Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

hivi ile kesi ya ridhiwani dhidi ya dr slaa,, iliishia wapi??
we hamida ndo mwanasheria wa kesi hii au ni riz ndo atakuwa mwanasheria???

mi ninachokijua kuna kweli kwenye hoja za dr. bt najua ccm kama kawaida watakuja kufanya personal attack badala ya kujibu hoja,,halafu baada ya muda haya anayosema dr, yatajidhiirisha
 
Kikwete hawezi kufanya kosa kama hilo.....anaelewa mpaka Dr Slaa anapata hizi taarifa zitakuwa zimetembea pia kwenye corridor za "wakubwa" na wanamchora tu.......dawa ni kukanusha kimipasho alafu apotezee otherwise issue ikifika mahakamani itamlazimu na yeye afike mahakamani kitu ambacho nafikiri itakuwa kosa la mwaka linaloweza kuiangusha serikali kutokana na mambo mengi asiyotegemea kuwekwa wazi na kumlazimu kujibu tuhuma hizo mahakamani.......hawezi hata kutishia kwenda mahakamani ......
 
Mkuu wa NCHI au Mkuu wa CCM?Maana sidhani kama siye tusiyekuwa wanachama wa CCM anatutambua kama watanzania.Wengi wetu tunatambulika kwa majina ya makabila yetu au kanda tutokazo.Ukisema mkuu wa CCM ninaweza kukuelewa.
 
Hivi makamanda wangu hivi la UDA limeishia wapi iko hovyo hovyo sana nijuzeni au ndo.....
 
Kumpeleka chizi mahakamani ni kumuonea tu

nyie watu wastarabu hivyo mnawezaje kupoteza muda wenu wakukaa na kuzunguza mtu mnae muita mwehu,kichaa,chizi na mkaacha kazi zenu kisa tu huyo mnae muita majina hayo? lkn pia nachopaswa kujiuliza kwa nn utumie muda ote huo kukaa kwenye mitandao kuandika habari ya mlopokaji?Ushauri wangu kwenu nawaasa mnaokaa mitandaoni na kujadili kichaa,mwehu,mlopokaji.mwende hspt za karibu na nyie ili mkahakikiishiwe na doctor kama njia za virutubisho vya ubongo wenu ziko salama!!!
 
Hii nchi inachafuka muda sio mrefu.Halafu watawala wanashnaga inakuaje wakati waikiwa pamoja walipokuwa wanajenga tatizo
 
No ajibu tuhuma hizo maana ni za kisiasa,mahakama hamtamuweza dr.Slaa.
 
HAMY-D kwa kweli mna akili pungufu kweli kweli!

Haya twende mahakamani!
 
Last edited by a moderator:
kiutaratibu au kisheria huwezi kumkashifu rais kumtukana au kumbeza hadharani chadema wanataka vurugu na vurugu hawaiwezi cuf katika kumbukumbu zangu sijawahi kumbuka kutenda vitendo kama chadema anavyofanya.
lakini naishauri serikali sheria zipo vyombo vya usalama ndipo mnapodharaulika kutokuwachukulia hatua watu wanaojifanya machizi
 
Huyu Mzee apuuzwe tu!

Hiyo ndiyo adhabu yake! Anatafuta attention tu! Hana lolote!
 
Ni ndoto, endelea kuota tu.
Na kama mna ubavu basi mpelekeni mahakamani. Ndio mtajua nguvu ya umma ilivyo.
 
Nyaraka zipo mpelekeni bwana msalani vipi mbona umekosa ukatibu Wa wilaya pamoja.na
kujipundekeza nape hajakuona?
 
Huyu Mzee apuuzwe tu!

Hiyo ndiyo adhabu yake! Anatafuta attention tu! Hana lolote!
Anaza na Kinana, kingunge, msekwa, Lowassa , Sitta, Mangula, kikwete na mshua wako.

Wamechoka sana
 
Back
Top Bottom