Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,577
Mama yako almpa ta.ko nini?
Sio mamaangu, aliyempa ni Josephine Mushumbusi.
Mama yako almpa ta.ko nini?
WanaJF,
Kufuatia tuhuma mbalimbali ambazo Dr Slaa amezielekeza kwa mkuu wa nchi, rais wa JMT, Dr Kikwete, wadau mbalimbali wamejipanga kuhakikisha Dr Slaa anapelekwa mahakamani kwa lengo moja tu, nalo ni kuthibitisha tuhuma zake dhidi ya mkuu wa nchi.
Dr Slaa ambae ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA) ameelekeza tuhuma nzito kwa rais Kikwete bila kutoa ushahidi wowote wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari siku ya alhamisi ya tarehe 16/10/2014.
Wadau hao wamesema kwa kipindi kirefu tu wamekuwa wakimpuuza Dr Slaa kutokana na tuhuma zake hewa dhidi ya CCM na viongozi wa serikali, lakini wadau hao wameongeza kwamba, kwa hatua ambayo Dr Slaa ameifikia sio tena ya kupuuzwa, bali anapaswa kuwajibishwa.
Aidha, itakumbukwa kuwa ni desturi ya Dr Slaa kuongea maneno ya hovyo kutokana na tabia yake ya kuokoteza habari za vijiweni ambazo kimsingi hazina tija yoyote kwa Watanzania. Hivyo wadau hao wameazimia kumuadabisha kutokana na tabia yake.
Mbona mimi nazini na mama yako mzazi na sijawa mwehu?
Hivi kwa nini pro-Chadema wengi silaha yao kubwa ni matusi hivi mtachakuwa nchi kwa matusi kweli.
Hivi mfalme Mbowe aliwauzia Chadema zile Fuso chakavu kiasi gani? Na Mtei aliwauzia zile Toyo bodabado kiasi gani tufahamishe kamanda!Mkuu Kikwete amekuwa afisa manunuzi?
Kamanda wa Bavicha hivi hauna matusi mapya.Mbona mimi nazini na mama yako mzazi na sijawa mwehu?
Dr.Slaa inatakiwa apelekwe mirembe akatibiwe.
Mkuu Kikwete amekuwa afisa manunuzi?
Hivi Kinana alivyokuwa anakunywa gongo pale Tabora kichwa chake kilikuwa sio kizima?Dr. Slaa watamuonea bure kichwa chake siyo kizuri. Uliona wapi kiongozi anataka "gongo" ihalalishwe?
WanaJF,
Kufuatia tuhuma mbalimbali ambazo Dr Slaa amezielekeza kwa mkuu wa nchi, rais wa JMT, Dr Kikwete, wadau mbalimbali wamejipanga kuhakikisha Dr Slaa anapelekwa mahakamani kwa lengo moja tu, nalo ni kuthibitisha tuhuma zake dhidi ya mkuu wa nchi.
Dr Slaa ambae ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA) ameelekeza tuhuma nzito kwa rais Kikwete bila kutoa ushahidi wowote wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari siku ya alhamisi ya tarehe 16/10/2014.
Wadau hao wamesema kwa kipindi kirefu tu wamekuwa wakimpuuza Dr Slaa kutokana na tuhuma zake hewa dhidi ya CCM na viongozi wa serikali, lakini wadau hao wameongeza kwamba, kwa hatua ambayo Dr Slaa ameifikia sio tena ya kupuuzwa, bali anapaswa kuwajibishwa.
Aidha, itakumbukwa kuwa ni desturi ya Dr Slaa kuongea maneno ya hovyo kutokana na tabia yake ya kuokoteza habari za vijiweni ambazo kimsingi hazina tija yoyote kwa Watanzania. Hivyo wadau hao wameazimia kumuadabisha kutokana na tabia yake.
WanaJF,
Kufuatia tuhuma mbalimbali ambazo Dr Slaa amezielekeza kwa mkuu wa nchi, rais wa JMT, Dr Kikwete, wadau mbalimbali wamejipanga kuhakikisha Dr Slaa anapelekwa mahakamani kwa lengo moja tu, nalo ni kuthibitisha tuhuma zake dhidi ya mkuu wa nchi.
Dr Slaa ambae ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA) ameelekeza tuhuma nzito kwa rais Kikwete bila kutoa ushahidi wowote wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari siku ya alhamisi ya tarehe 16/10/2014.
Wadau hao wamesema kwa kipindi kirefu tu wamekuwa wakimpuuza Dr Slaa kutokana na tuhuma zake hewa dhidi ya CCM na viongozi wa serikali, lakini wadau hao wameongeza kwamba, kwa hatua ambayo Dr Slaa ameifikia sio tena ya kupuuzwa, bali anapaswa kuwajibishwa.
Aidha, itakumbukwa kuwa ni desturi ya Dr Slaa kuongea maneno ya hovyo kutokana na tabia yake ya kuokoteza habari za vijiweni ambazo kimsingi hazina tija yoyote kwa Watanzania. Hivyo wadau hao wameazimia kumuadabisha kutokana na tabia yake.
Kwa akili yako unadhani gongo ndiyo pombe kali kuliko zote. Nenda kwenye maduka ya pombe uone pombe ambazo ni kali kuliko gongo na ambazo serikali imeziruhusu na inachukua kodi.Dr. Slaa watamuonea bure kichwa chake siyo kizuri. Uliona wapi kiongozi anataka "gongo" ihalalishwe?
Waliufyata alipotajwa kwenye list of shame itakuwa hili? Hao ni wajinga wachache wanaoishi kwa kujikomba. Wanataka kusema wao wanauchungu kuliko mkewe au wanae. Hawana akiliThibitisha wewe uongo aliousema sasa ili tukuamin wewe. Na msipo thibitisha uongo wake bali hayo aliyoyasema ndio taswira halisi ya kiongozi wetu.