Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Watanzania wepi unaozungumzia?maana tunakujua wewe ni muhamiaji haramu toka msumbiji...
 
hayo unayoyazungumza wewe yanadhihirisha bado una vichembe chembe vya uvivu na kusubiria kila kitu ufanyiwe, kama nani?? serikali si baba wala mama kukuandalia kila kitu, amani pekee ni fursa tosha ambayo itakufanya wewe ufanye utakalo mda wowote, nchi unazozitaja wewe hizo zote wanakosa haya tuliyonayo sisi, sisi tunamtaji mkubwa wa uhuru na kutoingiliwa, hakuna ubaguzi, hakuna kuvurugiwa mambo, hakuna mtu anayemzuia mtu kufanya jambo lolote, imebakia tu kwa kila mtu kujitahidi katika nafasi yake mwenyewe, Brela ilikua zamani ila mfumo umebadilika na mambo yanakwenda haraka kulinganisha na miaka ya nyuma, tukubali kwamba watanzania wengi sio aggressive na wanapenda kubweteka kutokana na malezi waliyopata miaka ya nyuma, ila fursa zipo na nafasi za kutajirika hapa nyumbani zipo, uvivu umewazidi hawa watu, muache kuwadanganya kua serikali inao wajibu wa kuwafanyia kila jambo, waelimisheni waache uvivu na kufanya kazi, mazingira hayaji yanatengenezwa na watu wenyewe, sasa kama watu ni wavivu serikali ianze kuwachapa ili kuwaamsha, you need to tell them the truth badala ya kuwadanganya kuwa mtawafanyia mambo ambayo in reality wao ndio wanatakiwa kuyafanya

Amani ipi ikiwa Vijana wanazamia Ulaya na South Africa?Kila kijana anaota kukimbia nchi na wengine ni potential Mules.Kuna tofauti gani kati ya Tanzania na Somalia ikiwa zote zinazalisha wakimbizi?
 
Tuanze na Incumbent Kwanza ambaye anatumia Tax payers money kabla hatujaenda kwingine.Unataka tusahau kumhoji Incumbent na ziara zake zaidi ya 357?Huoni logic hapo au ni ushabiki tu?Grow up brother!
Vipi babu amejipangaje kuhusu issue ya Rwanda nayo ataizungumzia?
 
Saanane acha kudharau watu kwa kadegree chako cha india kuna watu wana wamesoma na wanaweredi zaidi yako,utoto unakusumbua

Sawa,Lakini wewe sio mmoja wao.Nina uhakika kwa sababu hata kiswahili hujui kuandika.Soma kwa sauti ulichoandika hapa.Halafu utasema umedharauliwa?
 
Amani ipi ikiwa Vijana wanazamia Ulaya na South Africa?Kila kijana anaota kukimbia nchi na wengine ni potential Mules.Kuna tofauti gani kati ya Tanzania na Somalia ikiwa zote zinazalisha wakimbizi?
Hata kuiba mke wa mtu ni uvunjifu wa amani na inalisha stress kwa alieibiwa
 
Ka Radio station kanakoshika mkia Washington ndio wanataka wampeleke balozi wa Tanzania. Hivi nyinyi mna akili kweli?
 
Vipi babu amejipangaje kuhusu issue ya Rwanda nayo ataizungumzia?

Issue ya Rwanda Muulize JK maana yeye ndiyo mzoefu wa kutoa ushauri.Tumuulize yeye na wewe juu ya sakata la kuwafukuza Raia wa Rwanda ambao ni Waafrika Wenzetu na kukiuka haki za binadamu kwa unyama mkubwa waliofanyiwa huku tukiwaacha Wahamiaji Haramu kutoka China na Waarabu waliotuhumiwa kumhonga suti
 
Amani ipi ikiwa Vijana wanazamia Ulaya na South Africa?Kila kijana anaota kukimbia nchi na wengine ni potential Mules.Kuna tofauti gani kati ya Tanzania na Somalia ikiwa zote zinazalisha wakimbizi?
Hapo hauhitaji kuwa na degree kujua tofauti kati ya Tanzania na Somalia, si sawa na kufananisha kuzimu na mbinguni, tofauti moja ndogo, ni kua hapa Tanzania tuna wakimbizi kutoka somalia lakini somalia hawana wakimbizi toka Tanzania..hakuna mtu na akili yake ya kumtosha akaona kuzamia meli mdio suluhisho la maisha yake, lazima kutakua na tatizo katika makuzi yake, bado sijakutana na mwenye akili timamu anayeona kuna uafadhali ugenini kuliko nyumbani, BADO.
 
Amani ipi ikiwa Vijana wanazamia Ulaya na South Africa?Kila kijana anaota kukimbia nchi na wengine ni potential Mules.Kuna tofauti gani kati ya Tanzania na Somalia ikiwa zote zinazalisha wakimbizi?

