Dr Slaa, Lema wafunika Monduli

Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!

Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?

Kwani Dar kuna uchaguzi wapi? List of shame ilifukuliwa wapi vile; Mwembeyanga na si Dar! MaJimbo ya Kawe na Ubungo yako Arusha siku hizi, lakini cha kushangaza Arusha na Manyara, CDM wana majimbo mawili tu!

Hakuna kulala mpaka kieleweke.magamba menyewe yametuchosha Nape na kundi lake yamemshinda hivyo yataondolewa kwa nguvu ya umma

Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!

Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?

Rejao mimi ni CDM damu kwa kusema ukweli watu wa dar ni waoga mno,na wapiga porojo wa kwanza lakini ki vitendo ni 0% sijui wote ni wanawake?hata mapinduzi ya kweli yapo yataanzia MIKOANI mijitu ya dar ni MINAFIKI kazi yao kubwa ni porojo kama wazanzibar.

Kwani Dar kuna uchaguzi wapi? List of shame ilifukuliwa wapi vile; Mwembeyanga na si Dar! MaJimbo ya Kawe na Ubungo yako Arusha siku hizi, lakini cha kushangaza Arusha na Manyara, CDM wana majimbo mawili tu!
Hebu nipe reference ya maandamano ya CDM yaliyowahi kufanyika dar! Labda mimi mgeni jijin hapa

Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Thubutu walete Dar? Labda kama wataleta hayo maandamano basi yataanzia Kimara Temboni yataishia Kimara Bonyokwa! Huko ndio wanakaa Wachagga

Dsm watoto wa kiswahili wengi, hawana ufaham, wanasubiria bmkubwa awape mia5 ya vocha, walio bahatika kuwa na wazazi wachapa kazi wanasubiria mshua aweke funguo za gar mezan, waibe gari.. Vijana wa dar, wachache sana ndo wamejaliwa kuwa na akili. Wengi vilaza..
Watake radhi vijana wa dar plz..

Duuh sijui 2mwamini nani!asbh lema alikuwa mahakaman dhidi ya madiwan waliofukuzwa,tukaambiawa anahamishia majeshi Igunga now yupo Monduli?
ngoja nipite naanza kukata tamaa

Hebu nipe reference ya maandamano ya CDM yaliyowahi kufanyika dar! Labda mimi mgeni jijin hapa

Rejao Dar hakuna upinzani hapo unawaonea bule mdebwedo wa watu,huku kwa wanaume hamuwezi kuthubutu wachezeeni hao hao mdebwedo,huku mkileta mambo ya kijnga ni kichapo tu.

Thubutu walete Dar? Labda kama wataleta hayo maandamano basi yataanzia Kimara Temboni yataishia Kimara Bonyokwa! Huko ndio wanakaa Wachagga

Udini udini udini hauwafikisha popote nyie mnaohongwa na Nape kusema,endeleeni na huo upuuzi wenu huku Cdm inazidi kuchanja mbuga kila kukicha na uzuri CDM inafanya maandamano mengi vijijini sababu ndiko kwenye wapiga kura wengi wa nchi hii na ndio wanaoumizwa kimaisha na mfumo dhalimu wa Magamba

Picha mkuu.

Kwa wanaoifahamu CDM kwa upande wa kujaza watu kwenye mikutano na maandamano hana haja ya kuona picha ndo aamini. Tena kama alikuwepo na "Rais wa watanzania" lazima watu watakuwa wengi saaaaana. Peoples' Power in action.

Tunawatakia nguvu na mafanikio wapambanaji wetu. Tupo pamoja na mungu awatangulie.

Watake radhi vijana wa dar plz..

Namuunga mkono sweetlady dar kuna watoto wa kiume tu,kazi yao kusikilizia mikoani wana misimamo gani kuhusu CDM,huku ngoma inogile kaeni na maneno yenu ya bila vitendo.

Udini udini udini hauwafikisha popote nyie mnaohongwa na Nape kusema,endeleeni na huo upuuzi wenu huku Cdm inazidi kuchanja mbuga kila kukicha na uzuri CDM inafanya maandamano mengi vijijini sababu ndiko kwenye wapiga kura wengi wa nchi hii na ndio wanaoumizwa kimaisha na mfumo dhalimu wa Magamba
Ha! Ha! Ha! yaani kusema CDM mbona hawafanyi maandamano Dar ndio udini?

Dsm watoto wa kiswahili wengi, hawana ufaham, wanasubiria bmkubwa awape mia5 ya vocha, walio bahatika kuwa na wazazi wachapa kazi wanasubiria mshua aweke funguo za gar mezan, waibe gari.. Vijana wa dar, wachache sana ndo wamejaliwa kuwa na akili. Wengi vilaza..

Yeeees mkuuu kazi yao ni maneno tu mijitu inabwabwaja mpaka mate yanaruka,DAMN WHAT A SHAME?na tunaomba wasiwe wanachangia au kuisuport CDM wote wakae kwenye jukwaa la MMU ndio linawafaa,maneno mwanzo mwisho.

Back
Top Bottom