Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Ni yupi mwenye akili timamu.mliye nae?

Kuna Ombaomba Mkubwa kumshinda Chief Mangungo?Nashangaa anakazana kuondoa ombaomba mjini kipindi alipokuja Obama ansahau yeye ni Ombaomba wa kiwango cha kimataifa.Anaidhalilisha nchi katika kiwango cha kimataifa.

Raia wanaoomba ndani ya nchi yao kwa watanzania wenzao wanawaondoa na kuwanyanyasa.Yeye anaomba hadi anahongwa suti.Hakuna fedheha kubwa zaidi ya hii

Si bora huyo umsemae anaenda kuiombea nchi, Slaa anaendaa kumuombea nani maana hata safari inasemekana siyo ya chadema. Hapo sasa.
 
Hapo hauhitaji kuwa na degree kujua tofauti kati ya Tanzania na Somalia, si sawa na kufananisha kuzimu na mbinguni, tofauti moja ndogo, ni kua hapa Tanzania tuna wakimbizi kutoka somalia lakini somalia hawana wakimbizi toka Tanzania..hakuna mtu na akili yake ya kumtosha akaona kuzamia meli mdio suluhisho la maisha yake, lazima kutakua na tatizo katika makuzi yake, bado sijakutana na mwenye akili timamu anayeona kuna uafadhali ugenini kuliko nyumbani, BADO.

Kama mtu anaweza kuchukua Risk ya Kuzamia Meli kuliko kuishi Tanzania huoni kwamba hali huku Tanzania ni mbaya kuliko kuzamia Meli?Inawezekana wewe ndiyo chizi unayefanya shallow analysis.
 
Si bora huyo umsemae anaenda kuiombea nchi, Slaa anaendaa kumuombea nani maana hata safari inasemekana siyo ya chadema. Hapo sasa.

Hizi fikra za ombaomba zinakufaa wewe na huyo unayomsifu tu
 
Mkuu hizi sihasa za vijana wa Chadema zinatia shaka, hawana muelekeo wala msimamo, wakiona kiongozi wao anakosea badala ya kusahihisha kwa manufaa ya kujenga chama wanatetea ujinga, watawalea hivyo kwa kuwapa sifa za kijinga mpaka hapo baadae mambo yakiwazidi itakua too late, kwa kuleana huko, itakuja nyakati kiongozi ananunulia gari binafsi kwa fedha za chama au kulipia mtoto karo wanashangilia...

very boring mkuu!!!!!!

Sometimes unasema yeah huyu anaweza kuwa mmoja wa waelewa halafu ghafla anakuja na kituko mpaka unajiuliza anatumia betri kufikiri?????

Mpaka 2015 I hope wananchi wengi watakuwa wameelewa hii inayoitwa demokrasia ya vyama vingi na mistakabali wa nchi
 
Ni lini ulishawahi kuwa rafiki wa demokrasia ya vyama vingi wewe?Acha unafiki hapa maana post zako za nyuma zinakuanika wazi.
 
Kama mtu anaweza kuchukua Risk ya Kuzamia Meli kuliko kuishi Tanzania huoni kwamba hali huku Tanzania ni mbaya kuliko kuzamia Meli?Inawezekana wewe ndiyo chizi unayefanya shallow analysis.

Ningependa kukutana na graduate yeyote aliyezamia meli..hao wote unaowatumia kama basis ya argument yako ni watu walioshindwa maisha kutokana na uzembe wao binafsi kwa namna moja ama nyingine, naomba utuletee mtu aliyezamia meli na Degree yake toka UDSM au mzumbe au kwingine kokote...
 
Tuanze na Incumbent Kwanza ambaye anatumia Tax payers money kabla hatujaenda kwingine.Unataka tusahau kumhoji Incumbent na ziara zake zaidi ya 357?Huoni logic hapo au ni ushabiki tu?Grow up brother!

How do we start pinning him down while we still suspect that they are all abusing our very taxes!!!!

Hope you know the elimination method in solving simultaneous equations
 
Tuoneshe uhalali wa kuwafukuza Raia wa Rwanda na kuacha wachina,Wazambia,Wakenya,Wamakonde wa Msumbiji,Wamalawi n.k

Wewe tuoneshe uhalali wa kuwaacha wahamiaji haramu ambao Rais wao kishatangaza kumwaga sumu Tanzania. Au umesahau?
 
Slaa lately amekuwa mtu wa kujiabisha sana.

Nadhani baada ya watu kujua ufisadi wake sasa anajitahidi kutafuta njia nyingine ya kutoka, lakini mwisho wake anaharibu!

