Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

Hahahaha! Magamba bwana haya bado tunasubiri Tamko la Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu....Hivi alipo warusha mafisadi live pale Mwembe yanga....Mkatishia mtakwenda mahakamani mliishia wapi?
 
Hivi unajua Dr slaa ni mwana sheria? Na kawaida ya mwanasheria awezi sema kitu bila kuwa na ushahidi
 
Huko mahakamani ndiko ushahidi utakakotolewa.kwanza kwa nyinyi ccm hakuna wakumpeleka slaa mahakamani,slaa husema kitu ambacho ana uhakika nacho,alipotaja mafisadi wakasema tunaenda mahakamani,waliishia wapi?nendeni mahakamani.
Na hao wadau wanakiherehere tu,watajikuta wao ndiyo wanashitakiwa.
 
Ni upuuzi kumpeleka mahakamani huyo mwehu. Anatafuta umaharufu wa bure. Ni sawa na kumkimbiza mwehu aliyepeleka nguo zako ulipokua unaoga mtoni.

Nani ni mtu maarufu kuzidi wote nchi hii kama siyo slaa?Dr slaa akianza ziara tu ccm huhaha!slaa ni maarufu kuliko wakubwa zako.
 
Na kwa uzi huu unalipwa??? Dah ccm mnalo mwaka huu...
 
Slaa ni mwehu, tangu aanze uzinifu akili zake zimekuwa nusu chizi, eti anataka kuwa Rais, labda wa jogging club!
 
Nani ni mtu maarufu kuzidi wote nchi hii kama siyo slaa?Dr slaa akianza ziara tu ccm huhaha!slaa ni maarufu kuliko wakubwa zako.

Ana umaarufu gani! Labda humu JF, lakini mitaani anazidiwa umaarufu hata na mganga wa jadi Manyaunyau.
 
usisahau ule mkanda wa china na sembe upo. kazi kwenu

Huyu Mzee apuuzwe tu!

Hiyo ndiyo adhabu yake! Anatafuta attention tu! Hana lolote!

Wee koma...wenzio wanataka kumswaga mahakaman wewe unasema apuuzweee??? Utaswagwa wewe!!!!



Huyu Mzee apuuzwe tu!

Hiyo ndiyo adhabu yake! Anatafuta attention tu! Hana lolote!




Huyu Mzee apuuzwe tu!

Hiyo ndiyo adhabu yake! Anatafuta attention tu! Hana lolote!
 
Kwanini msisubiri kanusho kutoka Salva?
Akikaa kimya maana yake atakuwa akubalina na hii kashfa ya uafisa manunuzi iliyotolewa jana
 
Mbwe mbwe tu hizo za kupotezea wakati wa mchakato wa katiba.
 
Hahahaha! Magamba bwana haya bado tunasubiri Tamko la Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu....Hivi alipo warusha mafisadi live pale Mwembe yanga....Mkatishia mtakwenda mahakamani mliishia wapi?

Hivi lile kontena la kura hewa analodai kulikamata Kibaha liliishia wapi?
 
Ntakubaliana na wewe kama ukithibitisha kama mwaka 2008 serikali haikujiuzulu.
Ntakubaliana na wewe kama ukithibitisha kuwa EPA account haikuibiwa.
Ntakubaliana na wewe kama hamna case mahakamani ya akina Mramba na wengine kwa tuhuma.
Ntakubaliana na wewe kama ukithibitisha ESCROW account haikuguswa. Pengine hata EU wamekurupuka kusimamisha budget support.
Dunia ya leo siyo ya jana ndugu yangu! Na ujue wafanyakazi ndani ya serikali tumechoka kuona wizi na kushindwa kutekeleza majukumu kwa viongozi wa kisiasa. Ndugu zetu vijijini hali ni mbaya sana. Uchumi unakua kwa baadhi ya watu walioko kwenye nafasi za juu. Ndiyo maana hata secretaries wanapokea rushwa ili watoe huduma maana hata bosses wanakula.
TUMECHOKA!
 
Dr Slaa hakurupuki na feedback yake sasa inatoka ndani ikulu. Do your homework!
 
mnasema kwamba mnamshtaki ili kuweka umma sawa kwamba si ukweli yale aliyoyasema lakini hamuendi huko mahakamani
 
WanaJF,

Kufuatia tuhuma mbalimbali ambazo Dr Slaa amezielekeza kwa mkuu wa nchi, rais wa JMT, Dr Kikwete, wadau mbalimbali wamejipanga kuhakikisha Dr Slaa anapelekwa mahakamani kwa lengo moja tu, nalo ni kuthibitisha tuhuma zake dhidi ya mkuu wa nchi.

Dr Slaa ambae ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA) ameelekeza tuhuma nzito kwa rais Kikwete bila kutoa ushahidi wowote wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari siku ya alhamisi ya tarehe 16/10/2014.

Wadau hao wamesema kwa kipindi kirefu tu wamekuwa wakimpuuza Dr Slaa kutokana na tuhuma zake hewa dhidi ya CCM na viongozi wa serikali, lakini wadau hao wameongeza kwamba, kwa hatua ambayo Dr Slaa ameifikia sio tena ya kupuuzwa, bali anapaswa kuwajibishwa.

Aidha, itakumbukwa kuwa ni desturi ya Dr Slaa kuongea maneno ya hovyo kutokana na tabia yake ya kuokoteza habari za vijiweni ambazo kimsingi hazina tija yoyote kwa Watanzania. Hivyo wadau hao wameazimia kumuadabisha kutokana na tabia yake.
Thubutu!! nani ampeleke akamkaange mkuu dunia nzima isikie!! vitisho tuu!! TL, jipangeni kusanyeni hata zile za uvunguni ili tuwaaibishe hawa majizi waliokalia juu ya sheria!!
 
Back
Top Bottom