Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

mimi nilijua anayeenda mahakamani ni DR KIKWETE , kumbe ni WADAU MBALIMBALI ! Ni akina nani hao ?
 
Hamada , na msipoenda mahakamani tuwachukulie hatua gani?
 
Mwanasheria au mzinifu!
Miye nikikuona unamuita Dr mzinifu! ninakutaka ulinganishe na huyo mwasherati wa karne aliyekalia magogoni!! Acha utani tusikutajie vimada wanaohongwa vyeo na wengine fedha za walipa kodi! Acha utani usija ukamuaibisha mkuu wa nchi yako!! Acha utani usije ukaumbuka kwa ukweli!!
 
Huyu mlete uzi naona alibadilisha avatar yake maana ni siku nyingi hajasikika. Na sasa amerudi kwa nguvu mpya na ari mpya. Tunachomwambia CCM imechoka na baada ya kuchoka wameamua kufanya dhambi kweupeeee. Chaguzi za Kalenga na Chalinze walitumia mamilioni ya fedha kufanya kampeni chafu mfano ktembea na magari yaliyobeba silaha! Ushahidi uko kila mahali na wampeleke Dr mahakamani waone cha moto.
 
Kiukweli jk hutumia mamlaka ya urais kwa kuinufaisha ccm na sio wananchi. Je dr. Slaa atashitakiwa kwa kumkashifu mwenyekiti wa ccm au rais wa muungano?
 
wahini haraka sana kwenda mahakamni mbona mnachelewa.
 
Hao wote ni familia moja; sie tuangalie maisha yetu.
 

Jana uliandika kurundikwa mahakamani.
 
Ni upuuzi kumpeleka mahakamani huyo mwehu. Anatafuta umaharufu wa bure. Ni sawa na kumkimbiza mwehu aliyepeleka nguo zako ulipokua unaoga mtoni.

unakujua mtoni weyee
 
Hivi ile kesi ya jangili kinana dhidi ya mch msigwa iliishia wapi?
 
Hao wote ni familia moja; sie tuangalie maisha yetu.

usijitenge we mama we c ni wa upande huo unaotaka dr. SLAA afurushwe KWA PILATO? au ndo unaanza kubadilika kidogokidogo?
 
Hao wadau wanaozungumziwa no akina laki si pesa kanga moko.msalani.chabruma na lizaboni and the likes of other misukule.toka 2007 mnatishia kumpeleka mahakaman slaa . mbona hamuendi muone kilichomtoa kanga manyoya!!!
 
Mapovu ya nini? Nendeni Mahakamani ndo mtajua kuwa mchicha ni mboga! List of Shame aliitoa pale Mwembe yanga mbona hamkuthubutu kwenda mahakamani? Wezi wa EPA mbona hatimae ilikuja thibitika kuwa ni ukweli mtupu? Chenge et al hawakuwa wajinga kukaa kimya ... akina Grey Mgonja walitangaza kwenda mahakamani mbona hawakwenda?... Slaa huwa anahabari zilizokamilika za ukweli na uhakika ... Bet mkienda Mahakamani nitajiunga na CCM ... Mark my Word!!!
 

Na sisi huku tunajiandaa kumpeleka Zakhia Meghji na Samwel Sita kwa Zakhia Meghji kupigia kura mchakato wa katiba kupitia Zanzibar wakati katika orodha yeye ameorodheshwa kama Mtanzania Bara
 
usisahau ule mkanda wa china na sembe upo. kazi kwenu

hivi ile kesi ya ridhiwan iliishia wapi? watu wajanja sana wanakimbilia mahakamani ili jambo lisizungumzwe
 
Ni upuuzi kumpeleka mahakamani huyo mwehu. Anatafuta umaharufu wa bure. Ni sawa na kumkimbiza mwehu aliyepeleka nguo zako ulipokua unaoga mtoni.

AKA!!! VIPI NA WEWE UMOO???!!! naona udenda wa shingo umekukauka sasa unajaribu kutambaa na kucheua na kamasi juu. hayyyaaaa jitahidi tu tunakuangalia tukuone utaangukia pua au DOMO?
 
Hivi JK alishaitaja mijizi ya EPA iliyo rudisha pesa kwa kubembelezwa kisha ikabaki huru?

Wale wauza sembe aliosema anawafahamu je?

Wale waua tembo si pia alidai anawafahamu eh?
 
Na sisi huku tunajiandaa kumpeleka Zakhia Meghji na Samwel Sita kwa Zakhia Meghji kupigia kura mchakato wa katiba kupitia Zanzibar wakati katika orodha yeye ameorodheshwa kama Mtanzania Bara
mkuu hakuna mwenye ujasiri wa kumfungulia Dr slaa kesi ingekua hivo wangefungua toka 2007 alivotaja list of shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…