Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Mkiulizwa ziara aliandaa nani hamsemi,nani anagharimia hiyo kitu, majibu yanagongana tu!!!!

Ziara zooote kafanya mwenyewe kwenye radio ndio waandamane na.balozi ili iwe nini??????

Kwanza wakati anafika alikuwa karibu na ubalozi maana hakuna picha mimi nimeona akiwa ubalozini na wafanyakazi wa ubalozi!!!!!

Halafu balozi si anaishi huko hiyo radio mbona haikumtafuta kabla ya ujio wa katibu mkuu????!!!!

Kama balozi ametimia na anajitambua hatakiwi kwenda,kama wanashida naye wamtafutie muda wake wakahojiane

Ungejua maana ya Ubalozi usingeandika mipasho hii uliyoandika

Kuhusu aliyeandaa Ziara ya Dr.Slaa inakuhusu nini?Tunahoji zaidi ya ziara 357 alizofanya Chifu Mangungo na kiasi cha fedha za walipa kodi kilichotumika
 
mkuu, tafiti zipo sema tu natumia simu kuwaelimisha. ila google to dr slaa ashuka umaarufu utajua nani alifanya utafiti huo na lini

Labda kama ulimshirikisha mkeo na watoto wako kwenye huo utafiti wako
 
Mkiulizwa ziara aliandaa nani hamsemi,nani anagharimia hiyo kitu, majibu yanagongana tu!!!!

Ziara zooote kafanya mwenyewe kwenye radio ndio waandamane na.balozi ili iwe nini??????

Kwanza wakati anafika alikuwa karibu na ubalozi maana hakuna picha mimi nimeona akiwa ubalozini na wafanyakazi wa ubalozi!!!!!

Halafu balozi si anaishi huko hiyo radio mbona haikumtafuta kabla ya ujio wa katibu mkuu????!!!!

Kama balozi ametimia na anajitambua hatakiwi kwenda,kama wanashida naye wamtafutie muda wake wakahojiane

Josephine ameushusha mno uwezo wa Dr. Slaa wa kutafakari mambo.

Slaa alipaswa kuwasiliana na ubalozi moja kwa moja sio ubalozi ukaribishwe na redio kwenye mahojiano! Hiyo ni dharau ya kijinga inayomyima yeye mwenyewe Slaa fursa ya kushirikiana na ubalozi wa nchi yake.

Josephine amezoea lifestyle ya kusutana, sasa Slaa naye mambo yake yameanza kuwa ki Josephine Josephine tu...
 
Kwanza hii mada inawahusu WanaCHADEMA nashangaa kuiona misukule ya Nape nayo kuvamia....Kwendaaaaaaa!!!??
 
Dr Slaa aache unafiki. mambo ya Tanzania utaongeleaje kwenye nchi za watu? yaelekea ndo tabia yake kutoa mambo ya ndani kufikisha kwa jirani. ndo maana hakuna mwanamke anayependa kuolewa naye. walisambaza picha za uchochezi wameshindwa na sasa wanakuja kivingine. pole sana babu. bora uje kulea watoto wajukuu wako tu bongo

We in Tanzania we are manufacturing teachers....ukenge wenu kama kiongozi wenu
 
mkuu, ubalozi unajua kuwa dr slaa anataka kuzungumza upumbavu tu hakuna kitu kingine. naona anataka kuendeleza hoja za uzandiki, uzushi, uongo na ufitini kama alivyoanzisha Lissu

Usipende kuandika upu-mbavu kila siku jiulize kwanza Mwigulu alikuwepo huko je alialikwa na kituo hicho cha Redio kwa mahojiano? kama hakualikwa kati ya Dr. Slaa na Mwigulu nin nani Mzandiki, Muongo, Mfitini, mzushi na asiyejitambua? nafikiri ukitafakari haya utajua namaanisha nini.
 
Ungejua maana ya Ubalozi usingeandika mipasho hii uliyoandika

Kuhusu aliyeandaa Ziara ya Dr.Slaa inakuhusu nini?Tunahoji zaidi ya ziara 357 alizofanya Chifu Mangungo na kiasi cha fedha za walipa kodi kilichotumika

I thought wewe ni mzalendo na muelewa sana ila siku za karibuni umekuwa so light headed brother huna hoja na majibu ya kueleweka yaani umeingia kundi la wapayukaji per se!!!!!!!!

Wewe unamuita excellency ,wewe unalalamika the incumbent anasafiri sana na matumizi hayajulikani in a second minute unataka mtarajiwa asihojiwe!!!!!! Unakataa nini na una support nini????Umelewa siasa sasa,so sad brother!!!!

Mipasho ni hii unayoleta wewe,hujibu hoja ila unaleta justification ya kuiba mbuzi sababu wewe uliibiwa ng'ombe!!!!!! Is this how you reason????!!!!!
 
Balozi anasubiri kibali cha kwenda kwenye mahojiano kutoka lumumba street kwa Kanali Ze Dentist Kinana.

Huu ukimya ni dalili kuwa hawajafanikiwa kumuandalia ''possible questions and answers''! Usikute wanafanya mipango ya kimya kimya ya kupatiwa maswali ili balozi ajiandae mapema!

