Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Tunahoji za huyu anayeonekana kama tumaini jipya ili kuwa na.uhakika wa safari yetu,dereva tuliyenaye anaishia chalinze hapo wakati sisi tunaenda arusha ila kwa jinsi alivoendesha tangu ubungo we now know makosa ya gari na mapungufu ya dereva!!!!!

Kiri kosa la dereva wako anayekufikisha Chalinze kwanza kama una nia ya dhati na safari
 
Tatizo hawa mabavicha wanataka kumfananisha Rais wa JMT na Rais wao wa ndotoni...hakuna mfanano..Rais wao wa ndotoni anawenzake wa kufananishwa nao makatibu wa saccos

Kwenye hii video JK hakuelewa swali .Kaulizwa beyong oil and mines anarudia hadithing ile ile ni shida kubwa .
 
Kwani mkopo ni lazima umpangie mkopaji atumie wapi?unapenda wake za watu wacgumba ehe..ili wee uitwe nani sasa?

Jikumbushe:
TAMKO LA MTELA MWAMPAMBA KUFUATIA MAJIBU YA DR SLAA KUHUSU TUHUMA ZA UFISADI WA MILIONI 140 ZA CHAMA CHA CHADEMA JANUARI 04, 2013.​

Kwanza niwashukuru wana habari kwa kutenga muda wenu kuja kunisikiliza siku ya leo kwa kuitikia ombi langu la kuzungumza na watanzania kuhusu ubadhilifu na ufisadi unaomzunguka Dr. Slaa ndani ya CHADEMA akiwa kama mtendaji mkuu wa chama.

Katika suala hili la uadilifu, Juliana shonza aliweka bayana kuwa Dr Slaa alijikopesha kiasi cha milioni140 za ruzuku ya chama mwaka 2011

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-siku-moja-kabla-sijafukuzwa-chadema-15.html
 
Kwani hii ya nani au unahisi mama koku anaitumia baada ya kusahau kulog out?

Tumia jina Lako Halisi.Huna ujasiri wa kuwa verified member halafu unajitutumua kutaka Hesabu za CHADEMA.Wewe ni nani?Wahamiaji haramu tunao nchini na hatuwezi kupoteza umakini.Watanzania walipe kodi kwa jasho lao halafu wewe ambaye hatuna uhakika na status yako ya Uraia utulazimishe tukupe hesabu za Chama?You must be sick!
 
Ben Saanane anajifanya hajui kuwa mchumba ndiye anadhibiti "program" zote za matumizi na mapato chadema.

Mimi nimeoa muhasibu ktk office yangu...ndiye anayedhibiti hesabu iende km ilivyopangwa,ila hadhibiti upangaji wa budget,ambayo mimi ndio huamua.

Sijui wewe unampa nafasi gani..uhasibu, au upangaji wa budget...au uthibiti w amasuala ya Fedha(Financial Controlling)...hizo ni positions zinazowekwa na taasis husika.Unataka Zifuta?Ili waweke nini mchumi km Mwigulu ktk Lichama lisilo hata na mpango wa kiuchumi wa ndani, lichama ambalo lilishafilisika long time kilichobaki ni kuliibia taifa huku likenda km mufilisi.
 
Hawa wote wanao mtaja Josephine wana wivu naye. Wanatamani nafasi aliyonayo Josephine wangekuwa dada zao au wana laani kwa nini wao ni wanaume, wangekuwa wanawake labda Dr Slaa angewaona.
 
Tumia jina Lako Halisi.Huna ujasiri wa kuwa verified member halafu unajitutumua kutaka Hesabu za CHADEMA.Wewe ni nani?Wahamiaji haramu tunao nchini na hatuwezi kupoteza umakini.Watanzania walipe kodi kwa jasho lao halafu wewe ambaye hatuna uhakika na status yako ya Uraia utulazimishe tukupe hesabu za Chama?You must be sick!
Mungekuwa munaamini katika siasa za kistaarabu na kujenga hoja ningeshawishika kuwa verified member lakini kwa matukio yenu yaliripotiwa karibuni ni bora nibaki kuwa Mingoi.Vipi Red brigade imeshaanza operesheni zake mkuu wa komandi?
 
Huyo anasema dr slaa anongea ujinga ni -------- mmoja ambaye ajielewi unamacho inamaana uoni yanayotokea mtwara kuna serikali hapa ujinga mtu tunaitaji mabadiliko
 
Mimi nimeoa muhasibu ktk office yangu...ndiye anayedhibiti hesabu iende km ilivyopangwa,ila hadhibiti upangaji wa budget,ambayo mimi ndio huamua.

Sijui wewe unampa nafasi gani..uhasibu, au upangaji wa budget...au uthibiti w amasuala ya Fedha(Financial Controlling)...hizo ni positions zinazowekwa na taasis husika.Unataka Zifuta?Ili waweke nini mchumi km Mwigulu ktk Lichama lisilo hata na mpango wa kiuchumi wa ndani, lichama ambalo lilishafilisika long time kilichobaki ni kuliibia taifa huku likenda km mufilisi.

Mpeleke basi makao makuu akamsaidie mchumba maana mchumba si muhasibu lakini ndio hivyo tena.
 
Mimi nimeoa muhasibu ktk office yangu...ndiye anayedhibiti hesabu iende km ilivyopangwa,ila hadhibiti upangaji wa budget,ambayo mimi ndio huamua.

Sijui wewe unampa nafasi gani..uhasibu, au upangaji wa budget...au uthibiti w amasuala ya Fedha(Financial Controlling)...hizo ni positions zinazowekwa na taasis husika.Unataka Zifuta?Ili waweke nini mchumi km Mwigulu ktk Lichama lisilo hata na mpango wa kiuchumi wa ndani, lichama ambalo lilishafilisika long time kilichobaki ni kuliibia taifa huku likenda km mufilisi.
Mkuu pole na uchovu ni bora ukalale tu maana uandishi wa post unakushinda.Kutetea maovu ya chadema ni sawa na kuwa mwehu hata ukikesha hapa hauelweki.
 
Jikumbushe:

kweli umejichoka..unaleta reference ya kijaja aiyeathirika na starvation?you cant be serious....

Nilidhani ungeleta report ya mkaguzi mkuu wa mahesabu..Mhasibu wa CDM au kiongozi wa juu wa CDM.Unaleta mwampamba..siamini..Hivi unamuona mtu mwneye akili zake ehe..kweli wanawake bwana.
 
Missing the point or personal attack?????!!!!!!!

haha....umechemka wewe kilaza....sasa unamumunya maneno ya nini cowaed wewe..si ukubali tuu hujui na uhuckue muda kuuliza jamani naomba nayejua hiki na au hiki anieleweshe.

Maccm huw ayanapoteza muda kubishana wasichokijua, na mwisho kufanya thread kuwa chaos..halafu kesho ipo jukwaani akirudiarudia..km kitu ya kuwafanya wajisikie kuwa wamepanda class....Ben Saanane akikuonyesh ulipochemka na ulipaswa tumia wapi si ajabu kesho ukadhani sasa uanweza gombea urais.MiccM mjinga..ikimtukana Mbowe au Dr. Slaa kesho yake inatamani Urais CCM.
 
Kiri kosa la dereva wako anayekufikisha Chalinze kwanza kama una nia ya dhati na safari

Hiyo kazi yenu wanasiasa za majukwaani kukomaliana makosa sisi wazalendo tunakomalia mchakato wa kupata a better place to live
 
Back
Top Bottom