Katika nchi Afrika ambayo vijana wake ni wachache sana wanaokwenda nje ya nchi basi ni Tanzania.

Kuna kuvunja amani zaidi ya kubeba sumu mfukoni, kuvizia wenzako uwamalize?
 
Hata kuiba mke wa mtu ni uvunjifu wa amani na inalisha stress kwa alieibiwa

Acha kudhalilisha Mama,dada na shangazi zako.Wanawake hawaibiwi.Ni lini utaacha mfumo dume?Kwba wanawake hawawezi kufanya mamuzi yao hadi waibiwe?Ndivyo unavyomchukulia mama na dada zako?

Fikra hizi mgando ziendekeze kwenye familia yako na usiwahi kusema hadharani.Utachekwa.Nonesense!
 
Issue ya Rwanda Muulize JK maana yeye ndiyo mzoefu wa kutoa ushauri.Tumuulize yeye na wewe juu ya sakata la kuwafukuza Raia wa Rwanda ambao ni Waafrika Wenzetu na kukiuka haki za binadamu kwa unyama mkubwa waliofanyiwa huku tukiwaacha Wahamiaji Haramu kutoka China na Waarabu waliotuhumiwa kumhonga suti

Wahamiaji haramu tuwaweke tu, ndio sera ya magwanda hiyo? Tuoneshe wanaoishi kisheria waliofukuzwa. Utawatafuta sana.
 
Si ajabu kuona unatetea uvunjifu wa sheria, maana chama chenu mnakijenga katika misingi ya kushabikia uvunjifu wa sheria, wahamiaji haramu wewe unaona sawa tu?? kwahiyo nyie mkija kushika madaraka ya nchi mtaruhusu kila mtu afanye atakalo kwakua hiyo itakua si kukiuka haki za binadamu?? hii ni ajabu..
 
Acha kudhalilisha Mama,dada na shangazi zako.Wanawake hawaibiwi.Ni lini utaacha mfumo dume?Kwba wanawake hawawezi kufanya mamuzi yao hadi waibiwe?Ndivyo unavyomchukulia mama na dada zako?

Fikra hizi mgando ziendekeze kwenye familia yako na usiwahi kusema hadharani.Utachekwa.Nonesense!

Mama na dada anaekimbia mumewe wa ndoa, kijana mwenzie na kwenda kukimbilia kizee kinachovuna fedha za ruzuku huyo jina la udada linaongezewa na ...
 
Katika nchi Afrika ambayo vijana wake ni wachache sana wanaokwenda nje ya nchi basi ni Tanzania.

Kuna kuvunja amani zaidi ya kubeba sumu mfukoni, kuvizia wenzako uwamalize?

Hakuna amani ikiwa mtu anaweza kubeba sumu kuua wenzake,iandikwe na magazeti na kutangazwa na vyombo vya habari na hata wewe unayeandika uogope kwenda polisi na mtuhumiwa awe huru hadi muda huu.Kwako hii inaashiria amani?Insanity of the highest order!
 
Si ajabu kuona unatetea uvunjifu wa sheria, maana chama chenu mnakijenga katika misingi ya kushabikia uvunjifu wa sheria, wahamiaji haramu wewe unaona sawa tu?? kwahiyo nyie mkija kushika madaraka ya nchi mtaruhusu kila mtu afanye atakalo kwakua hiyo itakua si kukiuka haki za binadamu?? hii ni ajabu..

Wahamiaji Haramu wanatika Rwanda tu?Fikra mgando zitakuisha lini?
 
Hakuna amani ikiwa mtu anaweza kubeba sumu kuua wenzake,iandikwe na magazeti na kutangazwa na vyombo vya habari na hata wewe unayeandika uogope kwenda polisi na mtuhumiwa awe huru hadi muda huu.Kwako hii inaashiria amani?Insanity of the highest order!

Hivi utangoja na kichupa chako cha sumu kiko mfukoni wakati unajuwa mtu kaenda Polisi, utakuwa ni amateur na wala hufai kubeba kichupa cha sumu ukifanya hivyo.
 
Wahamiaji haramu tuwaweke tu, ndio sera ya magwanda hiyo? Tuoneshe wanaoishi kisheria waliofukuzwa. Utawatafuta sana.

Tuoneshe uhalali wa kuwafukuza Raia wa Rwanda na kuacha wachina,Wazambia,Wakenya,Wamakonde wa Msumbiji,Wamalawi n.k
 
Hivi utangoja na kichupa chako cha sumu kiko mfukoni wakati unajuwa mtu kaenda Polisi, utakuwa ni amateur na wala hufai kubeba kichupa cha sumu ukifanya hivyo.

Kati yangu mimi na wewe mbona unaonekana wewe kuwa mzoefu zaidi kwenye zoezi hilo?I rest my case!
 
Back
Top Bottom