Wakati nasoma kuna wakati tulikuwa tunamuomba ''mwalimu'' atudokezee ''area of concentration'' hasa kwa yale masomo magumu, bila shaka ndicho balozi wetu anachofanya kabla ya kukubali au kukataa!
Kwa kweli haya manyang'au ya lumumba ni janga la kitaifa...
Cc; Lizaboni and all lumumbaz project(buku 7 fc)
 
Last edited by a moderator:
bila shaka wewe utakuwa unaishi uhamishoni huko marekani? tafiti zipo na dr slaa mwenyewe analijua hilo
Siishi uhamishoni, na ninafuatilia masuala ya kisiasa Tanzania kwa karibu sana lakini sijasikia. Nidokeze tafadhali.

Ndio matumizi ya forums kama hizi.
 
Dr Slaa aache unafiki. mambo ya Tanzania utaongeleaje kwenye nchi za watu? yaelekea ndo tabia yake kutoa mambo ya ndani kufikisha kwa jirani. ndo maana hakuna mwanamke anayependa kuolewa naye. walisambaza picha za uchochezi wameshindwa na sasa wanakuja kivingine. pole sana babu. bora uje kulea watoto wajukuu wako tu bongo

BOMU.jpg
Dr. Slaa anapeperusha vyema Bendera ya CDM na kuwakilisha vyema Tanzania lakini huyu mwingine(Mwigulu) yeye juhudi zake zipo kwenye kukusanya vifaa kama hicho hapo juu.
 
I thought wewe ni mzalendo na muelewa sana ila siku za karibuni umekuwa so light headed brother huna hoja na majibu ya kueleweka yaani umeingia kundi la wapayukaji per se!!!!!!!!

Wewe unamuita excellency ,wewe unalalamika the incumbent anasafiri sana na matumizi hayajulikani in a second minute unataka mtarajiwa asihojiwe!!!!!! Unakataa nini na una support nini????Umelewa siasa sasa,so sad brother!!!!

Mipasho ni hii unayoleta wewe,hujibu hoja ila unaleta justification ya kuiba mbuzi sababu wewe uliibiwa ng'ombe!!!!!! Is this how you reason????!!!!!
Hajasema asisafiri kabisa.

Kinachosemwa ni kuwa anasafiri mno. Kama wasemavyo wahenga too much of anything....
 
Hata hiyo moja we need to know bhana important details na significance!!!!! Sio maji yaje kuzidi unga saa za jua kuzama...tuishi tunayoyahubiri please!!!!!

Too much doesnt come from the air,there must be a genesis!!!!!!

Kusafiri sana inamaana anaenda mara nyingi au akienda anakaa sana???!!!!
 
stroke,

This is ridiculous......!

Miongoni mwa waliopo nje ni Wanafunzi,Wafanyabiashara,wafanyakazi na wengine wanafanya research.Pia kuna uwezekano kuwa wengine wamejilipua

Hata hivyo kwa Wafanyakazi waliopo huko apart from wanaofanya kazi ubalozini au kwenye taasisi za kimataifa kama UN n.k wafanyakazi wengine wangependa kufanya kazi humu na kutumia utaalamu wao lakini serikali hii ni adui wa wasomi.Ni serikali ya vilaza tu

Marekani kwa kiasi kikubwa inajengwa na brains kutoka nje ya America halafu tunaenda kuomba huko.It sucks!
Huo ni uoga na kutojikubali, mabadiliko hayaletwi kwa kujificha ficha ughaibuni, waje nyumbani wafanye mabadiliko yale wanayoyaona yanahitajika kufanyika, badala ya kuwa vivuli na kufanya mambo nyuma ya migongo ya watu, ma diaspora wote warudi nyumbani, tunahitaji utaalamu wao, na experience zao kujenga nchi yetu, wakija 500 na wakafanya mambo makubwa hapa nyumbani huoni itakua jambo lamaana?? sio lazima wote waajiriwe serikalini au wote wawe viongozi, hapana wanaweza fanya michango yao wakiwa kwenye sekta binafsi ikaeleweka..fimbo ya mbali haiui nyoka, watafanya vizuri zaidi wakiwa hapa kuliko huko..
 
Tupo pamoja sana.Mungu azidi kumbariki shujaa huyu.

Shujaa wa kitu gani?? Kuwapaka wafuasi wake mafuta kwa mgongo wa chupa!?

Nyie si ndio mliokuwa mnamuita O.L. mrema eti NI MKOMBIZI!?
AU MMESAHAU TAYARI
 
I thought wewe ni mzalendo na muelewa sana ila siku za karibuni umekuwa so light headed brother huna hoja na majibu ya kueleweka yaani umeingia kundi la wapayukaji per se!!!!!!!!

Wewe unamuita excellency ,wewe unalalamika the incumbent anasafiri sana na matumizi hayajulikani in a second minute unataka mtarajiwa asihojiwe!!!!!! Unakataa nini na una support nini????Umelewa siasa sasa,so sad brother!!!!

Mipasho ni hii unayoleta wewe,hujibu hoja ila unaleta justification ya kuiba mbuzi sababu wewe uliibiwa ng'ombe!!!!!! Is this how you reason????!!!!!
Mkuu hizi sihasa za vijana wa Chadema zinatia shaka, hawana muelekeo wala msimamo, wakiona kiongozi wao anakosea badala ya kusahihisha kwa manufaa ya kujenga chama wanatetea ujinga, watawalea hivyo kwa kuwapa sifa za kijinga mpaka hapo baadae mambo yakiwazidi itakua too late, kwa kuleana huko, itakuja nyakati kiongozi ananunulia gari binafsi kwa fedha za chama au kulipia mtoto karo wanashangilia...
 
Back
Top Bottom