Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,142
- 7,402
ahsante kwa taaarifa mkuu.............hata hapa Iringa leo jioni kamanda mbowe nae amevuruga vichwa vya sisiem tena
ha ha ha ha ha! Mwaka huu ccm wetu.
ahsante kwa taaarifa mkuu.............hata hapa Iringa leo jioni kamanda mbowe nae amevuruga vichwa vya sisiem tena
umeyapenda uckonde yatakuja tuHahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Hebu nipe reference ya maandamano ya CDM yaliyowahi kufanyika dar! Labda mimi mgeni jijin hapa
Dar wasomi wengi na wanajitambua!
Huwezi kukuta kijana wa dar anafanya upuuzi wanaofanya vijana wa cdm wa mikoani.
Vijana wa dar wanafahamu njia muafaka za kudai haki zao!
Hapo umeongea mkuu. Tatizo watu wengi wanaingia tu kusupport maandamano bila kujua viongozi wao kila wakiandamana wanalipwa per diem ya tsh 600,000
Na taarifa zilizopo ni kuwa on the fair ground, tutachukua kata hiyo.
Juma nature, 20%, ali kiba, diamond..wote hawa huwa wanajaza umati wa watu! Tena huo umati unalipia kuwaangalia. Wewe unashangaa chadema kujaza umat wa majobless ambao hawalipii chochotewewe ata upewe m.20 kazi itakuwia ngumu,kwani utakosa umati mwisho utaachia ngazi.
Kama unavyolipwa wewe kujibu hoja za wana JF.Juma nature, 20%, ali kiba, diamond..wote hawa huwa wanajaza umati wa watu! Tena huo umati unalipia kuwaangalia. Wewe unashangaa chadema kujaza umat wa majobless ambao hawalipii chochote
Ulitaka wapewe SUTI?Hapo umeongea mkuu. Tatizo watu wengi wanaingia tu kusupport maandamano bila kujua viongozi wao kila wakiandamana wanalipwa per diem ya tsh 600,000
Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Kama SACCOS yenyewe imejaa wahuni..wanaozungumza lugha za matusi kama wewe..unategemea itakuwaje?Hahaa haaa acheni usenge wewe na ritz wako mimi ni moja ya Member wa hiyo SACCOS sisi tuna hassle kwa nguvu zetu wenyewe hatupo tayari kuwaibia watanzania wenzetu kama huyo Ritz (Ridhiwan Kikwete) na baba yake wanavyoifanya hii nchi dhuluma, ufisadi na wizi, maisha ya watanzania mengi wanayapeleka kaburini kwa tamaa za mali utadhani wataishi milele.
haijalishi vikao vyetu tunafanyia wapi, mambo yanasonga tu. kwani hata JF ilianza na watu 8 tu.
acheni kutumia makalio kufikiria..mnajiona wajanja kwa kuandika na kuleta pumba zenu humu jamvini, pumbavu zenu
LAT and JE SACCOS CO tusonge mbele...
Hivi nachingwea ipo tanzania??? Huko pia vilaza wapo wa kumwaga, ila watapata akili siku chadema itakapoikomboa nchi kutoka mikononi mwa mafisadi... Na siku hiyo haipo mbali..
Mhuni mama yako aliyekuzaa guest....
narudia tena acheni usenge wenu na wewe ni ******!
Umekosea kabisa cha kuchangia mpaka unaanza kutaja avatar?Rejao
Kuna M2 mwanzoni alikwambia ..................Akili yako nin kama AVATAR yako.
Ni kweli Kabisa................