Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,574
- 272,320
mimi nilijua anayeenda mahakamani ni DR KIKWETE , kumbe ni WADAU MBALIMBALI ! Ni akina nani hao ?
Miye nikikuona unamuita Dr mzinifu! ninakutaka ulinganishe na huyo mwasherati wa karne aliyekalia magogoni!! Acha utani tusikutajie vimada wanaohongwa vyeo na wengine fedha za walipa kodi! Acha utani usija ukamuaibisha mkuu wa nchi yako!! Acha utani usije ukaumbuka kwa ukweli!!Mwanasheria au mzinifu!
WanaJF,
Kufuatia tuhuma mbalimbali ambazo Dr Slaa amezielekeza kwa mkuu wa nchi, rais wa JMT, Dr Kikwete, wadau mbalimbali wamejipanga kuhakikisha Dr Slaa anapelekwa mahakamani kwa lengo moja tu, nalo ni kuthibitisha tuhuma zake dhidi ya mkuu wa nchi.
Dr Slaa ambae ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA) ameelekeza tuhuma nzito kwa rais Kikwete bila kutoa ushahidi wowote wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari siku ya alhamisi ya tarehe 16/10/2014.
Wadau hao wamesema kwa kipindi kirefu tu wamekuwa wakimpuuza Dr Slaa kutokana na tuhuma zake hewa dhidi ya CCM na viongozi wa serikali, lakini wadau hao wameongeza kwamba, kwa hatua ambayo Dr Slaa ameifikia sio tena ya kupuuzwa, bali anapaswa kuwajibishwa.
Aidha, itakumbukwa kuwa ni desturi ya Dr Slaa kuongea maneno ya hovyo kutokana na tabia yake ya kuokoteza habari za vijiweni ambazo kimsingi hazina tija yoyote kwa Watanzania. Hivyo wadau hao wameazimia kumuadabisha kutokana na tabia yake.
Yanayofanyika sirini yanafichuliwa hadharani. Na huu ndiyo uchizi kwa mujibu wa ccm.poleni.Kumpeleka chizi mahakamani ni kumuonea tu
Ni upuuzi kumpeleka mahakamani huyo mwehu. Anatafuta umaharufu wa bure. Ni sawa na kumkimbiza mwehu aliyepeleka nguo zako ulipokua unaoga mtoni.
Hao wote ni familia moja; sie tuangalie maisha yetu.
Mwanasheria au mzinifu!
WanaJF,
Kufuatia tuhuma mbalimbali ambazo Dr Slaa amezielekeza kwa mkuu wa nchi, rais wa JMT, Dr Kikwete, wadau mbalimbali wamejipanga kuhakikisha Dr Slaa anapelekwa mahakamani kwa lengo moja tu, nalo ni kuthibitisha tuhuma zake dhidi ya mkuu wa nchi.
Dr Slaa ambae ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA) ameelekeza tuhuma nzito kwa rais Kikwete bila kutoa ushahidi wowote wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari siku ya alhamisi ya tarehe 16/10/2014.
Wadau hao wamesema kwa kipindi kirefu tu wamekuwa wakimpuuza Dr Slaa kutokana na tuhuma zake hewa dhidi ya CCM na viongozi wa serikali, lakini wadau hao wameongeza kwamba, kwa hatua ambayo Dr Slaa ameifikia sio tena ya kupuuzwa, bali anapaswa kuwajibishwa.
Aidha, itakumbukwa kuwa ni desturi ya Dr Slaa kuongea maneno ya hovyo kutokana na tabia yake ya kuokoteza habari za vijiweni ambazo kimsingi hazina tija yoyote kwa Watanzania. Hivyo wadau hao wameazimia kumuadabisha kutokana na tabia yake.
WanaJF,
Kufuatia tuhuma mbalimbali ambazo Dr Slaa amezielekeza kwa mkuu wa nchi, rais wa JMT, Dr Kikwete, wadau mbalimbali wamejipanga kuhakikisha Dr Slaa anapelekwa mahakamani kwa lengo moja tu, nalo ni kuthibitisha tuhuma zake dhidi ya mkuu wa nchi.
Dr Slaa ambae ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA) ameelekeza tuhuma nzito kwa rais Kikwete bila kutoa ushahidi wowote wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari siku ya alhamisi ya tarehe 16/10/2014.
Wadau hao wamesema kwa kipindi kirefu tu wamekuwa wakimpuuza Dr Slaa kutokana na tuhuma zake hewa dhidi ya CCM na viongozi wa serikali, lakini wadau hao wameongeza kwamba, kwa hatua ambayo Dr Slaa ameifikia sio tena ya kupuuzwa, bali anapaswa kuwajibishwa.
Aidha, itakumbukwa kuwa ni desturi ya Dr Slaa kuongea maneno ya hovyo kutokana na tabia yake ya kuokoteza habari za vijiweni ambazo kimsingi hazina tija yoyote kwa Watanzania. Hivyo wadau hao wameazimia kumuadabisha kutokana na tabia yake.
usisahau ule mkanda wa china na sembe upo. kazi kwenu
Ni upuuzi kumpeleka mahakamani huyo mwehu. Anatafuta umaharufu wa bure. Ni sawa na kumkimbiza mwehu aliyepeleka nguo zako ulipokua unaoga mtoni.
mkuu hakuna mwenye ujasiri wa kumfungulia Dr slaa kesi ingekua hivo wangefungua toka 2007 alivotaja list of shameNa sisi huku tunajiandaa kumpeleka Zakhia Meghji na Samwel Sita kwa Zakhia Meghji kupigia kura mchakato wa katiba kupitia Zanzibar wakati katika orodha yeye ameorodheshwa kama Mtanzania Bara