Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,017
- 51,137
Hallucinations , Hiyo itakua karatu ila si Tanzania mkuuNItakuwa na laana kama nisipo yafuatilia mahojiano hayo muhimu na Rais wa Tanzania Dr. Slaa..
Hallucinations , Hiyo itakua karatu ila si Tanzania mkuuNItakuwa na laana kama nisipo yafuatilia mahojiano hayo muhimu na Rais wa Tanzania Dr. Slaa..
Huna uwezo wa kuhimili mijadala zaidi ya Matusi.By your assesment and standard,wewe ni Msukule wa Chama gani?
Huyu jamaa anaejiita Ben Saanane katika suala lolote linalomuhusu Dkt Slaa au Mbowe yuko tayari ajitoe fahamu kuwatetea.
Sema ni nani mgando baada ya kujisomea hayo?
Slaa lately amekuwa mtu wa kujiabisha sana.
Nadhani baada ya watu kujua ufisadi wake sasa anajitahidi kutafuta njia nyingine ya kutoka, lakini mwisho wake anaharibu!
Kuna watu walimshauri apumzike siasa akakubali ila Josephine ndio anamshinikiza kuendelea na siasa kwa sababu anadhani kuna siku atakuwa first lady!!!
Hallucinations , Hiyo itakua karatu ila si Tanzania mkuu
Hivi dhaifu JK alishawahi fanya mahojiano na kituo chochote cha Redio cha nje...?Halafu nyinyi Chadema Diaspora si ndio Josephine aliwaita WAKIMBIZI?
wamepungukiwa na uzalendo, wanahalalisha ubinafsi kwa mwamvuli wa vyama....Tutafika nao tu mkuu!!!!!!
M4C ni zaid ya vyama vya siasa, ni enlightenment in its real sense for the sake of a better country ambayo haipo mikononi mwa vyama vya siasa ila dhamira za Watanzania ambao ni sisi
Rejea orodha ya mafisadi kumi na moja yaliyotangazwa na Dr.Slaa pale Mwembe yanga.Wala mirungi wa lumumba taabu kwelikweli!
Ni unafiki kujifanya kujali nyumbani wakati hutaki kurudi nyumbani, hao ma diaspora wanatupotezea muda, walishatukimbia wakona huko kwawazungu ndio bora , sasa wanaanza tena kuhangaika na mambo ya nyumbani, kama mnapenda sana nyumbani si mrudi tu, mjenge nchi kwa elimu mlizopata huko??? halafu utakuta watu kama hao wengi wao papers zao hazijakaa vizuri kazi kuhangaika tu..huo ndio tunaoita unafiki, tengenezeni kwanza papers zenu ndio muanze kujihusisha na mambo yetu huku nyumbani
What do you mean by 'They are all'?
Mkiulizwa ziara aliandaa nani hamsemi,nani anagharimia hiyo kitu, majibu yanagongana tu!!!!
Ziara zooote kafanya mwenyewe kwenye radio ndio waandamane na.balozi ili iwe nini??????
Kwanza wakati anafika alikuwa karibu na ubalozi maana hakuna picha mimi nimeona akiwa ubalozini na wafanyakazi wa ubalozi!!!!!
Halafu balozi si anaishi huko hiyo radio mbona haikumtafuta kabla ya ujio wa katibu mkuu????!!!!
Kama balozi ametimia na anajitambua hatakiwi kwenda,kama wanashida naye wamtafutie muda wake wakahojiane
Huwezi kubadilisha haramu kuwa halali hakuna nchi yeyote duniani inayolifumbia macho suala la uhamiaji haramu.Waliofuatiliwa na kuchukuliwa hatua si wanyarwanda pekee usitake kupotosha dhana mzima ya zoezi ilimradi umfurahishe babu akuletee lakuchumpa akirudi honeymoney
Hivi dhaifu JK alishawahi fanya mahojiano na kituo chochote cha Redio cha nje...?
Jifunze kuandika kiswahili au nawe ni mhamiaji haramu?
Yes,Hakuna nchi inayovumilia uhamiaji haramu lakini haki.zao zinalindwa na azimio la haki za Binadamu yaani UN Human Rights Declaration 1948.
Ni wahamiaji gani haramu waliofukuzwa na Kutangazwa zaidi ya Wanyarwanda?Kuna Wahindi,Wachina,Wasomali,Wamalawi,wacongo na Wakenya wangapi?
Viongozi wa umma amabo vyama vyao vinapata ruzuku!!!!
Kwani mnaposisitizwa kuweka wazi fund za safari zinatoka wapi mnadhani hatuna shughuli za kufanya au tunaulizia kodi zetu????!!!
Wekeni mambo wazi ili ile dhana. / hoja ya "baadhi ni wachafu na baadhi wasafi" iweze
kujitegemea bila makelele ya kuendelea, huwezi kutuambia huyu ana mikono michafu wakati wewe hatujakuona wa kusikia ukinawa ya kwako!!!!!!
Mimi nipo katika siasa kwa maana ya ninachokiamini na kukifahamu juu ya chama changu.Pro Chadema wengiwao ni misukule na watabaki kuwa misukule mpaka pale watakapojitambua.Njaa na kupoteza muelekeo wa maisha kwa dhana ya utegemezi na kusubiri vya bure na upendeleo vimewafikisha hapo.Huna uwezo wa kuhimili mijadala zaidi ya Matusi.By your assesment and standard,wewe ni Msukule wa Chama gani?
Hivi chriss lukosi eti ni diasporaHuo ni uoga na kutojikubali, mabadiliko hayaletwi kwa kujificha ficha ughaibuni, waje nyumbani wafanye mabadiliko yale wanayoyaona yanahitajika kufanyika, badala ya kuwa vivuli na kufanya mambo nyuma ya migongo ya watu, ma diaspora wote warudi nyumbani, tunahitaji utaalamu wao, na experience zao kujenga nchi yetu, wakija 500 na wakafanya mambo makubwa hapa nyumbani huoni itakua jambo lamaana?? sio lazima wote waajiriwe serikalini au wote wawe viongozi, hapana wanaweza fanya michango yao wakiwa kwenye sekta binafsi ikaeleweka..fimbo ya mbali haiui nyoka, watafanya vizuri zaidi wakiwa hapa kuliko huko..
Huyu jamaa anaejiita Ben Saanane katika suala lolote linalomuhusu Dkt Slaa au Mbowe yuko tayari ajitoe fahamu kuwatetea.
Hii ziara ya Dr Slaa naona imewajambisha kisawa sawa....