Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Wewe ni mwana CCM mwenzangu lakini ni mjinga sana. Futeni basi demokrasia ya vyama vingi tubaki peke yetu tukiimbiana nyimbo za hewala bwana hata kama umeingizwa dole la machonikiutaratibu au kisheria huwezi kumkashifu rais kumtukana au kumbeza hadharani chadema wanatakôa vurugu na vurugu hawaiwezi cuf katika kumbukumbu zangu sijawahi kumbuka kutenda vitendo kama chadema anavyofanya.
lakini naishauri serikali sheria zipo vyombo vya usalama ndipo mnapodharaulika kutokuwachukulia hatua watu wanaojifanya machizi