Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Status
Not open for further replies.
Alikuwa roma na akaishi kama warumi.sasa kaondoka ,ya warumi kawaachia.
 
Dawa yao ni kukata tu hata kwa panga butu....kata tu
 

Ni kimbunga cha mabadiliko... Hakikwepeki
 
tatizo ni mfumo, na sio mtu...
mabadiliko yanahitajika.

Mfumo una tatizo lipi? Au wewe kwako mfumo mzuri ni kwa yule anaeyanunuwa madaraka kwa thamani yoyote ile?

Huwa nnawashangaa sana, mlikuwa mnamwita fisadi, Jee Fisadi kawanunuwa? Fikiri.

Binadam msiokuwa na msimamo?

Unafiki wa Mbowe ulijionesha pale alipopeleka gari la zamani mlango wa mbele akachukuwa jingine jipya mlango wa nyuma, lilipobainika hilo bado hamkuuona unafiki wale? Na leo Slaa hana maana tena zaidi ya yule aliyekuwa "fisadi"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 

Vipi kuhusu mzee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…