Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

Unatishia kujamba wakati unaharisha, utaishia kuchafua chup* yako tu...

Procurement officer anaenda China Jumapili baada ya kukaa Marekani mwezi mzima huku nyie wake zake akina HamiD mnakata viuno tu hapa kumpamba wakati yeye anakula goodtime. Nimeamini kuwa wanaccm wote mna akili za maiti
 
Habari hii haikuwa na maana yoyote kuletwa hapa. wanaoenda mahakamani la msingi ni kuenda huko siyo kututangazia hapa.
 
Ni upuuzi kumpeleka mahakamani huyo mwehu. Anatafuta umaharufu wa bure. Ni sawa na kumkimbiza mwehu aliyepeleka nguo zako ulipokua unaoga mtoni.

Eti anatafuta umaarufu.....!!
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumpeleka mahakamani, mara ngapi wanatutangazia watampeleka mahakamani lakini hakuna kinachofanyika??
 
Mahakama ni chombo huru japo mmejitahidi kukitumia mtakavyo. Mnashauriwa kwenda huko.....msisahau na tuhuma nyingine rukuki za ufisadi dhidi ya viongozi wakubwa serikalini. Fanyeni kila mtakalo kufanya ikiwa ni kufufua waliokufa kupiga kura, 2015 hampiti!
 
Mna tumbo la kuharisha halafu mnatishia kujamba,jambeni kwa kumpeleka Dr Slaa mahakamani kama hamjalowa na huo uharo wenu. Watz wamewachoka yani mngejua!
 
Eti "... ni desturi ya Dr Slaa kuropoka maneno ya hovyo kutokana na tabia yake ya kuokoteza habari za vijiweni" teh teh tehe, nimecheka sana.
 
Jk ameona urais hautoshi na sasa ame amua kua procurement officer.
 
Eti mwehu?? mpelekeni basi msikie mziki wake!

Ningekuwa Dr.Slaa ningewambia tangu leo naachana na ninyi and be free. Lakini unaposikika kidogo wanaanza kuuona uchaguzi ukaribu na wakakumbuka ulivyowapelekesha 2010, mapigo ya moyo yanaongezeka. Mara mropokaji, mzinzi, amezeeka, mchaga, mkiristo,amefulia, mbadhilifu, mroho wa madaraka, kig'ang'anizi, mengi tu. Kila wakifikiria wa kupambana nae hawana. Aidha wote ni mizigo bila radha mpya kwa umma kutarajiwa. Watanzania ambao si uzao wa hawa 20% wanaotumia 80% ya uchumi, wanakumbuka matumaini yaliyokuwa yamedhihirika kuja kuwajia mara yakazimwa kama katiba mpya, nyumba bora, kula chakula bora na kutosheka, kusafiri kwa raha na haraka, elimu bora na bure, maji safi na salama kwa ukweli, matibabu bora kwa karibu na gharama inayolipika kama sio bure, haki ktk vyombo vya haki kuwepo, nk (maisha bora). Na kuonyesha inawezekana kama kila vyanzo vyote vya mapato vitafuatiwa bila ubadhirifu, wizi, rushwa na ufisadi.
 
Jk ameona urais hautoshi na sasa ame amua kua procurement officer.

Ongeza na ilo la kujifanya ministry of international affairs. Wanaorodhesha ziara zake watatwambia hiyo ya China itakuwa ya ngapi baada ya ziara ya mwezi uko US.
 
Kama hujajuaga Dr Slaa siku zote ana wa dare muende mahakamani ili akawaumbue. Huko ndio atawataja wahusika wote kwa majina na ushahidi anao. Mnafikiri analilia kuswekwa jela? Anajua kila anachofanya na wamejipanga. Ninauhakika kwa jinsi chadema walivyo, hata wakienda mahakamani leo, wako tayari na defense itakayoumbua serikali.
 
Msitutishe...Mwende hata leo, eti wadau? wadau gani???? kwa hyo tukisikia wadau tuogope?

Unadhani hadi Dr. kuja na tuhuma hizo hajajiridhisha na ushahidi uliopo??

Tulishawaambia toka muda mrefu kuwa mwende mahakamani lkn hadi leo mpo tu..
.

Unajua Rais anaweza kutumika kwa nafasi yake kwa sababu anajiona kuwa ana kinga.
 
Dr Slaa msomi wa ngazi ya udaktari katika vyuo vinavyotambuliawa duniani.

Dr Kikwete haijulikani kasomea wapi sijui Musoga Whichdoctor University ama Musoga Clinic Herbalist? duuuh

Huyu Dokita Kikwete udokita kaupata chuo gani duniani?

Au udokita wake ni sawa na ule wa Dokita Manyaunyau tu?
 
Hivi Tume Huru ya Kimahakama ilishaundwa kuchunguza lile Boomu la Soweto Arusha? Nauliza tu
 
Back
Top Bottom