Kuna watu walimshauri apumzike siasa akakubali ila Josephine ndio anamshinikiza kuendelea na siasa kwa sababu anadhani kuna siku atakuwa first lady!!!
sasa wewe kinakuuma nn kiongozi wa Chadema akiabika au ndo buku saba mara post ulizoandika! Leo utawamalizia wenzio kila post wewe tu pumzika bajeti ndogo lumumba
 
Tuanze na Incumbent Kwanza ambaye anatumia Tax payers money kabla hatujaenda kwingine.Unataka tusahau kumhoji Incumbent na ziara zake zaidi ya 357?Huoni logic hapo au ni ushabiki tu?Grow up brother!

Hivi umesahau mlivyokuwa mnakwepa kodi mpaka TRA wakatinga makao makuu pale Kinondoni? au system ya mchumba ilikohoa? amma kweli wewe ni mfupi wa kumbukumbu.
 
Wahamiaji Haramu wanatika Rwanda tu?Fikra mgando zitakuisha lini?
CHINI+YA+ULINZI+WAETHIPIA+103+ENEO+LA+MAHAKAMA+YA+HAKIMU+MKAZI+MORO+PIX+NO+2.JPG

PICHA YA MAKTABA: JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM NOVEMBA 03, 2011.
Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Morogoro akiwa anawalinda raia wa Ethiopia 103 baada ya kufikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi mkoa huo wakati wakisubiri kusomewa shikataka la kuingia nchini kinyume na sheria baada ya kukamatwa katika mji mdogo wa Mikese barabara kuu Dar es Salaam-Morogoro mkoani hapa.

Source: WAHAMIAJI HARAMU 863 RAIA WA MALAWI WAJISARIMISHWA KATIKA OFISI KUU ZA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM. ~ MTANDA NEWS

Sema ni nani mgando baada ya kujisomea hayo?
 
Ni lini ulishawahi kuwa rafiki wa demokrasia ya vyama vingi wewe?Acha unafiki hapa maana post zako za nyuma zinakuanika wazi.

Mimi sio rafiki wa demokrasia na wala sintokuwa mimi uzalendo tu.unanitosha maana demokrasia ni fashion tu kama ilivyokuwa ujamaa,ujima na mifumo mingine ya siasa-uchumi!!!!!!

Sifa ya mtu mnafiki ni kuwa na imani kuwa hii ni sawa jumatatu halafu jumanne anasema hili sio sawa,au akifanya juma sawa ila akifanya hamisi si sawa kwa sababu hamisi ni mkubwa zaid ya juma wakati wote ni above 18!!!!!!!!

Unajua vyama vingi sio lazima viwe na tija simply because they exist but rather there should be an outstanding,clear,clean,reputable,responsible,committed and sustainable record ya chama fulani ili kuweza kupata matunda tarajiwa na hili haliji kwa kuvaa uniform ila matendo yasiyo na shaka!!!!!

Changamoto zikichukuliwa vema hujenga ila zikichikuliwa kama chuki ni hasara
 
Issue ya Rwanda Muulize JK maana yeye ndiyo mzoefu wa kutoa ushauri.Tumuulize yeye na wewe juu ya sakata la kuwafukuza Raia wa Rwanda ambao ni Waafrika Wenzetu na kukiuka haki za binadamu kwa unyama mkubwa waliofanyiwa huku tukiwaacha Wahamiaji Haramu kutoka China na Waarabu waliotuhumiwa kumhonga suti
Huwezi kubadilisha haramu kuwa halali hakuna nchi yeyote duniani inayolifumbia macho suala la uhamiaji haramu.Waliofuatiliwa na kuchukuliwa hatua si wanyarwanda pekee usitake kupotosha dhana mzima ya zoezi ilimradi umfurahishe babu akuletee lakuchumpa akirudi honeymoney

NItakuwa na laana kama nisipo yafuatilia mahojiano hayo muhimu na Rais wa Tanzania Dr. Slaa..
 
Ni lini ulishawahi kuwa rafiki wa demokrasia ya vyama vingi wewe?Acha unafiki hapa maana post zako za nyuma zinakuanika wazi.
Wewe unaelewa nini kuhusu vyama vingi au unachojua wewe vyama vingi ni kuwa msukule wa Chadema
 
How do we start pinning him down while we still suspect that they are all abusing our very taxes!!!!

Hope you know the elimination method in solving simultaneous equations

What do you mean by 'They are all'?
 
Wewe unaelewa nini kuhusu vyama vingi au unachojua wewe vyama vingi ni kuwa msukule wa Chadema

Huna uwezo wa kuhimili mijadala zaidi ya Matusi.By your assesment and standard,wewe ni Msukule wa Chama gani?
 
Wewe unaelewa nini kuhusu vyama vingi au unachojua wewe vyama vingi ni kuwa msukule wa Chadema

Tutafika nao tu mkuu!!!!!!

M4C ni zaid ya vyama vya siasa, ni enlightenment in its real sense for the sake of a better country ambayo haipo mikononi mwa vyama vya siasa ila dhamira za Watanzania ambao ni sisi
 
Back
Top Bottom