Wachaaga tena washikaji tunapiga kazi pamoja na tumewapangisha kwenye mjengo wetu kariakoo! Tunasafari pamoja.
Samahani kama takuwa nakukwaza mkuu, najaribu kumjibu huyo jamaa yenu kama ananishambulia unadhani mimi tafanyaje!

Back
Top Bottom